Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

Umesesema anagombea kupitia chama gani vile????????????????? Kumbe ...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Taarifa nilizozipata sasa hivi, yule mwandishi wa habari mashuhuri nchini, Bw. Said Kubenea anatarajiwa kugombea ubunge katika jimbo la Igunga lililowachwa wazi na mbaya wake Rostam Aziz.

Tayari mazungumzo kati ya Kubenea ambaye mmoja wa wazazi wake wanatoka Igunga yamefanyika naye inasemekana amekubali ofa hiyo. Anatarajiwa kugombea kupitia chama cha magamba.

Mwingine anayetajwa kutaka kujitosa jimboni Igunga, ni Hussen Bashe na Peter Kafumo.
 
MTM,

Mkuu ukisoma ujumbe wa Padre Privatus karugendo kupitia gazeti la Tanzania daina leo kwamba tuna tatizo kubwa kama Taifa,basi hautakuwa na shida ya kuelewa hili.

Sisi kama taifa tuna Reasoning vacuum ambayo inalazimisha kuwa na Leadership vacuum.Sasa comments nyingine hapa zinatoa picha na kuwakilisha a very big fraction ya ombwe la fikra tulilo nalo kama Taifa.
Naomba link niko quito mkoloni kanituma huku
 
Taarifa nilizozipata sasa hivi, yule mwandishi wa habari mashuhuri nchini, Bw. Said Kubenea anatarajiwa kugombea ubunge katika jimbo la Igunga lililowachwa wazi na mbaya wake Rostam Aziz. Tayari mazungumzo kati ya Kubenea ambaye mmoja wa wazazi wake wanatoka Igunga yamefanyika naye inasemekana amekubali ofa hiyo. Anatarajiwa kugombea kupitia chama cha magamba. Mwingine anayetajwa kutaka kujitosa jimboni Igunga, ni Hussen Bashe na Peter Kafumo.
hongera kubenea ni maswala ya uhuru wa kikatiba kuweza kuchaguliwa na kuchagua
 
Taarifa nilizozipata sasa hivi, yule mwandishi wa habari mashuhuri nchini, Bw. Said Kubenea anatarajiwa kugombea ubunge katika jimbo la Igunga lililowachwa wazi na mbaya wake Rostam Aziz.

Tayari mazungumzo kati ya Kubenea ambaye mmoja wa wazazi wake wanatoka Igunga yamefanyika naye inasemekana amekubali ofa hiyo. Anatarajiwa kugombea kupitia chama cha magamba.

Mwingine anayetajwa kutaka kujitosa jimboni Igunga, ni Hussen Bashe na Peter Kafumo.


Hii ni April fools' day?
 
Jamani jamani, Kubenea hata uko Arusha kwenye mkutano wa PPF na wahariri hakwenda. Sasa amenunuliwa vipi? Nimeomngea na mhariri wake mmoja pale ofisini kwake amesema hata makala za PPF zilizoandikwa baada ya kurudi ARUSHA ziliandikwa na Jabir na Ndimara si yeye. Yeye alikuwa India wakati huo.

Nilipomuuliza hili la kugombea Igunga, amenithibitishia kwamba naye amesikia, ingawa hajamsikia Kubenea mwenyewe.
 
Jambo wana JF!
ubunge igunga ni moja kati ya ajenda mpya yakufanyia kazi. Igunga inawasomi kadhaa ambao wanafaa kuwa wawakilishi wa wananchi. Wasomi hawa ni pamoja na Dr. Kafumu Kamishna wa Madini- Nishati na Madini, mtaalamu aliyebonea katika madini, tunaye pia Bw. Mboje mtaalamu wa masuala ya uvuvi ambayetunasikia yuko Marekani kwa sasa, Jafar Omari, Hamis Mapinda na Malembela Mashauri mwalimu wa sekondari. Watu hawa wote waliwania ubunge awamu iliyopita na bw. Rostam. Naamini mmoja kati ya hawa anafaa awe mwakilishi wa wananchi kwa jimbo la Igunga. Kwa namna tulivyowasilikiliza wakati wa kampeni walikuwa moto wa kuotea mbali maana walieleza ukweli kila palipostahili. Nawashauri chama chochote kiwatafute hawa badala ya kufikiria mtu ambaye hajui haja za watu wa Igunga. Igunga kwanza mengine yafuate. Igunga imekuwa wilaya ya mwisho kimaendeleo ukilinganisha na wilaya zingine za mkoa huu wa Tabora. Hakuna maji, zahanati hovyo, shule hazina walimu, hakuna mikakati ya maendeleo. Nashangaa wanaosema rostam kaliliwa na watu si kweli hata kidogo labda kwa wale vibarua waliokuwa wanashiba kwake.
Nahauri Igunga iwatumie vijana hao niliowataja wanaweza kufanikisha maendeleo ya Igunga.
Kama kuna mwenye CV za hawa watu azianike jamvini ili watu wasaidie kutoa mawazo ya kina igunga ipate mtu wa kufaa.
....ningekusifu kama ungetaja agenda za maendeleo zitakazisaidia lgunga kuondoka hapo ilipo, wapi pa kuanzia kwa maana ya vipaumbele then kutengeneza orodha ya nani anaweza kuja na MIKAKATI THABITI na siyo ile ya kutegemea fedha za budget ya serikali au aseme yeye atatoa fedha kufinance NO!! reliable source of finance!!!
vzr umetaja wachache, bt kihistoria wilaya ya lgunga ina sehem mbili muhimu Nkinga na Ussongo, these two places can provide potential people to stand for candidacy, kama una interest kweli fanya utafiti utapata majina ya kutosha, unless una candidate unataka kupropangadize

Matumizi bora ya fungu linalopatikana na linalotengwa na Serikali ni sehemu moja ya maendeleo ikiwa fedha hiyo itatumika ipasavyo; pia kunawahisani wengi wanaoweza kutoa fedha ambazo zitatumika moja kwa moja kwa shughuli husika. Ikiwa igunga inaupotevu mkubwa wa fedha ya Serikali ambao ukifanyiwa kazi utaiwezesha kufanya mambo maakubwa. Si Rostam anayetoa fedha ni serikali ikiwa fehdahizi zitatumika ipasavyo igunga itakuwa na maendeleo makubwa.Ni mpango mkakati mkali unatakiwa kwa kushirikisha wahisani mbali mbali. Anahitajika mtu atakaye simamia hayo; rasilimali watu wapo, ardhi ipo, maji yanaweza kupatikana, elimu inawezekana kwa usimamizi bora na mikakati bora. Wakati umefika Igunga kuwa na mtu makini. Nimetaja hao ambao ninawafahamu. Mwingine anaweza kutaja wengine anaowafahamu. Umetaja nkinga na busongo hiyo ni zamani sasa hivi wameenea kila kona. Igunga inahitaji mtu atakayetumika kwa wanaigunga bila kuwagawa
ituganhila
igunga
 
Kubenea, unafit sana kwenye Uandishi na siyo kufanya siasa. Achana na hiyo mambo kama ni kweli, Magamba watakufanyizia mbaya, si umesikia wanavyomsema vibaya Seif baada ya kuingia anga zao. Take a note
 
Mh Saidi S Kubenea Mbunge mteule wa Jimbo la Igunga CHADEMA
kwa cdm sawa lakini kwa magamba sijui labda maana siasa bwana ni namna ulivyojipanga lakini kubenea na ccm waliompofua atasemaje jukwaani kuwa ccm na maisha bora kweli kubenea kwa mdomo wake ikiwa hivyo kweli watanzania wote ni vichaa na mazuzu
 
Sitta?...no!

Nape,the Vuvuzela?...certainly NOT.

Mwakyembe?....not known kwa siasa za jukwaa!

Msekwa?...a walking dead man!

Kazi wanayo!!!
 
Kuna uwezekano mkubwa ataongoza Katibu wa UVCCM Martin Shigela au mtunza Hazina wa Chama Mwigulu Lameck Mwigulu
 
ni kweli unautaka ubunge kupitia CCM JIMBO la Igunga? Wa JFTmlio karibu nae plz nisaidie huyu bwana aweke mambo hadharani.
 
Kubenea siku hizi mpambe wa mapacha watatu! Wamebakia wawili, Kubenea pamoja nakujua na kufuatilia mawasiliano ya Zitto Kabwe na Boss wa Usalama wa Taifa, lakini mpaka leo hajamjua nani alimwagia tindikali
 
Kubenea siku hizi mpambe wa mapacha watatu! Wamebakia wawili, Kubenea pamoja nakujua na kufuatilia mawasiliano ya Zitto Kabwe na Boss wa Usalama wa Taifa, lakini mpaka leo hajamjua nani alimwagia tindikali

hii ni hoja vapour ..... you are a Hate Preacher


hoja rojo rojo hii
 
hapo sawa kwa factor ya kumwagiwa tindikali na kutojua mpaka leo nakubaliana nawe
 
lakini huyu jamaa kama kweli atakuwa anataka kugombea kwa tiketi ya ccm ntamchukulia uroho wa madaraka kwa jinsi anavyokipaka matope chama tawala..
 
Back
Top Bottom