Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Ushauri wowote wa kumtakaa dr slaa agombee ubunge hauna nia njema na ukombozi wa pili wa nchi. Tusubiri msiba uishe ,mkurugenzi wa uchaguzi wa Taifa atasema cha kufanya.....hapo ndio chama makini Kutakuwa na haki ya kuongelea hadharani mikakati ya arumeru ....

Dr yupo hapa ....Hawa wanataka Ugombee ubunge ili wakuite una uchu wa madaraka....size ya ubunge ilishapita angalia ujenzi wa chama na kuibua vipaji na maandalizi ya uchaiguzi mkuu 2015

[/B]

Unamdanganya!
 
baada ya kufa kwa uzembe rejia saSA MORO chaga development manifesto inakufa.na hivi wanavurugana hadi saSa
 
Nilitaka kukukumbusha tu kwamba aliweza kuwa mbunge na katibu pia na alikiimarisha chama ndio mpaka leo wewe unajivunia watu kama zitto kabwe ni matunda yake licha ya kuwa mbunge,na slaa anaweza kuwa mbunge na akaimarisha chama,upo hapo!leo ni hoja juu ya hoja tu hapa

Unaongelea historia ambayo sisi wengine tumeshiriki kuitengeneza.

Chama kinapanga mikakati kulingana na wakati, hakiishi kwa kutegemea historia pekee.

Huyo kabourou alishamaliza ngwe yake na akajiondokea na sisi bado tupo tunasonga mbele na tumepata wabunge wengi zaidi kuliko enzi za kabourou.
 
siungi mkono hoja..
Huo ubwanyenye labda kwa vyama vyetu vingine.. Chama chenu kumweka Slaa Arumeru..kwanza ni kubaka demokrasia ndani ya chama,ambacho kina vichwa vingi sana vyenye weledi,na vichwa vingine vinachipukia kwa kuwaangalia hao leaders na maamuzi yao..
Mi si mwana CDM,lakini natoa ushauri wa bure..hilo litafifisha chama kwa kasi kubwa na itahitaji uwekezaji mkubwa zaidi na wa muda mrefu kabla ya kupata tena status yake.. Na hii haijalishi,whether ashinde au asishinde....
 
CCM bana, mnataka akagombee ubunge ili mkampoke ushindi wake kwa nguvu ili muhalalishe kushindwa kwake kwenye kura za urais, ujanja wenu tumeshaujua.
 
Ndio maana nasema makada wa chadema mnatawaliwa zaidi na jazba kuliko hoja,sasa slaa kuguswa kidogo jazba zimekupanda mpaka uwezo wako wa kusoma maandishi ya kiswahili umeoungua,hebu ni quote ni katika mstari upi niliposema mimi ni mwanachama au mshabiki wa cdm?tena una kawaida ya kuingia mitini,nijibu usikache hapa

I'm here to stay.

Hoja zako zote ulizoleta hapa so far nimezivunjilia mbali. Kama una nyingine ilete.

Mara nyingi ma anti chadema mkizidiwa hoja mnaleta viroja kwamba wanachadema tuna jazba. Kwangu unapata what you deserve!
 
nyie mlokuwa mnagombana na kufukuzana kwny msiba ndo mmeliwa.wabaguzi wakubwa nyie

Kama umesoma utaelewa kuwa struggle kwenye jamii ni mambo ya kawaida.........msikuze mambo ....issue ya katibu wa wilaya na mwenyekiti wa wilaya kilombero ....huko ccm ni Wajumbe wangapi wa Kamati kuu na halamshauri kuu wqnagombana Hadi kulishana sumu.....tens Ugomvi wa kinafiki wa kuchekeana usoni huku mnauwanaa..si bora wanaoaambiana ukweli ....mchana!
Mwenyekiti wa ccm kwenye hotuba Yake aliongelea hili akasema watu wanaogopa hata kunywa bia pamoja na kwenda chooni pia....au utapingana na mtu mmwenye all sources of information at his palm......

Nashangaa sana kubebea bango mgogoro wilayani ......nyie kwenye taifa ,mkoa,na wilAya ni mchapano...
 
Akigombea huko na kushindwa itakuwa kwa heri siasa asubiri Rais bado anazo nafaso chache za wabunge 10 wa kuteuliwa
 
Unaongelea historia ambayo sisi wengine tumeshiriki kuitengeneza.

Chama kinapanga mikakati kulingana na wakati, hakiishi kwa kutegemea historia pekee.

Huyo kabourou alishamaliza ngwe yake na akajiondokea na sisi bado tupo tunasonga mbele na tumepata wabunge wengi zaidi kuliko enzi za kabourou.
Kwa hiyo wabunge wanatosha hamtaki tena slaa aongeze idadi au?na kuhusu wabunge hata nccr iliwahi kuwa na wabunge wengi lakini jiulize walikwenda wapi?acheni kuridhika mapema nyie..mnahitaji wabunge zaidi,hapo unguja tu sisemi pemba hamna kiti hata kimoja,cuf wameweza kupata huku kwanini na nyie msipate kule?na bado mnasema kuna mtu anaimarisha chama..tokea akose urais na kuwa nje ya bunge chadema imeshinda chaguzi ngapi yeye akishinda kwenye ofisi za chama na ku dedicate muda wake wote kufanya shughuli za chama tu?
 
Binafsi napendekeza CHADEMA imsimamishe Dr.SLAA kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huko Arumeru.Hii itaipa chadema kwanza nafasi kubwa ya kukinyakua kiti hicho kwa kuwa Slaa kwa sasa ni heavy weight politician na pia watanzania wenye uchungu na nchi hii tumekuwa tukiukosa mchango wa Dr pale bungeni,wengi tunaukumbuka ujasiri wake akiwa anga zile,kiukweli Mboe anapwaya kwenye nafasi ya kiongozi wa upinzani pale bungeni,waziri mkuu Pinda na serikali yake wanahitaji kuchangamshwa na mtu machachari wa aina ya Slaa,Lema au Tundu!....mboe amekua na huruma huruma hivi,sasa slaa kama atafanikiwa kushinda ubunge(nina uhakika atashinda)basi mh.mboe awe muungwana kwa kumpisha bwana Slaa kiti cha kiongozi wa upinzani!hii imekaaje wadau,yote ni katika kuimarisha makali ya bunge.
Mkuu KIM KARDASH
Kwajuu juu mtu akiangalia hoja yako anaweza kudhani ina mantiki ila kiukweli ukiiangalia kwa jicho la tatu ina mdhaifu mengi na ina impact kubwa kwa siasa zetu za Kibongo.
Unajua siasa ni mchezo wa kutumia ujanja sana katika kummaliza mwenzako kisaikolojia na kuondoa ile nguvu yake na imani yake kwa wananchi, kwenda kwenye chaguzi ndogo ni tofauti sana na uchaguzi mkuu, Amini nakwambia ikitokea unavyotaka wewe kwa Dr kugombea Arumeru mashariki CCM watafanya kila linalo wezekena ilimradi tu kuhakikisha Dr Slaa anashindwa ili kumbomoa kisiasa.

Hoja nyingine dhaifu ni kusema eti Mbowe amepwaya sana kwenye uongozi wa kambi ya upinzani bungeni, hapa unajaribu kutuambia nini? kuwa Hamadi Rashid alikua bora zaidi ya Mbowa alivyo sasa?....... you must be kidding

Umetumia vigezo gani kusema eti Dr Slaa akishanda ubunge basi Mh Mbowe ampishe kiti hicho cha kiongozi kambi ya upinzani Dr Slaa, kwangu mimi hizi ni dharau kubwa kwa kutokutambua anachofanya Mh Mbowe Bungeni,
Kumbuka pia hicho kipindi unachosema Dr Slaa alikuwa anawasha moto wa uhakika bungeni hakuwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni hivyo hoja yako haina nguvu tena

Nilazima tutambue kuwa Dr Slaa hajaukosa ubunge kwa bahati mbaya, hapana yupo pale kama katibu mkuu kujenga chama kwa talanta alioionyesha ya uongozi wa kiwango kizuri, wananchi wa Arumeru tayari walikuwa na kijana wao anayeonekana kukubalika tayari, hivyo ingekuwa vyema akaachwa aendelee na mbio zake kuliko kuwalazimishia mtu ambaye hawakuwa wakimfikiria kabla eti tu kwa kigezo cha kwenda kuimarisha makali ya bunge kama ulivyo jenga hoja yako.

Pia kuna tathmini ya kina ulipaswa kujiuliza nini nafasi ya kushinda iwapo atagombea Arumeru mashariki na nini hatari yake iwapo atagombea kwenye jimbo ambalo sio lake.
Kwa mtazamo wako siri ya ushindi umeikita kwenye u heavy weight politician kitu ambacho hakijitoshelezi kabisa

Kwanza,Risk kubwa ninayo iona mimi ni kuwa chaguzi ndogo ni rahisi sana kufanya ujanja wa matokeo kwa CCM, hivyo basi kama nilivyoainisha hapo juu itatumika nguvu kubwa na gharama yoyote kuhakikisha Dr Slaa hashindi na hili litakuwa baya sana kisiasa kwa Dr Slaa na chama chake kuliko unavyoweza kufikiri

Pili historia na uzoefu inaonyesha ni mara chache sana mtu wa oneo fulani kwenda kugombea eneo jingine, hii ni risk, watu wa ukanda huo ni nadra sana kumkubali mtu zaidi ya "mwenzao", swali ni je tuna hakika watu wa Arumeru watakuwa tayari kuchagua mtu yoyote kwa maslahi ya chama au watataka kuchagua mwakilishi wao kwa matakwa yao? think about it

Tatu, moja ya madai ya CCM kufanya vibaya uchaguzi uliopita ni kitendo cha kupitisha wagombea kwa matakwa ya chama badala ya matakwa ya wananchi, Swali la kujiuliza hapa ni kuwa unategemea yule kijana Joshua na wafuasi wake watakuwa tayari kuona wanapelekewa mtu mwingine kugombea badala ya mtu wao wanae amini anajuwa vizuri matatizo yao, je itamfurahisha Joshua mwenyewe na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wafuasi wake.

Naamini Joshua akipewa sapoti kubwa na chama chake atafanya vizuri zaidi na atakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kushinda kuliko Dr Slaa "kupelekwa" akagombee Arumeru mashariki

 
I'm here to stay.

Hoja zako zote ulizoleta hapa so far nimezivunjilia mbali. Kama una nyingine ilete.

Mara nyingi ma anti chadema mkizidiwa hoja mnaleta viroja kwamba wanachadema tuna jazba. Kwangu unapata what you deserve!

mkuu hao ndo wanaojifanya wenye nchi, wametafuta picha Dr.akisalimiana na JK wameikosa sasa wanatafuta mbinu nyingine.
 
Katika uchaguzi mgumu wa majimbo huu utakuwa mmoja wapo kwa sababu zifuatazo;
  1. Jimbo la Arumeru Mashariki Laweza kuwa ngome kubwa kwa mtu kama Lowassa kwa sababu kuu moja tu, Hili ndilo jimbo alikozaliwa Lowassa, hii ni sawa na kufananisha JK na Bagamoyo. Kwa ufupi tu Lowassa ni mzaliwa wa kijiji cha Ambureni wilayani Arumeru na ndiko alikokulia mpaka ulipotokea ugomvi wa koo maeneo hayo na yeye akiwa na baadhi ya wazee kuamua kujitenga na kuamia umasaini monduli. Kwa mantiki hii basi ni wazi akatumia historia ku win attention ya wananchi wa pande zile dhidi yake kwa kujiweka karibu nao tena kama ndugu yao..,ikumbukwe kipindi cha cha kuelekea uchaguzi mkuu 2010 Lowassa alikuwa akijisogeza sana kwa wakazi wa kule ikiwa ni pamoja na kuhudhuria misiba mingi iliyokuwa ikijitokeza na kwa haraka unaweza kuona ndio mbinu aliyoitumia kumpigia kampeni marehemu Sumari hadi kupelekea ushindi, bila shaka ataendelea kutumia mbinu hii na hili ndilo laweza kuwa CHANGAMOTO kubwa mno kwa CDM kushinda katika uchaguzi huo.
  2. Ni wakati muhimu kwa CDM kupima uwezo wake kushinda uchaguzi mkuu 2015 endapo Lowassa ataamua kuwa mgombea wa kiti cha Uraisi sambamba na Dr. Slaa. Hlii litajidhihiisha pale ambapo Lowassa atatumika kuipigia CCM kampeni na Dr. Slaa atakapotumika kuipigia CDM kampeni.

    Huu utakuwa ni mzani tosha wa nguvu ya kisiasa kati ya Lowassa na Dr. Slaa.
 
Akigombea huko na kushindwa itakuwa kwa heri siasa asubiri Rais bado anazo nafaso chache za wabunge 10 wa kuteuliwa

acheni uoga mbona mrema aliweza temeke tena akamshinda mzawa na mtu wa mjini vile vile!
 
CCM bana, mnataka akagombee ubunge ili mkampoke ushindi wake kwa nguvu ili muhalalishe kushindwa kwake kwenye kura za urais, ujanja wenu tumeshaujua.


Chadema kufuata ushauri wa magamba na antiChademas ni sawa na Hawa kukubali ushauri wa shetani na kula tunda la mti wa kati!
 
Back
Top Bottom