Pengine serikali ya CCM imechanganyikiwa

Fisiemu wanapenda Sana kutuona wajinga..

Shortly hili swala lilishapangwa muda alafu kuna mcheza sebene mmoja anasema walikuwa wanapitia maoni ya wananchi kabla haijapitishwa.. serious!!!

Haya mtuambie mlivyosikiliza maoni ya wananchi,hii ndio hatua mliochukua?...

Serikali ya mama Juma lini mtaacha kuwaona watanzania malimbukeni?

Mmerogwa na Nani?

Hapo bado chinjachinja wa kindondoni amepewa mchemsho wa ini la kuku...wanasubiri anogewe wampe kuku mzima 2030.

Kuna Mzee mmoja kipofu alinihusia akasema " mwanangu kutenda kosa ni kosa ila kurudia kosa ni kosa zaidi"

Haya samaki mmja kashaoza mnataka mbadilishe maji!! Hata hamjali kama wote watakuwa wameoza.

E Mungu Tanzania tunaongozwa na wafu waliohai kwenye matumbo yao

Tumerogwa na Nani?
 

Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nayoo..
 
Mwamba....nakazia
 
Walishawahi SEMA Kuna mtu alikuwa anamtafuna ,kwahaya yanaendelea yawezekana
 
Umesahau mti wangu mkuu, na sijui hiyo miti ilifikia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…