kila kitu si siasa,hizi issue za kudhalilisha watoto zinzolikabili kanisa dunoa nzima sasa na wakatoliki wenyewe wanalalamika kwambapapa hachukui hatua anaficha madhambi,JE NI HABARI LEO,CCM AU SIRIKALI INAHUSIKA.yule pdre alomnajisi mtoto chuo kikuu kweye gari ni serekali imetunga au habari leo.anachotakiwa pengo kusema ni kuilazmisha serikali ithibitishe.HE WHO ALLEGE MUST PROVE
Nadhani hapa hoja ni kua je ni kweli....na je hawezi kujua haki zake Kama kiongozi mkubwa Kama yeye anasingiziwa na je kwanini wasijitokeze nyie mnaokataa kumtetea kuprove kwa umma jamani haya mambo yapo na Chombo cha haki na mahakama kama amechafuliwa na ni clean why tryin to sympathize with the public..... It is an issue that needs to be addresed well na sio kutafuta huruma ya jamii.... It's typical legal matter.....MPOOO?
Ukipenda chongo huita kengeza:lol:
Hivi huyo mwenye hiyo list ya wauza unga kwa nini anaitunza sandukuni? Ni muda mrefu sasa watu wamebakia kuzungumzia list. Kwanini wasiwafikishe mahakamani hao wakosaji? Sasa akibaki kuturingishia list itatusaidia nini sie? Vijana wanaendelea kuharibikiwa kwa unga mtu anabaki kuzungumzia list tu badala ya kuwafunga waagiza madawa!
Mkuu si nilkupa mfano ule wa EPA?Na kuzungumza kwa mafumbo kwa bwana Pengo bila kutaja source ya habari zake je?
Nakuunga mkono sana mkuu tena pamoja na miguu, askofu Koda alijaribu kusema wanamuonea wivu kwa maendeleo mwisho wa siku kanisa lilimkamata live bila chenga na sasa yupo mafunzoni kuendelea kuisoma imani zaidi. Waache Jk na wezake siwanafikiri kwa urefu wa viatu vyao kumbe wenzao wanafikri beyond that. Big up man for good analysis.
Tutawaumbua wote wahusika halisi muda mwafaka utakapowadia na kuweka hadharani data lukuki hapa.
Itakuwa waliamuwa kuliondoa...lolMajina ya watuhumiwa wa madawa yakitoka na kwa bahati mbaya kama jina la Pengo halipo bwana Pengo ataweka wapi sura yake?
Hii ndio tabu ya kufikiri kwa kutumia masaburi meusiii!!!Si ajabu huyo mhubiri kukamatwa na madawa ya kuleva. Mbona hata mtume wa allah pamoja na vikundi vyake vya kigaidi kama Taleban, Alqaida, Al Shabab, hutegemea dola za madawa ya kulevya kuendeleza jihad duniani?
Nayajua makanisa Katoliki karibu yote ya Sumbawanga, nitajie parokia moja au kigango chenye makuti !Kanisa lina hela nyingi sana hadi za anasa? wakati waumini wake kule sumbawanga wanakanisa la makuti
Si ajabu huyo mhubiri kukamatwa na madawa ya kuleva. Mbona hata mtume wa allah pamoja na vikundi vyake vya kigaidi kama Taleban, Alqaida, Al Shabab, hutegemea dola za madawa ya kulevya kuendeleza jihad duniani?
Amesema jina lake liko kwenye list ya wauzaji wa madawa ya kulevya, hakusema whether hiyo list iko police au wawapi, pia amesema vijana wasiamini kila kitu cha mtandaoni, means inawezekana hiyo list imekuwa circulated kwenye mtandao!
Soma vizuri post #142 na #147. Narudia tena ukikua utaacha tu.