Pengo amtolea uvivu Kikwete

Pengo amtolea uvivu Kikwete

Pengo awataje hadharani mapadre na maaskofu wanaowalawiti vijana wadogo kwanza. Kwangu mimi hili ni kosa baya zaidi kuliko hata hilo la uuzaji wa madawa ya kulevya. Tumesikia kesi nyingi za mapadre hawa lakini Pengo hajawahi kusema hadharani jinsi anavyochukizwa na hili na hatua anazochukua. Kanisa Katoliki lina mambo mazito na mabaya sana.

Kama huna cha kuchangia si ukae kimya? Haya yanahusika vipi na mjadala unaoendele? Au na wewe ni mhanga wa hivyo vitendo sasa umepata mahali pa kublast?Si uanzishe thread yako tukujibu? Wenye akili nzuri wanakupotezea tu kiaina ukitaka anzisha mjadala tukuelimishe. Huna la kuchangia sepa.
 
Mimi nawajua wawili, mmoja alikuwa padri mwingine alikuwa sister, sasa hivi wote ni wanachama wa chama flani anachokipenda pengo, mmoja ni mbunge jina lake linaanzia na R na kuishia na K, mwingine yeye anafanya kazi za chama jina jina lake linaanzia na W na kuishia na S....Ni wataje au Pengo nisaidie.

Nakupongeza kwa kuchagua Avatar nzuri inayoendana na mawazo yako. Pia tabia zako (kutokana na maoni yako) zinaendana na unayemtetea. Humu tu unaona kaazi kweli kweli kutaja majina kama bosi wako alivyoshindwa kufanya. Pia kama huna la kuchangia si uache tu kwani lazima kututangazia ulivyo mtupu kichwani hapa. This is home of the Great Thinkers my friend! Wenye ubongo mwepesi hapa mmepotea njia!
 
Natofautiana nawe kuhusu fikra zako kwani ni potofu. Iwapo Pengo na TEC wangempigia kampeni Dr Slaa hakika Kikwete asingeshinda. Mtandao wao ni mpana na waumini wao wanawaheshimu na kuwasikiliza sana. Fikra hizi potofu ndizo pia alizo nazo Kikwete. Lakini nadhani ni suala la kuwa na upeo mdogo tu na kutoweza ku-reason vizuri. Mie nimefanya research ndogo na kugundua kwamba Kikwete alizoa kura nyingi kwenye maeneo ya Wakatoliki kuliko Dr Slaa. Angalia Jimbo La Peramiho ambako karibu asilimia 90 ya wakazi wake ni Wakatoliki. Kule Kiikwete alipata
kura zaidi ya asilimia 80. What does it mean? Watanzania hawapo kabisa kwenye UDINI anaoueleza Kikwete na wafuasi wake.

Nataka niongezee kwamba kanisa Katoliki mwaka 2005 lilisaidia kwa kiasi kikubwa kwa ccm kuingia madarakani.Nakumbuka iliwekwa msisitizo kwamba tusiangalie dini ila mgombea awe ni mwenye kumcha Mungu.Mimi ni RC na nilimchagua huyo,kwa sasa unanifanya nifikirie lipi kwa haya yaliyoandikwa humu?
 
Kama huna cha kuchangia si ukae kimya? Haya yanahusika vipi na mjadala unaoendele? Au na wewe ni mhanga wa hivyo vitendo sasa umepata mahali pa kublast?Si uanzishe thread yako tukujibu? Wenye akili nzuri wanakupotezea tu kiaina ukitaka anzisha mjadala tukuelimishe. Huna la kuchangia sepa.
Kwa nini Pengo achukizwe na kauli ile kama haimuhusu yeye na mapadre wake? Anataka tuamini kuwa kwa WAKATOLIKI kila kitu ni shwari? Mwalimu alikuwa na kawaida kama hii ya kukemea jambo lolote baya kila alipoalikwa na viongozi wa dini. Hatukuwahi kusikia analazimishwa kufafanua au kutoa maelezo zaidi. Kanisa Katoliki nalijua. Lina UOZO mwingi. Tena JK aliwastahi tu. Alipaswa awambie waoe kama mwenzao Dr Slaa alivyofanya kuliko kuendelea kudhalilisha wavulana wetu, wake za watu,....., na mapadri wengine wanageuzwa ile mbaya.
 
Najibu tu hapo kwenye nyekundu maan ndio pana uhusiano na Mada hii huko kwingine anzisha mada nikujibu.

Usikurupuke tu kutoa hoja humu sio sokoni. CCT ndio waliokuwa wa kwanza kuchukizwa na kauli ya ajabu kihivyo kutolewa na mkuu wanchi tena kwenye hafla ya kidini. Wao immediately walimpa saa 48 awataje wahusika na wachukuliwe hatua. Kama inahusu yeye na si wamtaje? Kwani watu wa usala wa taifa si wapo tu kibao humu na wanampelekea haya tunayoyatatoa humu? Kwani Pengo si alimuambia awataje hata kama ni yeye mwenyewe? Kijana.... Kuwa na ujasiri wa mwanamke mjazito.

Fikiri kwa kutumia kichwa haya mengine kama ulifanyiwa pole anzisha uzi wako tukupe nondo acha kuishi maisha ya kusadikika. Walimwita Yesu Belzeebul sembuse kutusi kanisa na watumishi wake leo? Mbona huo ni utimilifu wa maandiko?
 
Pengo awataje hadharani mapadre na maaskofu wanaowalawiti vijana wadogo kwanza. Kwangu mimi hili ni kosa baya zaidi kuliko hata hilo la uuzaji wa madawa ya kulevya. Tumesikia kesi nyingi za mapadre hawa lakini Pengo hajawahi kusema hadharani jinsi anavyochukizwa na hili na hatua anazochukua. Kanisa Katoliki lina mambo mazito na mabaya sana.

Papa aliomba radhi kwa niaba ya kanisa(na wengine walifikishwa kwenye vyombo vya sheria na walikamatwa na kesi zinaendelea) sio mara moja au mara mbili.Kitu muhimu JK ataje hao wahusika ili kama kanisa linao hao watu hatua zichukuliwe.Kwani tangu JK ameingia madarakani ni mtu wa kutaja na kulalamika bila kuchukua hatua mwezi uliopita amelalamika sana kuwa waandamizi wake wanakalia starehe ikiwa ni pamoja na ulevi,ngono lakini kusema wazembe wote waondoke hasemi sana ni kuwapa likizo za malipo na kuwahamishia mkoa au wizara nyingine.
 
Najibu tu hapo kwenye nyekundu maan ndio pana uhusiano na Mada hii huko kwingine anzisha mada nikujibu.

Usikurupuke tu kutoa hoja humu sio sokoni. CCT ndio waliokuwa wa kwanza kuchukizwa na kauli ya ajabu kihivyo kutolewa na mkuu wanchi tena kwenye hafla ya kidini. Wao immediately walimpa saa 48 awataje wahusika na wachukuliwe hatua. Kama inahusu yeye na si wamtaje? Kwani watu wa usala wa taifa si wapo tu kibao humu na wanampelekea haya tunayoyatatoa humu? Kwani Pengo si alimuambia awataje hata kama ni yeye mwenyewe? Kijana.... Kuwa na ujasiri wa mwanamke mjazito.

Fikiri kwa kutumia kichwa haya mengine kama ulifanyiwa pole anzisha uzi wako tukupe nondo acha kuishi maisha ya kusadikika. Walimwita Yesu Belzeebul sembuse kutusi kanisa na watumishi wake leo? Mbona huo ni utimilifu wa maandiko?
Ya nini kuanzisha thread nyingine kwa mada zinazofanana? Kulawiti wavulana ni kosa kubwa tu kama kuuza na kusambaza madawa ya kulevya. Rais anakemea kistaarabu kwa viongozi wazito ambao hawajazoea kuguswa Pengo anang'aka. Yeye Pengo hata kwenye mahubiri yake ndani ya kanisa hawataji mapadre na maaskofu wabovu alionao.

Nilitarajia Pengo na akina Mokiwa wamwambie Rais wetu watajichunguza na watamsaidia kwa hilo. Namfahamu Pengo tangu akiwa pale Segerea Seminary kabla ya hizi kanzu na kofia za sasa alizonazo. Angalau sio yeye wa kumnyooshea kidole JK.
 
Waasisi wetu walipokuwa wanapigania uhuru wa taifa hili, lengo na maono yao yalikuwa kutengeneza taifa lenye utukufu, lenye kutawala mataifa mengine …,” alisema Kardinali Pengo na kuongeza:
Maelezo hayo ni upotovu, hatukua n NIA YA KUMTAWALA YEYOTE YULE. Sisi si wakoloni au KATOLIKI (kwa vile katoliki ni jadi kwa kuwatawala wengine na ni madhumuni makubwa ya kanisa hilo). Sina la kuongeza.

“Haiwezekani mtu mkubwa tu, wala siyo mdogo kuja katika eneo la Kanisa la Katoliki, kukiwa kumejaa Maaskofu kutoka karibu nchi nzima, unasema maneno haya halafu unasema, siyo nyie ni viongozi wa makanisa madogomadogo," alilalamika Kardinali Pengo. Alifikiri anaogopwa, eti kwa vile kajaza maaskofu toka nchi nzima ndio Raisi angefyata mkia. Weeeeee ANAJIDANGANYA, atasemwa tu, tena Rais akialikwa tena atarudia maneno hayo hayo, ni uamuzi wake Pengo ajichimbie shimo au afanye kama wale viongozi wa katoliki kule Rwanda, asaidie mauaji ya wananchi au aanzishe vita maana mwenye nia ya kutawala wengine hutumia silaha. Sasa hivi watanzania hatujali, asitutishe tishe. Na Rais kashamjibu 'ASIDHANI KUWA VIONGOZI WA KATOLIKI NI MALAIKA' Haya tunasubiri toka kwa Pengo!

Aliongeza kwamba: "Kama ndivyo hivyo kwa nini sasa uje kuyasema maneno hayo katika eneo la Kanisa Katoliki."
Akasisitiza: "Mapadri, watawa; naomba tujiangalie kama sisi tunaguswa na hii kauli, kama haitugusi tumshukuru Mungu, lakini ni vyema hawa watu wakatajwa.
Hapo atajaza mwenyewe, kama amesoma na kuelimika jibu atalipata yeye si mtoto mdogo. Na kwa kumsaidia Rais kasema Wao si Malaika. Kwani kanisa hili lilipokuwa likilawiti watoto wadogo, Maaskofu walikuwa hawajui. Kanisa hili linahitaji kila mara lipate msaada wa kuwanyoshea vidole wahalifu wao toka nje ya kanisa. Tutaendelea kutoa msaada huo na kuwasaidia wengi.

"Rais ataje majina ni kina nani wanahusika na ndani ya saa 48 awe ameyataja la sivyo itakuwa ni aibu zaidi kwake na Serikali," alisema Makamu Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dk Valentino Mokiwa. Hakuna cha saa 24 wala 48, hatajwi mtu. Hizi ni shughuli za kiintelijensia. Hii ilikuwa ni tahadhari, ajue ni nini kitalikuta kanisa lake. Idara husika itaposhughulikia individuals, watakuja kuwasalimia rumande , mahakamani au jela. Akuuaye hakuonyeshi kisu, na ukikiona kisu basi ujue umepona. Ngoja nimfundishe Pengo katika hili, Hata kama nakujua unauza madawa ya kulevya, ikiwa ushahidi wangu sijaukusanya vizuri basi mahakamani utanishinda. Kama waliokushuhudia hawataki kutoa ushahidi, ndugu yangu utashinda kilaini. Na hakuna sheria inayomlazimisha mtu akatoe ushahidi. Hivyo hapa inabidi kujipanga vizuri sana. Haya ndio mambo yanatokea sana huko Latin Amerika, shahidi anakataa kwenda mahakamani kushuhudia.

Fuatilia kitabu changu kitakuwa hewani hivi karibuni " The catholic church and political future of Tanzania"
 
Waasisi wetu walipokuwa wanapigania uhuru wa taifa hili, lengo na maono yao yalikuwa kutengeneza taifa lenye utukufu, lenye kutawala mataifa mengine …," alisema Kardinali Pengo na kuongeza:
Maelezo hayo ni upotovu, hatukua n NIA YA KUMTAWALA YEYOTE YULE. Sisi si wakoloni au KATOLIKI (kwa vile katoliki ni jadi kwa kuwatawala wengine na ni madhumuni makubwa ya kanisa hilo). Sina la kuongeza.

"Haiwezekani mtu mkubwa tu, wala siyo mdogo kuja katika eneo la Kanisa la Katoliki, kukiwa kumejaa Maaskofu kutoka karibu nchi nzima, unasema maneno haya halafu unasema, siyo nyie ni viongozi wa makanisa madogomadogo," alilalamika Kardinali Pengo. Alifikiri anaogopwa, eti kwa vile kajaza maaskofu toka nchi nzima ndio Raisi angefyata mkia. Weeeeee ANAJIDANGANYA, atasemwa tu, tena Rais akialikwa tena atarudia maneno hayo hayo, ni uamuzi wake Pengo ajichimbie shimo au afanye kama wale viongozi wa katoliki kule Rwanda, asaidie mauaji ya wananchi au aanzishe vita maana mwenye nia ya kutawala wengine hutumia silaha. Sasa hivi watanzania hatujali, asitutishe tishe. Na Rais kashamjibu 'ASIDHANI KUWA VIONGOZI WA KATOLIKI NI MALAIKA' Haya tunasubiri toka kwa Pengo!

Aliongeza kwamba: "Kama ndivyo hivyo kwa nini sasa uje kuyasema maneno hayo katika eneo la Kanisa Katoliki."
Akasisitiza: "Mapadri, watawa; naomba tujiangalie kama sisi tunaguswa na hii kauli, kama haitugusi tumshukuru Mungu, lakini ni vyema hawa watu wakatajwa.
Hapo atajaza mwenyewe, kama amesoma na kuelimika jibu atalipata yeye si mtoto mdogo. Na kwa kumsaidia Rais kasema Wao si Malaika. Kwani kanisa hili lilipokuwa likilawiti watoto wadogo, Maaskofu walikuwa hawajui. Kanisa hili linahitaji kila mara lipate msaada wa kuwanyoshea vidole wahalifu wao toka nje ya kanisa. Tutaendelea kutoa msaada huo na kuwasaidia wengi.

"Rais ataje majina ni kina nani wanahusika na ndani ya saa 48 awe ameyataja la sivyo itakuwa ni aibu zaidi kwake na Serikali," alisema Makamu Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dk Valentino Mokiwa. Hakuna cha saa 24 wala 48, hatajwi mtu. Hizi ni shughuli za kiintelijensia. Hii ilikuwa ni tahadhari, ajue ni nini kitalikuta kanisa lake. Idara husika itaposhughulikia individuals, watakuja kuwasalimia rumande , mahakamani au jela. Akuuaye hakuonyeshi kisu, na ukikiona kisu basi ujue umepona. Ngoja nimfundishe Pengo katika hili, Hata kama nakujua unauza madawa ya kulevya, ikiwa ushahidi wangu sijaukusanya vizuri basi mahakamani utanishinda. Kama waliokushuhudia hawataki kutoa ushahidi, ndugu yangu utashinda kilaini. Na hakuna sheria inayomlazimisha mtu akatoe ushahidi. Hivyo hapa inabidi kujipanga vizuri sana. Haya ndio mambo yanatokea sana huko Latin Amerika, shahidi anakataa kwenda mahakamani kushuhudia.

Fuatilia kitabu changu kitakuwa hewani hivi karibuni " The catholic church and political future of Tanzania"

Ama kweli kainji ka tiizedi kwa majuha! Ndio maana hatuendelei. Watu wengine ni wa kupuuza tu hakuna haja ya kuwajibu.
 
Wana magamba bana.....wakishindwa kujibu hoja wanakimbilia matusi! Sawa sawa na mtoto mdogo akishindwa ugomvi wa ngumi anaokota mawe...
Haiwezekani kila siku mtu anaishia kusema tu ..nina list ya wauza unga, ...nina list ya wala rushwa, ...nina list ya viongozi wa dini wauza unga and then inaishia hapo hapo. Sasa anatoa statement hizo ili iweje? Zina tofauti gani na porojo za vijiwe vya gahawa ikiwa hakuna hatua inayochukuliwa? Atuambie kwanza orodha ya Merehemu Amina Chifupa iliishia wapi?
 
Kuna kisa fulani cha Idd Amin kinaadisiwa kwamba aliwahi kumtayarisha mtu wa kulilipua gari lake mara tu litakapo ondoka kutoka kwenye mkutano wa hadhara aliofanya na wananchi. Wakati wa kuondoka mkutanoni hakulitumia gari lake na punde linalipuliwa na watu kudhania Idd Amin kauawa, halafu yeye anajitokeza kwenye Tv na kuwahutubia wananchi kwamba alizifahamu njama za kumlipua na waliozipanga na ndio maana aliwapiga chenga. Alifanya hivi kuwatisha wananchi waone kwamba yeye ni mtu makini na anaejua mengi. Ila cha ajabu hakuna mtu aliekuwa anakamatwa kwa hilo jaribio la kutaka kumuua rais japo alidai kuwafahamu.

Hii inafanana na ya Jk, anaposema nawafahamu wala rushwa, huku ikiendelea kuongezeka bila aliosema anawafahamu kuchukuliwa hatua Nawafahamu Majambazi, na hakuishia hapo sasa anawafahamu viongozi wa dini wauza unga bila kuwataja wala kuwachukulia hatua. Hivyo tumeishtukia janja ya Jk, haitofautiani na janja ya Amini aliyokuwa akiitumia kutisha raia zake
 
Huyu mtu anayejiita Mkandara nafikiri amepitwa na wakati. Anashindwa kutofautisha mandtaari ya kupiga siasa na nyumba ya ibada. Kikwete alialikwa kama Rais wa nchi awakilishe serikali kwenye sherehe ya kumsimika baba Askofu. Kwenye matukio kama haya ndip semantics na stylistics hutumika. Rais sio mwimba taarabu au mtoa mipasho. Rais ni mwakilishi wa taasisi nyeti nchini.

Kuongea kama mtu ambaye hajawahi kuona kuta za madarasa ni fedheha kwa nchi hii na Afrika kwa ujumla maana kuna siku dunia itauliza hivi Watanzania wote vilaza ndio maana walimchagua killaza mwenzao? Rais alikuwa na nafasi kubwa ya kutoa tamko la biashara ya kuuza unga si kanisani. Ni dharau, kejeli, uchonganishi na ukosefu wa ustaraabu ktk medani ya lugha. Ndio maana anaambiwa awataje kokote atakopoona panafaa na waadhibiwe. Unawaambia maaskofu wana mahakama ya kirahia, wana polisi, wana mgambo?wana usalama wa taifa? taasisi zote tajwa ziko chini ya rais na awapeleke watuumiwa wote hao wawajibishwe.

Halafu nyie mnaoshabikia ubwabwaji wa aina hiyo na nyie mnatakiwa mjieheshimu. Huu sio wakati wa kulamba miguu na kushangilia mfalme. Na mfike pahala mwambie rais wenu kuwa yu intellectually naked. Lakini mwambie wengine hawajaona. Muda wa kuijirekebisha upo. Kama anataka uhuni aende nje kama alivyowahi kupotelea mitaa ya Belgium na anajua alikuwa anatafuta nini. Je, alichokuwa anafanya ni kizuri
 
Eye for Eye!

I think Poly Pengo is very correct kwani mtu kama kiongozi kama JK amepewa dhama ya nchi na hii ajilra aliyoomba ya kuwa rais tulimpa awatumikie wananchi lakini ameshindwa. Sasa kitendo cha pengo kumtolea uvuvi mkuu uvivu na kumpa ukweli ni sahihi naona muda umefika kwa kuona, kusikia na kutenda vilio vya wananchi! JK u need to change and act like JK senior he was very serious on issues and always punish those who perform poorly.
 
Huyu mtu anayejiita Mkandara nafikiri amepitwa na wakati. Anashindwa kutofautisha mandtaari ya kupiga siasa na nyumba ya ibada. Kikwete alialikwa kama Rais wa nchi awakilishe serikali kwenye sherehe ya kumsimika baba Askofu. Kwenye matukio kama haya ndip semantics na stylistics hutumika. Rais sio mwimba taarabu au mtoa mipasho. Rais ni mwakilishi wa taasisi nyeti nchini.Kuongea kama mtu ambaye hajawahi kuona kuta za madarasa ni fedheha kwa nchi hii na Afrika kwa ujumla maana kuna siku dunia itauliza hivi Watanzania wote vilaza ndio maana walimchagua killaza mwenzao? Rais alikuwa na nafasi kubwa ya kutoa tamko la biashara ya kuuza unga si kanisani. Ni dharau, kejeli, uchonganishi na ukosefu wa ustaraabu ktk medani ya lugha. Ndio maana anaambiwa awataje kokote atakopoona panafaa na waadhibiwe. Unawaambia maaskofu wana mahakama ya kirahia, wana polisi, wana mgambo?wana usalama wa taifa? taasisi zote tajwa ziko chini ya rais na awapeleke watuumiwa wote hao wawajibishwe.

Halafu nyie mnaoshabikia ubwabwaji wa aina hiyo na nyie mnatakiwa mjieheshimu. Huu sio wakati wa kulamba miguu na kushangilia mfalme. Na mfike pahala mwambie rais wenu kuwa yu intellectually naked. Lakini mwambie wengine hawajaona. Muda wa kuijirekebisha upo. Kama anataka uhuni aende nje kama alivyowahi kupotelea mitaa ya Belgium na anajua alikuwa anatafuta nini. Je, alichokuwa anafanya ni kizuri

Mkuu, naona unaropoka tu umfahamu vizuri Mkandara, karibu sana Jf, soon ujamjua ni nani fuatilia tu mabandiko yake
 
Unajua ktk mikutano ya Umoja wa Mataifa ni rahisi sana kuwasikia Marekani wakitukana nchi zote na marais wao hata kuwapigia kura za veto lakini isitokee rais wa nchi nyingine azungumze maneno mazito dhidi ya serikali zao. Wao kwa mtindo wao hutoka nje na kusema ubaya wote wa matamshi ya huyo rais iwe kuhusu Ubeopari mamboleo ama Israel..

Labda nikuulize wewe kitu kimoja, Hapa tuna malumbano kutokana na kauli ya nani? JK kaifanya miezi miwili mitatu ilopita na wananchi wameisha sahau tunazungumzia maswala ya Umeme, maji na ufisaid unaoendelea. Huyu Mh. Kardinali katoka huko alikojificha siku zote kafumua donga ambalo angeweza kabisa kulitafutia ufumbuzi bila kupanda jukwaani na kumkashifu rais..

Pengo anamkashifu rais na maneno yake yamejaa dharau kubwa sana kwa sababu tu rais anawajua viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya. Na yawezekanakweli JK hakutakiwa kusema ktk mkutano huo.. Hata Obama kawahi kukosea kuzungumzua vitu mbele ya Malikia ambavyo hakutakiwa kusema, lakini alielekezwa. JK ni rais wa nchi na kama alifanya makosa kusema pale mbele ya mkutano wa maaskofu kwa sababu Kanisa huwa lina mambo ya Kisiri kisiri angefahamishwa.. lakini sioni kosa hata kidogo kwa rais kuwaonya wale wanaofanya vitendo hivyo waache kwa sababu Mapadre ni mfano mzuri wa viongozi wa jamii zetu.

Kama Pengo asingesimama majuzi na kusema yote haya, malumbano haya yasingekuwepo hivyo tufahamu kwamba Pengo ndiye sababu ya mada yoote hii na kutoelewana, jambo ambalo watu wanafanya uetetezi kwa sababu kiimani wanaamini Pengo hawezi kufanya makosa sii binadamu ni chaguo la Mungu na mwenye utume... Ni imani yenu na Naiheshimu!
- Nilikuwepo...
 
Pengo amnyoshee kidole Mkapa kwanza; then sisi wengine tutamchukulia serious.

Hawezi kumgusa Mkapa na Sumaye. Kwa muujibu wa PENGO hawa ni watakatifu. Ndio maana Kikwete hKUWAGUSA Akiogopa vita nchini. Lakini vita nchini kwetu haiepukiki ili tupate maendeleo.
 
Kama Pengo asingesimama majuzi na kusema yote haya, malumbano haya yasingekuwepo hivyo tufahamu kwamba Pengo ndiye sababu ya mada yoote hii na kutoelewana, jambo ambalo watu wanafanya uetetezi kwa sababu kiimani wanaamini Pengo hawezi kufanya makosa sii binadamu ni chaguo la Mungu na mwenye utume... Ni imani yenu na Naiheshimu!
- Nilikuwepo...

Hawa wakinyamaza mawe yatapiga kelele. Alihamua kumpa muda muheshimiwa ili atekeleze agizo la CCT lakini wapi. Akadhani angetumia busara awataje lakini wapi. Ukumbuke kuwa Pengo alikuwa akihutubia ibada ya Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru kwahiyo alikuwa huru kuzungumzia lolote lililomkera zaidi kwa miaka 50 ya uhuru wetu. Think Loud.
 
Nakubaliana na wewe sana tu. Unajua ktk mikutano ya Umoja wa Mataifa ni rahisi sana kuwasikia Marekani wakitukana nchi zote na marais wao hata kuwapigia kura za veto lakini isitokee rais wa nchi nyingine azungumze maneno mazito dhidi ya serikali zao. Wao kwa mtindo wao hutoka nje na kusema ubaya wote wa matamshi ya huyo rais iwe kuhusu Ubeopari mamboleo ama Israel..

Labda nikuulize wewe kitu kimoja, Hapa tuna malumbano kutokana na kauli ya nani? JK kaifanya miezi miwili mitatu ilopita na wananchi wameisha sahau tunazungumzia maswala ya Umeme, maji na ufisaid unaoendelea. Huyu Mh. Kardinali katoka huko alikojificha siku zote kafumua donga ambalo angeweza kabisa kulitafutia ufumbuzi bila kupanda jukwaani na kumkashifu rais..

Pengo anamkashifu rais na maneno yake yamejaa dharau kubwa sana kwa sababu tu rais anawajua viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya. Na yawezekanakweli JK hakutakiwa kusema ktk mkutano huo.. Hata Obama kawahi kukosea kuzungumzua vitu mbele ya Malikia ambavyo hakutakiwa kusema, lakini alielekezwa. JK ni rais wa nchi na kama alifanya makosa kusema pale mbele ya mkutano wa maaskofu kwa sababu Kanisa huwa lina mambo ya Kisiri kisiri angefahamishwa.. lakini sioni kosa hata kidogo kwa rais kuwaonya wale wanaofanya vitendo hivyo waache kwa sababu Mapadre ni mfano mzuri wa viongozi wa jamii zetu.

Kama Pengo asingesimama majuzi na kusema yote haya, malumbano haya yasingekuwepo hivyo tufahamu kwamba Pengo ndiye sababu ya mada yoote hii na kutoelewana, jambo ambalo watu wanafanya uetetezi kwa sababu kiimani wanaamini Pengo hawezi kufanya makosa sii binadamu ni chaguo la Mungu na mwenye utume... Ni imani yenu na Naiheshimu!
- Nilikuwepo...
Here comes another problem, it seems huwa kwako ni faraja linapoibuka jambo halafu wananchi wanajadili kwa muda na kusahau, na ungepende zidumu fikra mwenendo na tabia hiyo...
Pengo hajamkashifu rais, hiyo ni tafsiri yako, na kama utaitetea basi usiwaluamu wanaoshinikiza awataje majina hao maaskofu wauza unga, koz nao kwa uelewa wao wanahisi wanaambiwa wao, na tena labda baada ya kuanza kuulizwa na waumini wao.
Pia elewa kuwa kuwa na ujasiri kama wa mwanamke mjamzito hiyo si kashifa bali ni ujasiri muhimu ambao wengi wetu hatuuoni kwasababu upo ndani mwanamke na hivyo hatuoni umuhimu wake kijamii.
Kuhusu muda wa kutoa matamko elewa kuwa kanisa huwa halikurupuki (si maanishi hawafanyi makosa - ni binaadam wale, wengine wametawaliwa na mapungufu), namaanisha lina utaratibu wake, wakati mwingine husubiri kutoa tamko kupitia somo au matukio, kwa hiyo usidhani wanafanya siasa pale, ila huangalia mazingira (Tafsiri unavyoweza). Japo kuna mambo mengine hulazimika kufuata ratiba za kijamii, kwa mfano, Sikukuu, mahafali, misiba, chaguzi,/kampeni n.k.
Elewa kwanza mtiririko wa utendaji ndipo ukosoe (afadhari ungekosoa ufanyacho ni kushambulia), Vingenevyo jitihada zote ufanyazo itakuwa ni sawa na mtu apunguzae mzigo wa credibility kwa muamua kujivua nguo.
Ahsante
 
Hawezi kumgusa Mkapa na Sumaye. Kwa muujibu wa PENGO hawa ni watakatifu. Ndio maana Kikwete hKUWAGUSA Akiogopa vita nchini. Lakini vita nchini kwetu haiepukiki ili tupate maendeleo.

Is this kwa mujibu wa Pengo au kwa mujibu wa Zawadi Ngoda? Are a great thinker? Ama kweli kwenye msafara wa Mamba Kenge nao wamo. Unamlishaje mtu maneno then unaconclude? kumbe alikuwa akitangaza wenye dhambi na watakatifu? Wake up!
 
Pengo anamkashifu rais na maneno yake yamejaa dharau kubwa sana kwa sababu tu rais anawajua viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya. Na yawezekanakweli JK hakutakiwa kusema ktk mkutano huo.. Hata Obama kawahi kukosea kuzungumzua vitu mbele ya Malikia ambavyo hakutakiwa kusema, lakini alielekezwa. JK ni rais wa nchi na kama alifanya makosa kusema pale mbele ya mkutano wa maaskofu kwa sababu Kanisa huwa lina mambo ya Kisiri kisiri angefahamishwa.. lakini sioni kosa hata kidogo kwa rais kuwaonya wale wanaofanya vitendo hivyo waache kwa sababu Mapadre ni mfano mzuri wa viongozi wa jamii zetu.

Hivi kwa Rais kusimama mbele ya hadhara ile na kutoa maneno yale kuwa "anawafahamu" wauza unga viongozi wa dini na kuishia hapo hapo bila kuchukua hatua zaidi sio dharau? Kama kuna ushahidi wa tuhuma hizi kwa nini asiwape mandate Kamanda Nzoa na Mwema wafanya kazi yao? Na kama hakuna ushahidi kwa nini alienda kuzungumza pale madhabahuni?

Hivi unataka kusema wakristo wako tayari kuunga mkono viongozi wao wa dini wauza unga kiasi kwamba wako tayari kufanya fujo wakikamatwa? Hebu acheni dharau hizi jamani......
 
Back
Top Bottom