Perfume maalum kwa usiku

richenriques

Senior Member
Jun 6, 2015
188
33
Ule wakati wa kwenda kwenda kwenye harusi unanukia spray ya seduction, katikati ya sherehe uende chemba kidogo urudie kuspray umekwishaaaa... Pata perfume original maalum kwa matumizi ya nyakati za usiku, japo kama washinda kwenye kiyoyozi hata mchana waweza tumia... Hii si ya kukosa kwa wapenda vitu vizuri... Haipatikani kariakoo wala posta, oda yako hapa... Bei ni 65000...
0489c4198aa9a72a3607372093516f4f.jpg
 
Urufu 65 000/-??

Kwani ina TV ndani
 
Yaani wewe sijui wa wapi,kwanza tunaotumia perfume zenye akili tunaona hiyo bei ni rahisi sana kama perfume ya fake.
Nilitaka kusema hivyo hivyo ila nikaogopa kuambiwa show off. 65,000 kwa perfume ni bei ya chini.

Nitajaribu hizi Oriflame nione zikoje,kuna vitu bei chini ila vizuri pia.
 
Nilitaka kusema hivyo hivyo ila nikaogopa kuambiwa show off. 65,000 kwa perfume ni bei ya chini.

Nitajaribu hizi Oriflame nione zikoje,kuna vitu bei chini ila vizuri pia.
Ukaona ujibalance tu,ila kwa mshangao aliokujanao huyo jamaa kuonyesha 65,000 ni bei kubwa,ulipaswa kusema tu maana inaonyesha jamaa ama ni mgeni kwenye kwenye haya mambo au yupo gizani sana,na inaonyesha hata hana ukaribu na watu wanaojua mambo ya perfume.
Niliona samples za oriflame nikaipenda moja ilikuwa ya blue ila nimeisahau jina,lakini sikuipata kwenye ujazo mkubwa,ukiipata kali tujuzane mkuu.
 
Back
Top Bottom