Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,877
- 46,400
Ahahaha!! Risibility..hii ni hoja vapour ..... you are a Hate Preacher hoja rojo rojo hii
Ahahaha!! Risibility..hii ni hoja vapour ..... you are a Hate Preacher hoja rojo rojo hii
unafikiri hamjui, tatizo ni kuithibitishia polisi yetu na mahakama (vyote vipo chini ya serikali ya magamba serikali dhalimu) sasa unatarajia nini?Kubenea siku hizi mpambe wa mapacha watatu! Wamebakia wawili, Kubenea pamoja nakujua na kufuatilia mawasiliano ya Zitto Kabwe na Boss wa Usalama wa Taifa, lakini mpaka leo hajamjua nani alimwagia tindikali
Kama anamjua ebu tutajie labda alikuambia wewe!unafikiri hamjui, tatizo ni kuithibitishia polisi yetu na mahakama (vyote vipo chini ya serikali ya magamba serikali dhalimu) sasa unatarajia nini?
alishakujua zaman,soon nawew utamwagiwa ya kwako.Kubenea siku hizi mpambe wa mapacha watatu! Wamebakia wawili, Kubenea pamoja nakujua na kufuatilia mawasiliano ya Zitto Kabwe na Boss wa Usalama wa Taifa, lakini mpaka leo hajamjua nani alimwagia tindikali
Taarifa nilizozipata sasa hivi, yule mwandishi wa habari mashuhuri nchini, Bw. Said Kubenea anatarajiwa kugombea ubunge katika jimbo la Igunga lililowachwa wazi na mbaya wake Rostam Aziz.
Tayari mazungumzo kati ya Kubenea ambaye mmoja wa wazazi wake wanatoka Igunga yamefanyika naye inasemekana amekubali ofa hiyo. Anatarajiwa kugombea kupitia chama cha magamba.
Mwingine anayetajwa kutaka kujitosa jimboni Igunga, ni Hussen Bashe na Peter Kafumo.
Hii nimeipenda, hongera sana kaka kwa mchango mzuriWanaJF mpeni Kubenea HAKI YAKE YA KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA KUPITIA CHAMA ANACHOPENDA YEYE. Jamani huu ndio utamu wa SIASA,hiki si cha kushangaa kubenea ni mpiganaji muacheni, sio kila Mwana CCM basi hapaswi kuwa Mwanaharakati na mpiganaji wa TAIFA letu.NOOO SIO SAWA HATA KIDOGO.Mpeni haki yake ya KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA.
Nimekuwa napinga sana hatua na juhudi za CCM za kuwafanya Watanzania wengine Kama wageni ndani ya TAIFA lao kwa kuwa si WanaCCM.Ili uwe na mchango wa kulitumikia TAIFA ni Lazima uwe MWANACCM.Hapana huo si UTU,ni UONEVU hivyo kupatikana kwa watu kama KUBENEA ndio mwanzo wa mageuzi.
Kwa kuwa dhamila yake ni mageuzi,akifika uko asitumie nafasi hiyo kwa faida ya wengi basi nae ATASTAHIKI LAWAMA za kutumwa na wanfamilia chakula wakati wa njaa kisha baada ya kupata chakula cha wanajamii anapotea nacho anakojua yeye,na kuwaacha wanajamii wakiendelea kuteseka na njaa.TUNAITAJI MCHANGO WA KUBENEA BUNGENI ACHENI AENDE SIO LAZIMA APITIE CDM HATA CCM NACHO NI CHAMA.JIBU LA TATIZO SI KUKIMBIA TATIZO BALI NI KUKABILIANA NALO.
HONGERA KUBENEA KAMA NI KWELI.
Taarifa nilizozipata sasa hivi, yule mwandishi wa habari mashuhuri nchini, Bw. Said Kubenea anatarajiwa kugombea ubunge katika jimbo la Igunga lililowachwa wazi na mbaya wake Rostam Aziz.
Tayari mazungumzo kati ya Kubenea ambaye mmoja wa wazazi wake wanatoka Igunga yamefanyika naye inasemekana amekubali ofa hiyo. Anatarajiwa kugombea kupitia chama cha magamba.
Mwingine anayetajwa kutaka kujitosa jimboni Igunga, ni Hussen Bashe na Peter Kafumo.
Nnacho elewa mimi ni ukweli kwamba mtu mweupe si kama ulivyomaanisha, ni m2 asiependa maendeleo ya mtu mweus ndomana leo hii wanachimba madin ww haunufaiki nayo lkn wananufaika weupe wenzake, hali kdhalika samaki wanabeba nyie mnaachiwa mifupa. KItu cha kuelewa hapa ni kwamba Bashe amepandikizwa na mapacha watatuTujipiganie watu weus ili tuishi kwa uhuru, cdm ndo mpango mzima kwahiyo hata kubenea akigombea kupitia magamba mi ntamdis na siwez kumuamini kama atatetea maslahi ya mkulima mwenzangu wa hapo igunga, ukiacha cc wakulima wa nzega ambao tumesahaulika na gvt ya magamba.Hao wenye ngozi nyeupe ndio wanakuongoza sasa hivi. Nambie, Jakaya mweusi?
Hata mimi sitaki kuamini kubenea anaenda kugombea kupitia magamba!Sidhani kama utanishawishi kwa mwanaharakati kama Kubenea kugombea ubunge kupitia chama changu cha magamba.naamini kubenea ni mtu makini kuliko unavyofikili...