Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Huku atown joshua ana nguvu sana hasavijana...kuanzia meru mpaka mjin..nakumbuka wakati wa uchaguz wazee wa kimeru walimwambia amwachiee sumari maana baada ya muda mfupi atachukua nafasi.sikujua wanaamaanisha nn?ila naamini sasa ni wakati wa joshua kuchukua jimbo bila ubishi..kuhusu silaa naona aendelee na harakati za kukuza uelewa wa watanzania.
 
Da wakuu hata marehemu hajazikwa tunajadili mrith,haaaaahha cdm hamna busara mara zote
 
Nilidhani una hoja ya maana hadi kupendekeza Dr. Slaa agombee Arumeru, tumekupa majibu ni kwanini tunapinga.
Lakini nilivyosoma majibu yako nimegundua hata hujui siasa, upo ti ili uonekane ni mwanasiasa lakini siasa imekupiga chenga. Pole kajipange ktk nyanja nyingine kwenye hili hakuna kitu!
majibu yepi?kwamba dr slaa ni rais na rais ubunge sio size yake au?
 
Jamani subirini ndugu yetu Sumari azikwe kwanza, mbona kwa Regia hatukuanzisha threads za mwelekeo huu?
 
Nimekua kimya nikijaribu kufuatilia hoja zenu waungwana,mnaodai ukatibu mkuu wa slaa ni mkubwa kuliko ubunge,hoja yenu dhaifu sana,umaarufu wa slaa hautokani na ukatibu mkuu wake bali ulitokana na ubunge sasa kwa nini asirudi bungeni akamalizie kazi aliyoianzisha?au mnataka asubiri nafasi ya ubunge wa kuteuliwa na rais mwaka 2013 mwishoni kufuatia muafaka wa haya mazungumzo ya upenuni kati ya jk na mbowe?kama hamjui ndio tunakoelekea!

Na nyie mnaodai eti slaa ni rais mnamdanganya pamoja na kujidanganya nyie!na pia mnaosema eti sijui ataibiwa kura na kufirisika kisiasa pia ni uongo!hivi kura huwa zinaibiwaje?ndugu zanguni amkeni msikubali kudanganywa na wanasiasa,tatizo wanasiasa wetu wa africa huwa hawasemi ukweli kwa kuogopa kuwajibika kutokana na kushindwa chaguzi ndio huwa wanakuja na kisingizio cha kuibiwa kura wakishindwa,hivi hamjiulizi kama wizi wa kura upo kwanini cuf inairesa ccm pemba?au kwanini Ndesambura anaitesa kila wakati ccm moshi mjini?au kwanini Mzee Said Arfi makamu mwenyekiti wa cdm amekua kwa muda mrefu hata wakati slaa hajulikani amekua akiitesa ccm huko mpanda kwake?au zitto kwa nini anitesa ccm?Huwezi kuiba kura,huwa mnakua mmeshindwa tu,msidanganyike na watu kujaa kwenye mikutano yenu ya kampeni au hapa jf watu wengi kuonekana wanaipenda chadema,wengi sio wapiga kura!
KIM KARDASH

  • ulisha sikia katibu mkuu wa CCM ni mbunge - CDM ni chama tawala cha upinzani na katibu mkuu anazo kazi za kufanya
  • kazi ukiianzisha si rahisi kuimalizia mwenywe wapo wanao kuunga mkono wataimalizia kwa techniques mpya kama ikina Tundu Lissu, Godbless Lemma, Sugu etal
  • TFFA ina rais . Rais ni kiongozi wa watu na huwezi kuwazuia wanao mwita rais kumbuka yeye hajiiti kama Rais sijui kinacho kuuma nini
  • Basi huo msamiati usengekuwepo kama kura haziibiwi
  • hili ndilo lililo mwangusha Mpesya aliroka kuwa vijana wengi ni mashabiki tu na hawapigi kura na kwambia safari hii wapiga watakuwa hawa unao wadharau maadamu daftari liboreshwe utaona

SIIUNGI MKONO HOJA DR SLAA ASIGOMBEE UBUNGE
 
Binafsi napendekeza CHADEMA imsimamishe Dr.SLAA kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huko Arumeru.Hii itaipa chadema kwanza nafasi kubwa ya kukinyakua kiti hicho kwa kuwa Slaa kwa sasa ni heavy weight politician na pia watanzania wenye uchungu na nchi hii tumekuwa tukiukosa mchango wa Dr pale bungeni,wengi tunaukumbuka ujasiri wake akiwa anga zile,kiukweli Mboe anapwaya kwenye nafasi ya kiongozi wa upinzani pale bungeni,waziri mkuu Pinda na serikali yake wanahitaji kuchangamshwa na mtu machachari wa aina ya Slaa,Lema au Tundu!....mboe amekua na huruma huruma hivi,sasa slaa kama atafanikiwa kushinda ubunge(nina uhakika atashinda)basi mh.mboe awe muungwana kwa kumpisha bwana Slaa kiti cha kiongozi wa upinzani!hii imekaaje wadau,yote ni katika kuimarisha makali ya bunge.
Usikurupuke hapa ni Jukwaa la Great Thinkers. Jifunze kwanza Ustaarab wa humu ndio ujue hoja humu zinatolewaje.

Join Date : 9th January 2012
Posts : 146
Rep Power : 1191
 
-kwa hiyo unaunga mkono agombee sio ?thanx for ur support here!

Na kuhusu suala la katibu wa cdm kuwa mbunge naona umejiunga na cdm juzi,ngoja nikuchallenge kidogo unamjua katibu wa chadema before slaa?alikua na nani?na je alikua mbunge au hakua mbunge,nyie mliokutana na cdm barabarani kwenye maandamano mnatabu sana nyie.
 
Usikurupuke hapa ni Jukwaa la Great Thinkers. Jifunze kwanza Ustaarab wa humu ndio ujue hoja humu zinatolewaje.

Join Date : 9th January 2012
Posts : 146
Rep Power : 1191

hata wewe wapo waliokutangulia kuijua chadema,lakini haikuzuii kutoa maoni yako na pia kama ni mwanachama una hadhi sawa na wanachama wengine huko cdm,acha ushamba wa mambo!
 
majibu yepi?kwamba dr slaa ni rais na rais ubunge sio size yake au?

Siku zote anti chadema haya ndio mawazo yao;

Mbowe anapwaya ktk nafasi yake ya mwenyekiti wa chama.
Mbowe anapwaya ktk nafasi yake ya KUB.
Mchango wa Dr. Slaa tumeumisi sana bungeni na blah blah nyengine kama hizo.

Chadema haiendeshwi kuwafurahisha antichademas, chama kina taratibu zake na mpango mkakati wake.
 
Binafsi napendekeza CHADEMA imsimamishe Dr.SLAA kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huko Arumeru.Hii itaipa chadema kwanza nafasi kubwa ya kukinyakua kiti hicho kwa kuwa Slaa kwa sasa ni heavy weight politician na pia watanzania wenye uchungu na nchi hii tumekuwa tukiukosa mchango wa Dr pale bungeni,wengi tunaukumbuka ujasiri wake akiwa anga zile,kiukweli Mboe anapwaya kwenye nafasi ya kiongozi wa upinzani pale bungeni,waziri mkuu Pinda na serikali yake wanahitaji kuchangamshwa na mtu machachari wa aina ya Slaa,Lema au Tundu!....mboe amekua na huruma huruma hivi,sasa slaa kama atafanikiwa kushinda ubunge(nina uhakika atashinda)basi mh.mboe awe muungwana kwa kumpisha bwana Slaa kiti cha kiongozi wa upinzani!hii imekaaje wadau,yote ni katika kuimarisha makali ya bunge.
Wazo zuri, lakini chama kinamhitaji sana dr kukijenga kwa hiyo tumwache kwanza ajenge chama maana ikulu mahala patakatifu ni vizuri kuwa na muda wa kutosha kujiandaa
 
Siku zote anti chadema haya ndio mawazo yao;

Mbowe anapwaya ktk nafasi yake ya mwenyekiti wa chama.
Mbowe anapwaya ktk nafasi yake ya KUB.
Mchango wa Dr. Slaa tumeumisi sana bungeni na blah blah nyengine kama hizo.

Chadema haiendeshwi kuwafurahisha antichademas, chama kina taratibu zake na mpango mkakati wake.

Lakini chadema iwe na nguvu mnahitaji kutushawishi na cc ma anti chadema tuwe ma pro chadema,usikate tamaa mapema kazi ya siasa sio rahisi hivyo mzee,tatizo mna jazba na hamtaki kuwa challenged,mnapenda kusikia watu wakiimba ambo mazuri tu kuhusu chadema,ndio mnadanganyika na kudhani mna nguvu za kutosha ukija uchaguzi mnaanguka,hii ni kutokana na chadema kuwategemea makada wa aina yako kukiimarisha chama!
 
hata wewe wapo waliokutangulia kuijua chadema,lakini haikuzuii kutoa maoni yako na pia kama ni mwanachama una hadhi sawa na wanachama wengine huko cdm,acha ushamba wa mambo!

Katika wakati huu tulionao sitegemei kuona mwanachama hai wa Chadema mwenye mawazo kama yako.
Labda utakuwa ni mshabiki tu ama ni gamba linalohadaa watu kwamba ni chadema.
 
nyie wachaga mna tabu sana.tamaa ya utajiri itawaua.hapo mnaitumia siasa kama kivuli tu hamna lolote wabaguzi wakubwa nyie.yaani mnafikiria uchaguzi mtu hajazikwa?kweli hiki ni chama maslahi
 
Sio kumsikia tu, bali namfahamu vizuri sana!

Btw, kwani anahusikaje hapa?
Nilitaka kukukumbusha tu kwamba aliweza kuwa mbunge na katibu pia na alikiimarisha chama ndio mpaka leo wewe unajivunia watu kama zitto kabwe ni matunda yake licha ya kuwa mbunge,na slaa anaweza kuwa mbunge na akaimarisha chama,upo hapo!leo ni hoja juu ya hoja tu hapa
 
Siku zote anti chadema haya ndio mawazo yao;

Mbowe anapwaya ktk nafasi yake ya mwenyekiti wa chama.
Mbowe anapwaya ktk nafasi yake ya KUB.
Mchango wa Dr. Slaa tumeumisi sana bungeni na blah blah nyengine kama hizo.

Chadema haiendeshwi kuwafurahisha antichademas, chama kina taratibu zake na mpango mkakati wake.

Ushauri wowote wa kumtakaa dr slaa agombee ubunge hauna nia njema na ukombozi wa pili wa nchi. Tusubiri msiba uishe ,mkurugenzi wa uchaguzi wa Taifa atasema cha kufanya.....hapo ndio chama makini Kutakuwa na haki ya kuongelea hadharani mikakati ya arumeru ....

Dr yupo hapa ....Hawa wanataka Ugombee ubunge ili wakuite una uchu wa madaraka....size ya ubunge ilishapita angalia ujenzi wa chama na kuibua vipaji na maandalizi ya uchaiguzi mkuu 2015

Lakini chadema iwe na nguvu mnahitaji kutushawishi na cc ma anti chadema tuwe ma pro chadema,usikate tamaa mapema kazi ya siasa sio rahisi hivyo mzee,tatizo mna jazba na hamtaki kuwa challenged,mnapenda kusikia watu wakiimba ambo mazuri tu kuhusu chadema,ndio mnadanganyika na kudhani mna nguvu za kutosha ukija uchaguzi mnaanguka,hii ni kutokana na chadema kuwategemea makada wa aina yako kukiimarisha chama!

Hili la kutaka chadema impeleke Dr. Slaa arumeru halitawahi kuwa pendekezo ama jambo zuri kwa chadema.
Sisi ndio tumefanya kazi ya kuijenga chadema hadi hapo ilipofika, kwahiyo watumishi wa ofisi ya lumumba hamtupi shida.
 
Katika wakati huu tulionao sitegemei kuona mwanachama hai wa Chadema mwenye mawazo kama yako.
Labda utakuwa ni mshabiki tu ama ni gamba linalohadaa watu kwamba ni chadema.

Ndio maana nasema makada wa chadema mnatawaliwa zaidi na jazba kuliko hoja,sasa slaa kuguswa kidogo jazba zimekupanda mpaka uwezo wako wa kusoma maandishi ya kiswahili umeoungua,hebu ni quote ni katika mstari upi niliposema mimi ni mwanachama au mshabiki wa cdm?tena una kawaida ya kuingia mitini,nijibu usikache hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom