Report maalum: Madanguro ya kichina chanzo cha mauaji ya wachina

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,749
Kesi ni nyingi lakini zinazoripotiwa polisi ni chache na zinazoifikia mitandao ya kijamii ni chache zaidi kwakuwa kwa sehemu kubwa mambo haya hutokea ama hufanyika kwenye maeneo yao wenyewe..! Malaya wa kichina wanagonganisha magari kwa kwenda mbele

Iko hivi; Kwanza lazima utambue hawa wachina unaowaona wanafanana wote kila mtu ana kabisa yake... Na wako hapa kwa makundi yao ya kikabila na ni kitu cha kawaida kukuta kabia moja halielewi lugha ya kabila lingine.

Hawa wote wanaunganishwa na lugha ya Kichina inayoitwa Mandarin Chinese na ndio lugha inayoongewa na waswahili wengi.

Utofauti wa lugha na maeneo watokayo huwatofautisha kwa mbali mno. Ukiwaona wa kamari hao wanatoka Fu jian, wanapenda kuongea kwa sauti kama wanafoka, wana mishe nyingi na temper yao iko juu sana. Hawa wanaongoza kwa kupenda shortcut na biashara haramu wao ni kama uji na mgonjwa

Kuna wauza nguo, wauza viatu, wajenzi nknk.. Hawa wote hutofautiana mpaka vyakula na hata ile migahawa yao ya kichina iko kwenye mfumo huo
Wala mbwa na wanyama wa ajabu ajabu
Wapenda pilipili sana
Wachafu sana
Wavuta sigara sana nknk

Ongezeko lao Tanzania na kufunguka kwa biashara huria hasa kipindi cha JK kuliwafanya wengi waliokuja huku watake huduma ya ngono ambayo kwa wanawake wetu mila na desturi zilipishana, hivyo baadhi yao wazee wa fursa wakaanza kuwaleta mabinti wa kichina kwa ahadi ya kazi, ambapo hata hivyo waliishia kwenye majumba yaliyokodishwa na hao waliowaleta na kufanyishwa biashara ya ngono

Hapo kabla mabinti wachache niliobahatika kuongea nao kwa kificho sana na hofu kuu walitamani sana wapate msaada walau wa ubalozi ama namna ya kuwanasua toka mikono ya hao waliowaleta ambao huwapokonya hati zao za kusafiria na kuwafanyisha ngono hata mara tano au sita kwa siku...!

Kinachofanyika ni hiki.. Hawa wauza binadamu wenzao ni magenge yenye biashara haramu toka huko kwao lakini huku hujificha nyuma ya biashara yoyote halali ya kuzugia...

Hupenda kuchagua zile nyumba za apartments na hupenda kupanga kwenye apartments ambazo wamiliki wake wana nguvu kwenye mamlaka za nchi hasa wanasiasa na wafanyabishara wakubwa. .. Hapo wana uhakika wa watu wao kutobughudhiwa na uhamiaji ama mamlaka zingine.. Maeneo wanayopendelea sana ni Masaki na Mikocheni kisha mitaa ya Posta na mwisho ni Kariakoo ama Ilala kwa uchache sana

Humo kwenye apartment ya bedroom 3 huwekwa mabinti kuanzia sita mpaka kumi.. Ambao hawawezi kutoka bila ruhusa ya bwanamkubwa.

Kishapo kichachofanyika hapo sasa hao wauzaji kutangaza biashara kwa wenzao kwa kigezo cha kufanyiwa masaji... Ambapo rates ni kama ifuatavyo.

Saa moja ni $100 mpaka 200 kulingana na uzuri.. Hiyo ni tofauti na gharama za gesti/hotel ambao nao huchaji kati ya $70 mpaka 100 kwa shortime.. Moja maarufu kwa shughuli hizo iko sealander Lakini nina hakika siku hizi zimekuwa lukuki.

Kukaribishwa nyumbani (penye danguro) chakula na vinywaji ni $300 mpaka 500.. Hizi ni za enzi hizo
Kutoka naye dinner nayo ni $200 mpaka 300.

Baaadhi ya nyakati na kwa baadhi ya wanyange dau hufika mpaka $600 .. Na hasa hasa siku za weekend, sikukuu ama kwenye matukio maalum

Binti mmoja kwa siku anaweza kulalwa na wanaume mpaka watano.. Kinachofanyika.. Tajiri ndio anapokea simu ya mhitaji kisha anamtuma dereva (mara nyingi gari zao ni Noah, Alphard nk zenye Tinted.. Kazi ya dereva ni kwenda apartment kumchukua anayetakiwa na kumepeleka anapohitajika, kumsubiri kisha kumrudisha. Kwa mahitaji yalivyo makubwa kila binti kila siku hapungui kulalwa si chini ya mara mbili

Fuatilia part two namna ugomvi unavyotokea na hatimaye kuumizana, kujeruhiana na hata kuuana....

Itaendelea..
Inaendelea sehemu ya pili

Wale mabinti kuna mmoja ama wawili hao ni spesheli ya boss ama watu wake maalum..hao huwa hawagusi sana ama kabisa na ukimgusa huyo dau lake si la kitoto
Wabongo tunapenda ligi na kuoneshana ufahari lakini bado hatujawafikia wachina...Kuna mchina alikuja kufika bei kisha akamtorosha yule asali wa boss.. Boss hakuweza kwenda polisi bali akaweka kisasi
Katika kumtafuta mbaya wake akakuta tayari keshapewa bonge la shavu na passport mpya juu( baada ya kuripoti kupotelewa na ya kwanza) hayo yalifanyika ubalozini.. Alipotaka kulianzisha akatolewa mguu wa kuku ikabidi awe mpole atimue

Huyu mchina aliyemtorosha yule binti naye akamtumia kuwaleta wengine kisha wakaenda kupanga ghorofa lile lile la wale wengine, hii ilikuwa ni kuoneshana utemi tuu, kisha akaleta vitu vya ukweli sana na promo kibao..

Ikawa sasa ni mashindano ya kugombea wateja,.. Bifu ikatoka kwa mabosi mpaka kwa machangu wenyewe.. Kuna siku zikapigwa sana hapo ghorofani mpaka kuumizana kabisa.. Ishu ikazimwa kimyakimya na wakutibiwa wakatibiwa..Mpaka kufikia hapo ikawa kuna makundi mawili ya mabosi mahasimu kabisa ..

Kundi la kwanza lile la zamani boss akawa na bastola na mabaunsa wa kibongo, kundi la pili likawa na boss mwenye bastola na wapiga king fu kwa kichina.. Patamu hapo..! Ikawa sasa ni mwendo wa fitina, vitisho, kutambiana na kutunishiana misuli
Hayawi hayawi mwisho yakawa.. Kuna siku wakakutana mahali zikaanza kupigwa.. Huyu wa zamani mwenye mabaunsa wa kibongo (wanatoka Gym ya vijana pale Mwananyamala)... Hawa wakawachakaza wale wapiga kung fu , boss wao alipoona wamezidiwa akawapelekea moto na kujeruhi wawili mchina na mbongo na kumuua mmoja..!

Hii kesi ilimalizwa kimyakimya na marehemu akaenda kuzikwa kwao Bagamoyo.. Haya makundi mawili yalihasimiana mpaka yakawa kero kule Masaki yalikokuwa yamepanga...
Kwa kawaida wale mabinti huwa hawakatiwi vibali bali vya ukazi bali ni business visa za miezi mitatu mpaka sita baada ya hapo huhamishiwa nchi nyingine maana maboss wana mitandao yao..!

Hawa mabosi sasa wakaanza kuchomeana serikalini.. Waswahel wanasema vita ya panzi ni furaha ya kunguru, wakaaza kutoleana siri za biashara zao chafu na watu wanaoshirikiana nao toka mamlaka za serikali.. Hili sakata liliondoka na wengi huko mamlakani lakini na wachina nao wakaishia kutimuliwa nchini...

Hapa pamoja na mengine madogo madogo ndio palikuwa chanzo cha kuwa na makundi hasimu ya hizi biashara chafu hasa kusafirisha binadamu na kuwatumikisha kingono..

Haya niliyoandika leo ilikuwa ni muhtasari wa asili ya tatizo na yalitokea kabla ya 2015.. Ambapo kwa kipindi hicho wachina walinunua silaha kwa wingi sana.. Na biashara za kamari na uchangu zilishamiri.. Kuna mengi sijayaandika hapa kwakuwa nimechagua kipengele cha uchangudoa
Baada ya 2015 hizi biashara zilipotea kwa sehemu kubwa na mabinti wa kibongo wakapanda chati
Kilichonisukuma niandike sasa ni haya mauaji yaliyonza kutikisa tena na kesi kuwa nyingi.. Nitarejea nimalizie sehemu ya tatu na ya mwisho


Sehemu ya tatu na ya mwisho

Baada ya Magufuli kuchukua madaraka 2015 biashara nyingi ziliyumba na wachina wachuuzi wa kariakoo hawakuwa salama.. Wengi na kampuni zao za mifukoni walikimbia nchi..

Biashara ya machungu wa kichina ilibustiwa mno na wachuuzi wa kichina kariakoo na wale wa casino... Hawa ndio wana pesa ya kuchezea kwakuwa sio siri kwa wale wanaoifahamu kariakoo, mchina wa pale kufunga million 5 kabla ya saa saba ni kitu cha kawaida kabisa.. Hawa ndio kwa sehemu kubwa walichagiza hizi biashara haramu
Baada ya mama kuingia madarakani kwa hizi kudra za Mwenyezi Mungu na watu kuanza kulamba asali, masega yamewafikia hata wachina wale wachuuzi wa kariakoo na wengine wenye biashara tata na kuanza kukumbuka zipu... Urijali wa wanaume huchagizwa na cash pia mfukoni
Yale mabifu yanarejea kwa kasi, wamenza kudundana tena, na mauaji ya juzi ni hitimisho ya maugomvi ya kugombea wanawake machangu wa kichina yaliyokuwa yanaendelea tangu March...!

Je huu utakuwa ni mwanzo wa mwisho wa hizi bifu zenye kuhatarisha maisha ya wazawa ama ni mwisho wa mwanzo wa bifu zingine kubwa mbeleni.. Maana wale ambao ndugu yao kafa na mwingine kujeruhiwa ! Kwa ninavyowafahamu wavimba macho sidhani kama ndio tamati...

Hatuombi yaendelee kutokea lakini chanzo ni kile kile cha
Adam
Samson na hata wewe... kwaherinii...
 
Kesi ni nyingi lakini zinazoripotiwa polisi ni chache na zinazoifikia mitandao ya kijamii ni chache zaidi kwakuwa kwa sehemu kubwa mambo haya hutokea ama hufanyika kwenye maeneo yao wenyewe..! Malaya wa kichina wanagonganisha magari kwa kwenda mbele

Iko hivi; Kwanza lazima utambue hawa wachina unaowaona wanafanana wote kila mtu ana kabisa yake... Na wako hapa kwa makundi yao ya kikabila na ni kitu cha kawaida kukuta kabia moja halielewi lugha ya kabila lingine
Hawa wote wanaunganishwa na lugha ya Kichina inayoitwa Mandarin Chinese na ndio lugha inayoongewa na waswahili wengi
Utofauti wa lugha na maeneo watokayo huwatofautisha kwa mbali mno...
Ukiwaona wa kamari hao wanatoka Fu jian, wanapenda kuongea kwa sauti kama wanafoka, wana mishe nyingi na temper yao iko juu sana.. Hawa wanaongoza kwa kupenda shortcut na biashara haramu wao ni kama uji na mgonjwa

Kuna wauza nguo, wauza viatu, wajenzi nknk.. Hawa wote hutofautiana mpaka vyakula na hata ile migahawa yao ya kichina iko kwenye mfumo huo
Wala mbwa na wanyama wa ajabu ajabu
Wapenda pilipili sana
Wachafu sana
Wavuta sigara sana nknk

Ongezeko lao Tanzania na kufunguka kwa biashara huria hasa kipindi cha JK kuliwafanya wengi waliokuja huku watake huduma ya ngono ambayo kwa wanawake wetu mila na desturi zilipishana , hivyo baadhi yao wazee wa fursa wakaanza kuwaleta mabinti wa kichina kwa ahadi ya kazi, ambapo hata hivyo waliishia kwenye majumba yaliyokodishwa na hao waliowaleta na kufanyishwa biashara ya ngono

Hapo kabla mabinti wachache niliobahatika kuongea nao kwa kificho sana na hofu kuu walitamani sana wapate msaada walau wa ubalozi ama namna ya kuwanasua toka mikono ya hao waliowaleta ambao huwapokonya hati zao za kusafiria na kuwafanyisha ngono hata mara tano au sita kwa siku...!

Kinachofanyika ni hiki.. Hawa wauza binadamu wenzao ni magenge yenye biashara haramu toka huko kwao lakini huku hujificha nyuma ya biashara yoyote halali ya kuzugia...

Hupenda kuchagua zile nyumba za apartments na hupenda kupanga kwenye apartments ambazo wamiliki wake wana nguvu kwenye mamlaka za nchi hasa wanasiasa na wafanyabishara wakubwa. .. Hapo wana uhakika wa watu wao kutobughudhiwa na uhamiaji ama mamlaka zingine.. Maeneo wanayopendelea sana ni Masaki na Mikocheni kisha mitaa ya Posta na mwisho ni Kariakoo ama Ilala kwa uchache sana

Humo kwenye apartment ya bedroom 3 huwekwa mabinti kuanzia sita mpaka kumi.. Ambao hawawezi kutoka bila ruhusa ya bwanamkubwa

Kishapo kichachofanyika hapo sasa hao wauzaji kutangaza biashara kwa wenzao kwa kigezo cha kufanyiwa masaji... Ambapo rates ni kama ifuatavyo

Saa moja ni $100 mpaka 200 kulingana na uzuri.. Hiyo ni tofauti na gharama za gesti/hotel ambao nao huchaji kati ya $70 mpaka 100 kwa shortime.. Moja maarufu kwa shughuli hizo iko sealander Lakini nina hakika siku hizi zimekuwa lukuki
Kukaribishwa nyumbani (penye danguro) chakula na vinywaji ni $300 mpaka 500.. Hizi ni za enzi hizo
Kutoka naye dinner nayo ni $200 mpaka 300
Baaadhi ya nyakati na kwa baadhi ya wanyange dau hufika mpaka $600 .. Na hasa hasa siku za weekend, sikukuu ama kwenye matukio maalum

Binti mmoja kwa siku anaweza kulalwa na wanaume mpaka watano.. Kinachofanyika.. Tajiri ndio anapokea simu ya mhitaji kisha anamtuma dereva (mara nyingi gari zao ni Noah, Alphard nk zenye Tinted.. Kazi ya dereva ni kwenda apartment kumchukua anayetakiwa na kumepeleka anapohitajika, kumsubiri kisha kumrudisha..
Kwa mahitaji yalivyo makubwa kila binti kila siku hapungui kulalwa si chini ya mara mbili

Fuatilia part two namna ugomvi unavyotokea na hatimaye kuumizana, kujeruhiana na hata kuuana....

Itaendelea..
Duuh
 
Back
Top Bottom