Perfume maalum kwa usiku

Perfume maalum kwa usiku

Kuna ile nyingine ya Oriflame inaitwa posses inanukia vizuri
 
Zote hizi unapaka wakati mmoja...si utaanza kunuka badala ya kunukia[emoji15]
Mi napaka perfume moja tu kwa siku yaani nina zaidi 30 different types of colognes so kila siku yake
 
Real???? Umesema kila perfume yako ni laki 2 na kama una perfume 30 means 6millions umewekeza kwa perfume. Then unamshangaa jamaa anayeshangaa perfume ya 65k kuliko kujishangaa ww wa 6m kwa perfume[emoji15]
 
Kwa perfume nzuri za designers wa kueleweka bei zake ni juu kuliko hiyo mkuu.... Hiyo perfume bei chee labda kama umezoea rasasi na body sprays
Hatufanani jaman uwezo tofauti ata hzo rasasi unanukia fresh tu
 
Real???? Umesema kila perfume yako ni laki 2 na kama una perfume 30 means 6millions umewekeza kwa perfume. Then unamshangaa jamaa anayeshangaa perfume ya 65k kuliko kujishangaa ww wa 6m kwa perfume[emoji15]
Mkuu mimi nimemshangaa kwakua anaishangaa hiyo elf 65, yaani nimemshangaa anavyosema ni kubwa... Tena hyo laki mbili ni bei ya chini coz nina spice bomb ya viktor & Rolf niliinunua laki 4.... Nina Acca Kappa ya Muschio Bianco niliinunua indian rupee 13,000/=
 
Hata na yy bado anaendelea kukushangaa ww ulivyoweka 10millions kwa perfume ktk nchi ambayo watoto wanakaa chini kwa kukosa madawati.
 
Kwani watoto wakikaa chini kwa kukosa dawati nimesababisha mimi? Mbn shule zenye madawati zipo nyingi tuuu?

Unashangaa hela hiyo wakati watu wananunua perfume moja kwa hela hyo....
 
Kweli perfume zikiwa nyingi sana zinashambulia ubongo.....yaan ndo umejenga hoja kabisa kwa kusema mbona ziko shule nyingi zina madawat[emoji15]
 
Kwani uongo? Feza boys... Marian etc hazina madawati?
 
Ukaona ujibalance tu,ila kwa mshangao aliokujanao huyo jamaa kuonyesha 65,000 ni bei kubwa,ulipaswa kusema tu maana inaonyesha jamaa ama ni mgeni kwenye kwenye haya mambo au yupo gizani sana,na inaonyesha hata hana ukaribu na watu wanaojua mambo ya perfume.
Niliona samples za oriflame nikaipenda moja ilikuwa ya blue ila nimeisahau jina,lakini sikuipata kwenye ujazo mkubwa,ukiipata kali tujuzane mkuu.
Kuna moja yakiume inaitwa signature zoom ya blue hivi ndo hio nini
 
Nikipaka rasasi huwa najihisi kunuka tumbaku
Jamani khaaaa rasasi nayo ni manukato [emoji41] [emoji41]
Mi napenda designer ila uchumi mgumu...... so natumia za oriflame kusema kweli nazipenda
 
Nasikia oriflame sio long lasting
 
Wabongo mkiwa mitandaoni mnajifanya mko vizuri kifedha, eti 65,000TZS bei ndogo sana kwa perfume hivi ni kweli kwamba nyie wote mnaoshangaa vipato vyenu viko juu?
Unanunua perfume laki 4 mtu akija hapa anaomba msaada wa ela ya Shule unaishia kumdhihaki
Utoto tu japo sina uwezo wa kununua perfume ya laki 4 ila huo ni utoto kuwashangaa wenzenu wanaposema 65,000 ni bei kubwa kwa sababu hali zetu watanzania mnazijua.

Mkiwa hapa jf kila mtu hujifanya ana kipato cha hali ya juu kumbe huko ndani hata uhakika wa kula haupo
 
Mi napaka perfume moja tu kwa siku yaani nina zaidi 30 different types of colognes so kila siku yake
Na wewe ukamatwe ueleze unapata wapi hela za kununua harufu kwa 700,000 ambao ni mishahara wa mtu
 
Back
Top Bottom