Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

Wana jf habari ya hapa jamvini, sisi wana igunga tunamtaka mboje ;aje agombee hapa tutampa kura zetu, huyu ni mtoto wa hapa igunga ni msomi mzuri na anaweza akawa mwakilishi mzuri kwa jimbo la igunga. Kwa taarifa hivi sasa yuko shule marekani. Lakini atafaa sana. Anamsimamo hasa hababaishwi na kitu ni hazina nzuri inayoweza kutumika igunga na nchi kwa ujumla;chadema mko wapi kijana huyu hapa wa igunga njooni hapa igunga ulizeni habari za huyu kijana. Mi nimedadisi nimepata habari hizi:nimzaliwa wa hapa igunga, amesoma hapa igunga shule ya msingi, kazima sekondari, udsm,tokyo,kagoshima - japan na sasa yuko marekani akisoma.
Mtafuteni huyu kijana mi nimeuliza kidogo hapa kwa utafiki wangu huyu kijana anafaa kwa maelezo ya wananchi.tafuteni mawasiliano yake mjue yuko wapi asimame anafaa sana kwa taarifa.
Tukimuweka sokoni igunga ni bidhaa inayouzika. Chadema mpoooo,njooni hapa muulizeni diwani wa chadema hapa igunga atawapasha data za huyu kijana.

Kama kuna maoni usisite kutoa,tunataka kujenga igunga na nchi yetu.

Ituganhila

igunga

kazi yetu ni kukusanya taarifa na kuwapa, utekelezaji ni juu yenu
 
Taja majina yote matatu au mawili tusaidiane kumtafuta..... Angalizo...unajua vipi itikadi zake kiasa.... eg. chadema, ccm, nccr, tlp nk. Na je umetembelea kata ngapi kujua kuwa anapendwa... Kuwa nje ya nchi muda huoni kuwa kinaweza kuwa kikwazo kwa wana Igunga kumpiga chini maana type zao ni zile za Mabeberu?
 
Wana jf habari ya hapa jamvini, sisi wana igunga tunamtaka mboje ;aje agombee hapa tutampa kura zetu, huyu ni mtoto wa hapa igunga ni msomi mzuri na anaweza akawa mwakilishi mzuri kwa jimbo la igunga. Kwa taarifa hivi sasa yuko shule marekani. Lakini atafaa sana. Anamsimamo hasa hababaishwi na kitu ni hazina nzuri inayoweza kutumika igunga na nchi kwa ujumla;chadema mko wapi kijana huyu hapa wa igunga njooni hapa igunga ulizeni habari za huyu kijana. Mi nimedadisi nimepata habari hizi:nimzaliwa wa hapa igunga, amesoma hapa igunga shule ya msingi, kazima sekondari, udsm,tokyo,kagoshima - japan na sasa yuko marekani akisoma.
Mtafuteni huyu kijana mi nimeuliza kidogo hapa kwa utafiki wangu huyu kijana anafaa kwa maelezo ya wananchi.tafuteni mawasiliano yake mjue yuko wapi asimame anafaa sana kwa taarifa.
Tukimuweka sokoni igunga ni bidhaa inayouzika. Chadema mpoooo,njooni hapa muulizeni diwani wa chadema hapa igunga atawapasha data za huyu kijana.

Kama kuna maoni usisite kutoa,tunataka kujenga igunga na nchi yetu.

Ituganhila

igunga

kazi yetu ni kukusanya taarifa na kuwapa, utekelezaji ni juu yenu
safi sana.... umejipromote vizuri hadi whereabouts

congrats
 
Nyinyi wana Igunga ndio mnaomuhitaji, kivipi sisi ndo tumtafute?
Halafu umeandika mlolongo mrefu mno kiasi kwamba kila nkijaribu kurahisisha hiyo hesabu naishia kwenye jibu
Mboje = Ituganhila
 
sisi wakazi wa igunga tutafurahi sana kama Leopard mahana atarudi kugombea tena kwani ni kipenzi cha wana igunga kwa huyu tutahakikisha anaingia kwenye mjengo Dodoma kwani ni mtetezi na mkombozi wa wanaigunga kwani uchaguzi uliopita alipata kura nyingi 11000 kwa tiketi ya cuf, kwa hiyo tunamuomba aje tumpe jimbo atuongoze.
 
Mboje bwana =ituganhila. Si ulijaribu mwaka jana ikawaje? Sasa unataka kugombea kupitia Chadema au CCM? Maana mwaka jana ulishindwa kura za maoni CCM!!
 
Mimi nafaa sana kwa hiyo nafasi ya Igunga!!
Ngoja nichukue baraka za wazee wangu wa CCM!
 
Wana jf habari ya hapa jamvini, sisi wana igunga tunamtaka mboje ;aje agombee hapa tutampa kura zetu, huyu ni mtoto wa hapa igunga ni msomi mzuri na anaweza akawa mwakilishi mzuri kwa jimbo la igunga. Kwa taarifa hivi sasa yuko shule marekani. Lakini atafaa sana. Anamsimamo hasa hababaishwi na kitu ni hazina nzuri inayoweza kutumika igunga na nchi kwa ujumla;chadema mko wapi kijana huyu hapa wa igunga njooni hapa igunga ulizeni habari za huyu kijana. Mi nimedadisi nimepata habari hizi:nimzaliwa wa hapa igunga, amesoma hapa igunga shule ya msingi, kazima sekondari, udsm,tokyo,kagoshima - japan na sasa yuko marekani akisoma. Mtafuteni huyu kijana mi nimeuliza kidogo hapa kwa utafiki wangu huyu kijana anafaa kwa maelezo ya wananchi.tafuteni mawasiliano yake mjue yuko wapi asimame anafaa sana kwa taarifa.Tukimuweka sokoni igunga ni bidhaa inayouzika. Chadema mpoooo,njooni hapa muulizeni diwani wa chadema hapa igunga atawapasha data za huyu kijana.Kama kuna maoni usisite kutoa,tunataka kujenga igunga na nchi yetu.Ituganhilaigungakazi yetu ni kukusanya taarifa na kuwapa, utekelezaji ni juu yenu
Umetumia vigezo gani kujua kama anafaa kuwa Mbunge wa Igunga? au kwako mtu akisoma Marekani ni sifa kuu!Masha, kabla hajawa mbunge wa Mwanza alikuwa anaishi Marekani tena alienda akiwa na umri wa miaka mitano, vipi alivyokuwa mbunge kaifanyia nini Mwanza?Mimi nakushauri bora wewe mwenyewe chukuwa fomu za Magwanda ugombee ubunge kama mwana Igunga, achana na porojo za Marekani
 
Hivi Igunga ni kitongoji kwa maana hakuna viongozi walioandaliwa?maake huu utafutaji wa nani agombee umekuwa kama kutafuta sindano iliyodondoka kwenye jangwa usiku kwa kutumia kurunzi.
 
we ni nani kwa Mbuje au ni wewe au ni kibaraka wake?

Na kuhusu cdm mkuu achana na longolongo kabsa maana unaweza kuona ubunge ni balaa..

Karibu sana uwanja wamabishano ya maendeleo dodoma..
 
kama mahana anataka kushinda basi hana budi kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema! Na kama Mahana ni mwanasiasa makini, mwenye mawazo chanya na fikra pevu, na kama amewahi kutumia muda wake kusoma alama na majira ya nyakati juu ya uongozi wa nchi hii kwa sasa pamoja na upepo wa kisiasa unao vuma kipindi hiki; Basi Mahana atahama CUF! Nitamshangaa sana kama Mahana atakubali kuwa mgombea wa chama ambacho tayari kimekubali kuolewa na chama cha magamba(ccm)
 
Mbona imekaa kama vile unampigia chapuu?je una uhakika kuwa na yeye anahitaji ubunge!!
 
Wana jf habari ya hapa jamvini, sisi wana igunga tunamtaka mboje ;aje agombee hapa tutampa kura zetu, huyu ni mtoto wa hapa igunga ni msomi mzuri na anaweza akawa mwakilishi mzuri kwa jimbo la igunga. Kwa taarifa hivi sasa yuko shule marekani. Lakini atafaa sana. Anamsimamo hasa hababaishwi na kitu ni hazina nzuri inayoweza kutumika igunga na nchi kwa ujumla;chadema mko wapi kijana huyu hapa wa igunga njooni hapa igunga ulizeni habari za huyu kijana. Mi nimedadisi nimepata habari hizi:nimzaliwa wa hapa igunga, amesoma hapa igunga shule ya msingi, kazima sekondari, udsm,tokyo,kagoshima - japan na sasa yuko marekani akisoma.
Mtafuteni huyu kijana mi nimeuliza kidogo hapa kwa utafiki wangu huyu kijana anafaa kwa maelezo ya wananchi.tafuteni mawasiliano yake mjue yuko wapi asimame anafaa sana kwa taarifa.
Tukimuweka sokoni igunga ni bidhaa inayouzika. Chadema mpoooo,njooni hapa muulizeni diwani wa chadema hapa igunga atawapasha data za huyu kijana.

Kama kuna maoni usisite kutoa,tunataka kujenga igunga na nchi yetu.

Ituganhila

igunga

kazi yetu ni kukusanya taarifa na kuwapa, utekelezaji ni juu yenu

Umeanka kwa kuongea kama unamjua personally. Umemwaga sifa zake nyingi na kutueleze mpaka alipo....

Kisha ukatueleza kuwa umemwaga sifa zooooote hizo kumbe hata humjui. Kumbe sifa zote hizo umesikia tu....

Swali: Kwa ulivyo ongea mwishoni humjui huyu mtu personally. Sasa kama anasoma Marekani atarudije kugombea ubunge?

Nawashauri CDM wampeleke Mpendazoe akagombee Jimbo la Igunga! Huyu jamaa anakubalika sana kwa Watanzania
 
Mbona imekaa kama vile unampigia chapuu?je una uhakika kuwa na yeye anahitaji ubunge!!

Mkuu ni yale yale ya January Makamba. 2009 zilijaa thread humu za kumsifia January kumbe alikua anatafuta ubunge 2010. Baada ya kugundua kuwa Facebook alifungua account kwa jina lingine kwa makusudi ili kujitetea nikaanza kuhisi kuwa hata 2009 thread za kujisifu ina wezekana alikua anaanzisha mwenyewe au kutuma washkaji zake.
 
Ni vema ahamie shadema vinginevyo hatopata ushindi,kwani chama chake hakina uwezo wa kumudu kishindo cha uchaguzi mdogo ujao!!
 
Back
Top Bottom