Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

Sidhani Kama CHADEMA inaendeshwa hivi.

Tutajuaje kama wewe ni CCM mnataka kutupa Shibuda mwingine?

sisi wakazi wa igunga tutafurahi sana kama Leopard mahana atarudi kugombea tena kwani ni kipenzi cha wana igunga kwa huyu tutahakikisha anaingia kwenye mjengo Dodoma kwani ni mtetezi na mkombozi wa wanaigunga kwani uchaguzi uliopita alipata kura nyingi 11000 kwa tiketi ya cuf, kwa hiyo tunamuomba aje tumpe jimbo atuongoze.
kuna thread humu ulikuwa unadai ndiye uliyemchagua Mallah wa Arusha. Leo upo Igunga we kweli mpumbavu. Uwongo wako umejidhihirisha

sisi wakazi wa igunga tutafurahi sana kama Leopard mahana atarudi kugombea tena kwani ni kipenzi cha wana igunga kwa huyu tutahakikisha anaingia kwenye mjengo Dodoma kwani ni mtetezi na mkombozi wa wanaigunga kwani uchaguzi uliopita alipata kura nyingi 11000 kwa tiketi ya cuf, kwa hiyo tunamuomba aje tumpe jimbo atuongoze.

Alishindwaje kuingia mjengoni uchaguzi uliopita kama alikuwa kipenzi chenu? Angalizo kwa CDM. Kuna watu wanashauri ahamie CDM ili apate ubunge. CDM isiwe ngazi ya kupandia kwenda bungeni. Kama kweli anakubaliana na sera zenu, mkaribisheni. Vinginevyo mtajikuta na hundreds of Shibudas.

sisi wakazi wa igunga tutafurahi sana kama Leopard mahana atarudi kugombea tena kwani ni kipenzi cha wana igunga

Wana jf habari ya hapa jamvini, sisi wana igunga tunamtaka mboje aje agombee hapa tutampa kura zetu,

Kila mmoja anamtaja mtu tofauti na wote mnasema "sisi". Sasa sisi ni wakina nani haswa na nani kati yenu ana wakilisha hisia halisi za wana Igunga?

Alishindwaje kuingia mjengoni uchaguzi uliopita kama alikuwa kipenzi chenu? Angalizo kwa CDM. Kuna watu wanashauri ahamie CDM ili apate ubunge. CDM isiwe ngazi ya kupandia kwenda bungeni. Kama kweli anakubaliana na sera zenu, mkaribisheni. Vingenevyo mtajikuta na hundreds of Shibudas.

Tunategemea chadema isimamishe mgombea ambaye ni mwanachama asiyetiliwa mashaka, hii habari ya watu kukosa nafasi kwenye vyama vyao na kuamua kuitumia chadema kupandia ngazi lazima ikomeshwe na chadema ionyeshe kuwaamini wanachama wake kwani ndio wameifikisha hapo ilipo leo.

nawashauri cdm wampeleke mpendazoe akagombee jimbo la igunga! Huyu jamaa anakubalika sana kwa watanzania

cdm wasijidanganye igunga watatoka kapa hata kama watamsimamisha dr. Slaa, wana igunga siyo wajinga kumchagua mbunge atokaye nje ya igunga

kama mahana anataka kushinda basi hana budi kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema! Na kama Mahana ni mwanasiasa makini, mwenye mawazo chanya na fikra pevu, na kama amewahi kutumia muda wake kusoma alama na majira ya nyakati juu ya uongozi wa nchi hii kwa sasa pamoja na upepo wa kisiasa unao vuma kipindi hiki; Basi Mahana atahama CUF! Nitamshangaa sana kama Mahana atakubali kuwa mgombea wa chama ambacho tayari kimekubali kuolewa na chama cha magamba(ccm)
Ndugu usidhani kila sehemu kuna watu wenye akili sawa. Kama wewe unaona CDM ni chama cha maana sana basi ni huko huko kwenu sio kila mahali. Sio lazima upuuzi wa kilimanjaro uende Igunga!

cdm wasijidanganye igunga watatoka kapa hata kama watamsimamisha dr. Slaa, wana igunga siyo wajinga kumchagua mbunge atokaye nje ya igunga
Kwani Igunga hamna Wachagga?

Ndugu usidhani kila sehemu kuna watu wenye akili sawa. Kama wewe unaona CDM ni chama cha maana sana basi ni huko huko kwenu sio kila mahali. Sio lazima upuuzi wa kilimanjaro uende Igunga!
ndo maana mnalala giza kwa kosa la cku moja la kufurahia kanga na pombe!

ndo maana mnalala giza kwa kosa la cku moja la kufurahia kanga na pombe!

Mkuu, kwa hiyo sehemu ambazo CDM walishinda ubunge wanaongoza kuna maendeleo?

Nakwambia anagombea. Jana alikuwa na kikao kirefu na Membe na Msekwa. CCM wanaona njia pekee ya kushinda jimbo la Igunga ni kumuweka Kubenea. Wamemhakikishia vikao vya chama vitampitisha. Lakini mkakati mzima unaonekana kutaka kumyamazisha yeye na gazeti lake. Wanaamini kuwa akijitosa katika mbio za ubunge Igunga, basi hataweza tena kuwachapa.

Nadhani hamfahamu Kubenea huyu ni mzalendo wa hali ya juu si rahisi kuhongwa kama unavyofikiri kama ni kufutwa kashafutwa sana na kama Magamba kujipendekeza wamejipendekeza sana kwake na kuwapiga chini. Kwake yeye taifa kwanza mambomengine baadaye.

khs igunga tuwe na subira! na kubenea ninavyojua mimi ni mwenyeji wa kisarawe.

Kutokana jimbo la Igunga kutokuwa na maendeleo,wana Igunga wana kiu kubwa ya maendeleo,shule nzuri,hosptl bora n.k wanahitaji mtetezi wa wanyonge mwenye upeo na uwezo kama dr Slaa,na pia itaongeza nguvu ya umma bungeni!

hii tushaijadili hapa - tukasema jimbo hilo liende kwa vijana, DR. ana mambo mengi ya kufanya more than that.

No sipendekezi kabisa DR wa Ukweli agombee jimbo hili. Status yake ni zaidi ya Ubunge, tunao vijana wengi tu hapo Igunga nadhani wanaweza wakachukua nafasi hiyo!

hii tushaijadili hapa - tukasema jimbo hilo liende kwa vijana, DR. ana mambo mengi ya kufanya more than that.

Ni kweli mkuu,kingine yule focus yake ni kujenga chama sehemu ambazo hakijajijenga vizuri ili 2015 mambo yawe rahisi na upinzani uwe mkali.Hatutaki baadhi ya majimbo kutokua na wagombea wa upinzani.

hii tushaijadili hapa - tukasema jimbo hilo liende kwa vijana, DR. ana mambo mengi ya kufanya more than that.

Najua lakini linaweza kuleta mawazo mapya!

Back
Top Bottom