Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,405
Upo chiefYaani tangu mwaka jana hakuna alie comment hapa.
Upo chiefYaani tangu mwaka jana hakuna alie comment hapa.
Wamehongwa kuja kutudhihaki na kutafuta soko kwa bidhaa zao feki. Kizuri huwa kinajiuza mbona midomo mingi?Wabongo mkiwa mitandaoni mnajifanya mko vizuri kifedha, eti 65,000TZS bei ndogo sana kwa perfume hivi ni kweli kwamba nyie wote mnaoshangaa vipato vyenu viko juu?
Unanunua perfume laki 4 mtu akija hapa anaomba msaada wa ela ya Shule unaishia kumdhihaki
Utoto tu japo sina uwezo wa kununua perfume ya laki 4 ila huo ni utoto kuwashangaa wenzenu wanaposema 65,000 ni bei kubwa kwa sababu hali zetu watanzania mnazijua.
Mkiwa hapa jf kila mtu hujifanya ana kipato cha hali ya juu kumbe huko ndani hata uhakika wa kula haupo
Sema tumetofautiana.. tumezoea za buku 6 kushuka chini wengine hyo ni bajeti ya mwezi na zingine nawatumia wazazi.Yaani elf 65 kwa perfume unaona bei kali?
Labda hivyo... Kwa perfume za majina hiyo ni hela mbuzi....Sema tumetofautiana.. tumezoea za buku 6 kushuka chini wengine hyo ni bajeti ya mwezi na zingine nawatumia wazazi.
Kutoa si utajiri. Mtu anaweza kuwa tajiri na si mtoaji, mwingine wa kawaida tu anasaidia wengi sana.Wabongo mkiwa mitandaoni mnajifanya mko vizuri kifedha, eti 65,000TZS bei ndogo sana kwa perfume hivi ni kweli kwamba nyie wote mnaoshangaa vipato vyenu viko juu?
Unanunua perfume laki 4 mtu akija hapa anaomba msaada wa ela ya Shule unaishia kumdhihaki
Utoto tu japo sina uwezo wa kununua perfume ya laki 4 ila huo ni utoto kuwashangaa wenzenu wanaposema 65,000 ni bei kubwa kwa sababu hali zetu watanzania mnazijua.
Mkiwa hapa jf kila mtu hujifanya ana kipato cha hali ya juu kumbe huko ndani hata uhakika wa kula haupo
Kuna uhusinao kati ya kua nacho na kutoa.Kutoa si utajiri. Mtu anaweza kuwa tajiri na si mtoaji, mwingine wa kawaida tu anasaidia wengi sana.
Vitu vingine si utajiri ni passion na exposure. Kuna watu wanapenda manukato na wako tayari kununua kwa bei yoyote kama wanaweza.
Wewe unaweza kumshangaa mtu anaenunua perfume 400,000 ila unanunua gari la 40m na yeye anakushsngaa kwa nini usinunue Vits ya 5m au utembee kwa miguu hizo 40m ununulie madawati au usomeshe watoto kijijini kwenu.
Sijataja masikini hapo. Nimesema mtu wa kawaida, kama kwako wewe wa kawaida ni masikini thats not my problem.Kuna uhusinao kati ya kua nacho na kutoa.
Sasa kama huna utatoa nini?
Misemo mingine ipo tu, eti kutoa ni moyo sio utajiri, huu msemo upo kuwafariji maskini na asilimia kubwa ya matajiri wana roho ngumu sana hasa linapokuja suala la kutoa ili kuchangia jambo la maana.
Ila wakiskia kuchangia harusi wako fasta.
Karibu kwenye Uzi umeanzishwa kuhusu maneno aliyotoa Nape Nnauye kuhusiana na mihadaratiSijataja masikini hapo. Nimesema mtu wa kawaida, kama kwako wewe wa kawaida ni masikini thats not my problem.
Ila mimi nishaona watu wa kawaida wengi wanajitolea kuliko matajiri.
Bei ya kiwanja hiiKwa sie tunaotumia vitu vya DKNY... Paco Rabbane.... Muschio Bianco.... Giorgio Armani.... Cavallo.... Viktor&Rolf etc hivyo vitu vya kawaida sana.....