Penzi la Rayvanny na Paula laanza upya

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,521
7,368
Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala.

Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi.

udakutz_-photo-2021_04_09_12_37.jpg


---

Ni couple ambayo imekumbwa na vizingiti vya hapa na pale so bado inaenda kimya kimya.

Ila ni swala la muda tu, siku ambayo mahusiano ya hawa wawili yakienda rasmi public itakuwa ndio couple yenye nguvu zaidi kuwai kutokea Tanzania.

Itakuwa zaidi ya Juma Nature na Sinta.

Itakuwa ni zaidi ya Diamond na Wema.
 
Mtoto analika Kwa vannyboy mtu mbaya kila sku fresh , konde boy alikuwa anamtumia mtoto mzuri picha za uume , akiwa anaoga , tumezitunza kwenye galley pale next level music .... Kuna sku tutazitaftia Kiki 😋
konde uchawi mwingi akili za watu wa vijijini zile hata apate hela bado anawaza kama mwanga. sasa mtoto anapigwa mti na hakuna kitu atafanya 😂
 
Back
Top Bottom