Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

mimi naikubali mikakati yenu na nawapongeza kwa ubunifu kama nilivyowapongeza na kuwaunga mkono mlipoolewa na cuf na kukubali kwa hiari yenu kipindi cha ndoa yenu kumsimamisha na kumpigia kura Lipumba,mlionyesha uungwana sana japo sijui ni kwanini mlijitoe baade naamini mgedumu sasa hivi mngekuwa mbali sana.Lakini pamoja na hayo kiti cha ARUMERU kinataka HEAVY WEIGHT wa aina ya SLAA!Hii tusiisahau.

Kweli Mkuu Mwita Maranya uliona mbali. Hapo kwenye red ndipo anaonesha rangi zake halisi! Eti kaanzisha thread "kuishauri Chadema". Chadema haishauriwi na wana wa Shetani - the gambaz et al. Uzuri, hila zenu hujionesha mapemaaaaa kabla hamjapiga hata hatua moja katika "hoja" ya kipuuzi mnayotaka kuijenga.
 
nakubaliana na ww kabisa, japo mashaka yangu yapo kwenye hiyo nguvu ya EL ambapo nasikia mwenyekiti wa tume ni shemeji yake, so bado inaweza ikawa shida kulinganisha nguvu ya Dr. na EL kwenye kampain.

tatizo kubwa sana,mzee hivi unajua process ya uchaguzi na nafasi ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi lakini?tatizo hii chadema yenu wengi mnaifanyia hapa jf tu,hebu siku moja muombe nafasi mkawe ma agent wa chama chenu huko site mkaone kura zinavyohesabiwa na kujumlishwa kituo kwa kituo,yani hata wewe ukiwa na baiskeli yako ukaamua ku take trouble ya kuzunguka kituo hadi kituo na daftari lako then ukakaa chini ya mwembe na kujumlisha utayapata matokeo hata kabla mwenyekiti hajayatangaza na ikakusaidia kuacha kukariri mambo wanayosema wanasiasa baada ya kushindwa
 
So far hakuna hoja iliyobaki zote ulizoweka mezani nimezipoteza.
Kama kuna nyengine ilete, nimekwambia i'm here to stay!

wapi niliposema ama kuonyesha dalili ya kuwa mimi ni mtu wa cdm?ni quote at least twende sawa.
 
Kweli Mkuu Mwita Maranya uliona mbali. Hapo kwenye red ndipo anaonesha rangi zake halisi! Eti kaanzisha thread "kuishauri Chadema". Chadema haishauriwi na wana wa Shetani - the gambaz et al. Uzuri, hila zenu hujionesha mapemaaaaa kabla hamjapiga hata hatua moja katika "hoja" ya kipuuzi mnayotaka kuijenga.
akiambiwa yeye ni antichadema anadai eti kaambiwa yeye ni CDM.
 
Mnafiki utamjua tu. we kwa mapenzi gani kwa CDM mpaka utushauri kwa dhati? hizo trick zako za kitoto warudishie masaburi wenzako huko magambani. DR SLAA NDO RAIS WA TANGANYIKA.
kwa uchaguzi upi mzee au alirithi toka kwa mzee wake?
 
tatizo kubwa sana,mzee hivi unajua process ya uchaguzi na nafasi ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi lakini?tatizo hii chadema yenu wengi mnaifanyia hapa jf tu,hebu siku moja muombe nafasi mkawe ma agent wa chama chenu huko site mkaone kura zinavyohesabiwa na kujumlishwa kituo kwa kituo,yani hata wewe ukiwa na baiskeli yako ukaamua ku take trouble ya kuzunguka kituo hadi kituo na daftari lako then ukakaa chini ya mwembe na kujumlisha utayapata matokeo hata kabla mwenyekiti hajayatangaza na ikakusaidia kuacha kukariri mambo wanayosema wanasiasa baada ya kushindwa
KIM!
nilikuwa miongoni mwa walinzi wa kura wa john mnyika pale ubungo, kura zilizohesabiwa na kutangazwa majimboni ni tofauti na kura zilizotajwa na tume ya uchaguzi? upo hapo?
 
Ni wazo zuri, lakini kwa upande wangu si liungi mkono moja kwa moja kwasababu kuu mbili;
  1. Ikitokea akashindwa kwa namna yoyote ile, itakiathiri chama kuitetea hali hiyo! Kwa propaganda na siasa za kitanzania navyozijua, wabaya wake watapandia pale kuwa yawezekana hata Urais hakuwa ameshinda kweli. Na hii inaweza kuleta shida kwake kama tunadhani kuwa bado mwaka 2015 bado atakuwa na nafasi ya kutetea tena nafasi ya urais.
  2. Kazi ya kukijenga chama bado ni muhimu pia, ambayo nadhani alipaswa kuelekeza nguvu zaidi huko! na kitendo cha kuwania Ubunge, kwa wengine kingetafsiriwa kama ni "Uroho wa madaraka" badala ya utumishi.
Hayo ndio maoni yangu binafsi yawezekana siko sahihi pia.
 
Mkuu merekebisho kidogo kwenye red: Chadema kufuata ushauri wa magamba na anti-Chademas ni sawa na Adam kukubali ushauri wa Hawa (CCM) aliyekubali ushauri wa Nyoka (mafisadi; the real gambaz) kula tunda la mti wa kati! Mola apishe mbali hilo lisitokee asilani.

Frankly speaking, ni mwendawazimu tu anyeweza kutegemea lolote la maana, hata ushauri tu, kutoka kwa CCM hii ya sasa. Imefika mahali kwamba whatever is coming out of CCM ni rubbish.

siasa kabila hii na zile za kumwagia tindikali watu usoni mnaotofautiana nao kisiasa ndio zinawacost kwenye chaguzi mbalimbali kubwa na ndogo mnapoteza,u need to change ur strategy za kufanya siasa kama mnataka mafanikio kwenye political arena.Otherwise mtakua mnalia kila baada ya chaguzi na kuishia kuandamana na kususa kupeana mikono,matokeo yake wapinzani wenu wanawaita hicho ni chama cha kususa na kuandamana!
 
Hiyo ya kushindwa mimi siiamini sana,ok pengine labda tunatofautina,mimi ni mpiganaji huwa siamini katka kushindwa bali kushinda tu.Na hii haitakua mara ya kwanza kwa heavy weight wa aina ya slaa ambae ni national figure kwenda jimbo lingine na kushinda,alifanya hivyo mrema,licha ya serikali nzima kuhamia temeke kumhami sisco mtiro lakini kwa kuwa kura ni siri mrema alishinda,achaneni na maneno ya kitoto ya wizi wa kura,wananchi wakiamua ushinde utashinda tu.Rejea uchaguzi wa tarime kumrithi chacha.

Kwa nini naamini slaa atakua bora zaidi ya mbowe bungeni?jibu lake ni tofauti wa ELIMU na ufahamu wa wawili hawa,katika hivyo viwili mboe na dr ni sawa sawa na kulinganisha kifo na usingizi,mboe ni kama usingizi tu kwa kifo(slaa),na elimu ni jambo muhimu sana nadhani wote hapa tunakubaliana ya kwamba mwenye elimu zaidi ana maarifa zaidi.Sitaki kusema sana hapa namstahi mwenyekiti.Nadhani naeleweka,watu wazima nyie.

Kijana joshua kama yuko kwa ajili ya chama ataitwa na wazee kina makani watamuelewesaha ataelewa tu kama alielewa zitto na ukaidi wake wote tunaojua akamuachia mbowe uenyekiti itakua joshua!ndio mana kuna wazee,wazee ni grisi kazi yao ni kulainisha chuma kinapopata moto.kumsimamisha mtu kama joshua kwa nyingi lenye interest za mafisadi kama arumeru is a disaster!

Mkuu post zako unataja kuwa CDM imeshindwa kihalali na mifano yako lukuki lakini hapo hapo huamini katika kushindwa
Mkuu watu makini hawafanyi mambo kwasababu fulani alifanya akaweza, unatakiwa kufanya tathmini yakinifu na kuzingatia factor mbali mbali, kila jimbo lina tabia zake,

Ok umetoa mfano wa Tarime nikweli yule bwana alimrithi vizuri Chacha lakini unajua sababu za kuja kupoteza jimbo kwa CCM uchaguzi mkuu, simply ni kwa sababu CDM walisimamisha mtu kwa matakwa ya chama.

Unapozungumzia swala la elimu hivi elimu gani unazungumzia hiza za Havard za kina Chenge au? hivi unaweza kulinganisha michango ya wasomi wangapi bungeni ukaweza kulinganisha na michango ya watu kama akina Kafulila na Mnyika wasio na degree.
Sitaki kuamini kama mapendekezo yako yote hayo ya Dr Slaa dhidi ya Mbowe kigezo ni elimu. you better think than that dude

Kumuita Joshua mbele ya chama si kuita wapigara kura mbele ya chama, ndio yale yale ya kusimamisha mgombea kwa matakwa ya chama badala ya wapiga kura.

Nimekuuliza mambo ya msingi lakini umekimbila mepesi kwa sababu tu eti Mrema aliweza temeke basi Slaa ataweza Arumeru mashariki, nyakati zimebadila sana mkuu watu wamepata mwamko na uelewa mkubwa wa nini wanataka wao, Temeke leo hii haina mzawa ni full wahamiaji toka bara unapo zungumzia Arumeru yaani kule ni wenyewe watupu mkuu, unahitaji uhakika wa kutosha kama watakubali mgeni kuja kuwawakilisha na si kwasababu Mrema sijui alifanya nini, NOPE

Mwisho kwenye red, maandiko yangu yamejaribu sana kuangalia factor hiyo, tuna maanagani tunaposema "wananchi wakitaka utashinda tu" je ni kwa kuwapelekea mtu au kwa wao kuamua mtu wampedae na kuona ni mwenzao
Rejea bandiko langu la kwanza pitia risk za Dr kugombea ndio utajua je wakati unakwenda kwenye uchaguzi wananchi wanataka?
 
sasa mkuu nyufa za kuvuana gamba kwenye chama chenu chanzo chake ni nani?
hoja yako ya Dr. kwenda kuongeza nguvu bungeni sijaisoma vzr, je atawashika wabunge wa CCM mikono kuunga mkono hoja zenye tija kwa maslahi ya umma? au lengo lenu mnataka aende bungeni mseme Dr.kafuata posho bungnei baada ya posho kuongezwa? aisee kuna maswali mengi sana ninayojiuliza ni kwann magamba mnataka Dr. agombee alumeru? ni kwann magamba mnataka Dr. asalimiane na JK?

kwani alichokifanya dr akiwa mbunge hukukiona?au ulikua bado mdogo?
 
sasa kwann kwenye hoja zako juu umepinga kuwa CCM hamna nyufa?

mzee kwanini unakua mvivu wa kusoma wewe?rejea ukasome nilichoandika,jamaa alitaka kuleta uongo kwa kusema eti kwa slaa kutokua mbunge na kufanya kazi za chama matokeo yake ndio ccm imekua na nyufa,ndio nikamuuliza nyufa gani alizozisababisha slaa huko ccm toka ametoka bungeni?unless mniambie anashirikiana na kina lowassa na rostam kwa namna moja ama nyingine ambao ndio chanzo cha nyufa huko ccm
 
Pendekezo lako limebeba chuki binafsi kwa KUB, mgombea atapatikana kwa wanaarumeru wenyewe na sio lazima Joshua labda tu waamue wenyewe kumrudisha CDM msiamini lugha ya anamtaji wa kura. Dr Slaa anatafuta kulala Ikulu bure, nyumba Dodoma bei juu sana kama huamini muulize Makinda.
 
Nadhani hivi ni viroja vya kufungulia mwaka 2012, kwamba mtu amekanusha kuwa yeye si mwanaChadema lakini anasimama dede kuishauri chadema nini cha kufanya katika uchaguzi mdogo wa arumeru.

Mtu huyo kila anavyozidi kuandika anaonekana ana nia mbaya kabisa, hata katika threads nyengine ameonekana ni antiChadema.

Kinachofanyika hapa kwa maneno machache sana naweza kukiita ni sawa na upendo wa shetani!

No mimi sio chadema but napenda kuona upinzani unashamiri na kustawi kwa kuwa mimi ni muumini wa demokrasi,sitaki turudi kwenye enzi za chama kimoja,nataka chama chochote kinachotawala kiwe challenged na upinzani wenye nguvu ili tupate maendeleo,mnashindwa kunielewa kwa kuwa nyie nyie mko kwenye ushabiki zaidi na hamuelewi dhana nzima ya multi partism,mwisho wa siu ni lazima ushindani wa kisiasa uwe manufaa yetu sisi wananchi full stop!bado wachanga wa demokrasia ya vyama vingi lakini kadri siku zinavyokwenda na uwepo wa wtu kama sisi mtakomaa tu,tutaendelea kuwa challenge kwa kusema vile msivyopenda kuvisikia!
 
Nimekua kimya nikijaribu kufuatilia hoja zenu waungwana,mnaodai ukatibu mkuu wa slaa ni mkubwa kuliko ubunge,hoja yenu dhaifu sana,umaarufu wa slaa hautokani na ukatibu mkuu wake bali ulitokana na ubunge sasa kwa nini asirudi bungeni akamalizie kazi aliyoianzisha?au mnataka asubiri nafasi ya ubunge wa kuteuliwa na rais mwaka 2013 mwishoni kufuatia muafaka wa haya mazungumzo ya upenuni kati ya jk na mbowe?kama hamjui ndio tunakoelekea!

Na nyie mnaodai eti slaa ni rais mnamdanganya pamoja na kujidanganya nyie!na pia mnaosema eti sijui ataibiwa kura na kufirisika kisiasa pia ni uongo!hivi kura huwa zinaibiwaje?ndugu zanguni amkeni msikubali kudanganywa na wanasiasa,tatizo wanasiasa wetu wa africa huwa hawasemi ukweli kwa kuogopa kuwajibika kutokana na kushindwa chaguzi ndio huwa wanakuja na kisingizio cha kuibiwa kura wakishindwa,hivi hamjiulizi kama wizi wa kura upo kwanini cuf inairesa ccm pemba?au kwanini Ndesambura anaitesa kila wakati ccm moshi mjini?au kwanini Mzee Said Arfi makamu mwenyekiti wa cdm amekua kwa muda mrefu hata wakati slaa hajulikani amekua akiitesa ccm huko mpanda kwake?au zitto kwa nini anitesa ccm?Huwezi kuiba kura,huwa mnakua mmeshindwa tu,msidanganyike na watu kujaa kwenye mikutano yenu ya kampeni au hapa jf watu wengi kuonekana wanaipenda chadema,wengi sio wapiga kura!

Now You Have show your True Colour!! Payroll style
 
...wazo zuri lakini litajenga kutoaminika kwa dr. Kuna vijana wengi wanaoweza kuwakilisha maeneo yao vizuri na wanakubalika pia. Joshua asimamishwe kama mgombea.
 
Back
Top Bottom