Kamende
JF-Expert Member
- Mar 1, 2008
- 416
- 47
Igunga ni ngome ya CCM, na itabaki kuendelea kuwa hivyo.
Shindwa!!!!!!!!!!!!!!!!!
Igunga ni ngome ya CCM, na itabaki kuendelea kuwa hivyo.
Igunga nina uhakika 100% ccm hatuwezi kushinda. Wapinzani watatubwaga vibaya sana, hasa kwa sababu ya hili tatizo la haka kaugonjwa ketu ka umeme kukatika.Igunga ni ngome ya CCM, na itabaki kuendelea kuwa hivyo.
Usitake ncheke mie !Watu wa Igunga wamepigika vyakutosha. Mabadiliko ni lazima, CHADEMA chukueni jimbo kiulainiiii! Nawaambieni hata Kikwete angeteuliwa na Magambaz kugombea pale halafu CHADEMA wakaweka jiwe badala ya mtu, Jiwe lingeshinda kwa kishindo.
Kaka umekuwa wa mipasho?
Jambo wana JF!
ubunge igunga ni moja kati ya ajenda mpya yakufanyia kazi. Igunga inawasomi kadhaa ambao wanafaa kuwa wawakilishi wa wananchi. Wasomi hawa ni pamoja na Dr. Kafumu Kamishna wa Madini- Nishati na Madini, mtaalamu aliyebonea katika madini, tunaye pia Bw. Mboje mtaalamu wa masuala ya uvuvi ambayetunasikia yuko Marekani kwa sasa, Jafar Omari, Hamis Mapinda na Malembela Mashauri mwalimu wa sekondari. Watu hawa wote waliwania ubunge awamu iliyopita na bw. Rostam. Naamini mmoja kati ya hawa anafaa awe mwakilishi wa wananchi kwa jimbo la Igunga. Kwa namna tulivyowasilikiliza wakati wa kampeni walikuwa moto wa kuotea mbali maana walieleza ukweli kila palipostahili. Nawashauri chama chochote kiwatafute hawa badala ya kufikiria mtu ambaye hajui haja za watu wa Igunga. Igunga kwanza mengine yafuate. Igunga imekuwa wilaya ya mwisho kimaendeleo ukilinganisha na wilaya zingine za mkoa huu wa Tabora. Hakuna maji, zahanati hovyo, shule hazina walimu, hakuna mikakati ya maendeleo. Nashangaa wanaosema rostam kaliliwa na watu si kweli hata kidogo labda kwa wale vibarua waliokuwa wanashiba kwake.
Nahauri Igunga iwatumie vijana hao niliowataja wanaweza kufanikisha maendeleo ya Igunga.
Kama kuna mwenye CV za hawa watu azianike jamvini ili watu wasaidie kutoa mawazo ya kina igunga ipate mtu wa kufaa.
....ningekusifu kama ungetaja agenda za maendeleo zitakazisaidia lgunga kuondoka hapo ilipo, wapi pa kuanzia kwa maana ya vipaumbele then kutengeneza orodha ya nani anaweza kuja na MIKAKATI THABITI na siyo ile ya kutegemea fedha za budget ya serikali au aseme yeye atatoa fedha kufinance NO!! reliable source of finance!!!
vzr umetaja wachache, bt kihistoria wilaya ya lgunga ina sehem mbili muhimu Nkinga na Ussongo, these two places can provide potential people to stand for candidacy, kama una interest kweli fanya utafiti utapata majina ya kutosha, unless una candidate unataka kupropangadize
Because of masalia ya ZItto yapukutishwa?
teh teh teh MASALIA upoo?dah mpe hi! zitto mwambie akileta pepe ataungana na KafulilaHujakosea......umechelewa sana kuamini,wenzako walishaanza zamani sana.Siku nyingine uwe unawahi
we ben ni masalia ya zitto,na bora tumekugundua mapema kabla ujapenya..ata kama unamchukia kubenea kwa ukweli anaondelea kuuanika,lazma uuappriciate mchango wake kwa mabadiliko tunayoyaona sasa na upepo mzma wa kisiasa,labda km sio muungwana au una shabaha nyingineHujakosea......umechelewa sana kuamini,wenzako walishaanza zamani sana.Siku nyingine uwe unawahi
Unajua unachokiongea ww au ni vile tu umepata access kuweza kuchangia hapa. Mjifunze kuwa analytical na kujadili mambo objectively. JF ni medium na kama hujui basi fahamu kuwa kila medium ina audience yake.halafu hii poll ya kupigia kura za maoni mbunge wa igunga sioni kama ina mantiki kwani wengi humu JF wapo nje ya Tanzania, kwa hiyo haina msaada wowote. au kwa lugha rahisi haireflect uhalisia jimboni. Tumejifunza uchaguzi uliopata wa urais jinsi slaa alivyokuwa akiongoza hapa fj kumbe hajulikani kabisa sehemu zingine za Tanzania.
aisee.... rafiki yangu speaker anadhani Kubenea is a good leader, Mungu wangu!!!!
No wonder tupo hapa tulipo
kiongozi lazima awe versatile, na ukiondoa vichwa vya habari za lowassa kwenye mwanahalisi siajona Kubenea anachoweza kufanyaAliwahi kuongoza wapi hadi udhani hafai kuwa kiongozi?
kwa mtazamo wako hafai kuwa kiongozi kwa sababu "kila akiamka
yuko na lowasa",...
well,hivo ndivo ulivo m-define lakini mimi naweza tumia statement hiyo hiyo
kukwambia kwamba anafaa kuwa kiongozi kwa sababu "ni mtu anae stick to a thing until it's finished,.."!
Sijui kama wewe unapenda watu wanao rukia rukia vitu tofauti na kuviacha nusu nusu,...
he's a leader,assume angekua waziri wa nishati na madini,ange stick hapo hadi tatizo la umeme liishe haha,
kiongozi lazima awe versatile, na ukiondoa Lowassa siajona Kubenea anachoweza kufanya
You are my friends and i am happy the way we differ
Hivi ameshawahi hata kuongoza vyema nyumba kumi?? Vipi umeshfuatilia Mwanahalisi ukajua wako vipi wale vijana wake?? hebu cheki level yake ya kumanage kazi yake kwa kuanza na website tu
Anyway, kubenea anafaa sana kuwa mgombea ubunge igunga lakini hafai kuwa mbunge, hasa hapo kwenye red maana angeweza kung'angania hoja moja miaka mitano na kusahau yote maishani mwake, LOL
Si kila king'aacho ni dhahabu swahiba
Kaka umekuwa wa mipasho?
Anamiliki bendi za taarabu siku hizi
Mkuu, huyu ana chuki na kubenea tangu hiyo ya Masalia itoke.
teh teh teh MASALIA upoo?dah mpe hi! zitto mwambie akileta pepe ataungana na Kafulila
we ben ni masalia ya zitto,na bora tumekugundua mapema kabla ujapenya..ata kama unamchukia kubenea kwa ukweli anaondelea kuuanika,lazma uuappriciate mchango wake kwa mabadiliko tunayoyaona sasa na upepo mzma wa kisiasa,labda km sio muungwana au una shabaha nyingine
aisee.... rafiki yangu speaker anadhani Kubenea is a good leader, Mungu wangu!!!!
No wonder tupo hapa tulipo