Nyufa zipi jamani tuambieni ukweli tuache kufarijiana,nyufa zipi cdm kila uchaguzi inashindwa last time ni pale igunga,unajua bajeti ya chadema waliyoitumia pale igunga?
Sio kweli kwamba chadema imekua imara zaidi baada ya uchaguzi uliopita...sana sana kumekuwa na madai tu ya chadema kutumika na mafisadi,hili wewe hujapata kulisikia huko uliko?
Tunataka slaa arudi bungeni awe anapata publicity ya kutosha kwa kuitingisha serikali kwa kuwa anavyo vyanzo vingi vya taarifa mpaka huko uwt, huyu atatusaidia kwa kuwa ni msafi miongoni mwa viongozi wa chadema na hana simile na mafisadi na ana hasira nao ndio mana unaona hata zile chai za ikulu hakua miongoni mwao.
I like slaa japo mimi sio cdm,wengine wengi tu pale cdm ni ma opportunist,mi huwa simuiamini mfanyabiashara hata siku moja!pengine hapo ndio tunatofautiana.