Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,385
- 29,909
Yaani unakaa Kibaha kazi Dar es Salaam ulazimike kulipa kodi kila uingiapo na kutoka Dar! Na daladala za Kibaha kwenda Magufuli kila tripu zilipe kodi ya kuingia na kutoka! Bora nitembee kwa miguu.Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
Ni kweli ,, ila nasisitiza Bado tumejaliwa rasilimali lukuki hakuna haja ya kuwa na Kodi zisizo na mantiki sana ,, visimamiwe vyema . Tuwe na serekali tatu. Na Habari ya kuziuza ikome mara Moja .Haaaaahaaaaa Rasilimali moja wapo ndani ya Taifa letu ni uwepo pia wa Vyombo vya moto rafiki.
Vijana machawa mna mchango mdogo sana kwa taifa JPM alisemaResources are scarcity. Wants and needs are unlimited.
Wewe umeshawahi kutosheka na nini rafiki?
Freedom of movement ambayo kikatiba imetolewa wewe unataka kuitoza pesa, aisee uchawa ni janga la taifa.Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
Kwamaana nitoke Kilimanjaro nikifika Arusha nilipe manyara nilipe... Then singida.... Taboraa.... Shinyanga.... Geita...... Kama naenda muleba means nilipe Kagera pia.Haina shida utalipia tu hiyo mikoa minne rafiki.
Lipa Baba.Kwamaana nitoke Kilimanjaro nikifika Arusha nilipe manyara nilipe... Then singida.... Taboraa.... Shinyanga.... Geita...... Kama naenda muleba means nilipe Kagera pia.
Mikoa 7 nalipa TU...
There is no freedom of movement for Motor Vehicle in this world. Wewe umesomea wapi?Freedom of movement ambayo kikatiba imetolewa wewe unataka kuitoza pesa, aisee uchawa ni janga la taifa.
Unahisi kila mtu anawaza kama wewe Rafiki. Hatuwezi kufanana kimawazo na matendo ndio raha ya hii dunia.Vijana machawa mna mchango mdogo sana kwa taifa JPM alisema
Hakuna rasilimali ambayo haitumiki kwa usahihi. Hizo lukuki zako zipo kichwani na sio halisia. Tambua hakuna kodi isiyo na mantiki.Ni kweli ,, ila nasisitiza Bado tumejaliwa rasilimali lukuki hakuna haja ya kuwa na Kodi zisizo na mantiki sana ,, visimamiwe vyema . Tuwe na serekali tatu. Na Habari ya kuziuza ikome mara Moja .
MG,DSM,MZA,TBR,AR, etcSijazungumzia Usajiri mpya wa Plate Number hapa kwamba kila Mkoa uwe na aina yake hapana. Yaani wewe ukitaka kuingia mkoa mwingine tunakupa Control Number unalipa chap maisha yanaendelea.
Kodi kama hii, INDIA ipo pia.Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
Shida haipo. Wewe kama utakuwa na Gari, Pikipiki, Bajaji au Chombo chochote cha moto na ukahisi hutaweza kumudu gharama si utapanda Usafiri mwingine wa Umma ambao wao hatasita kulipa hizo kodi kabisa.Yaani unakaa Kibaha kazi Dar es Salaam ulazimike kulipa kodi kila uingiapo na kutoka Dar! Na daladala za Kibaha kwenda Magufuli kila tripu zilipe kodi ya kuingia na kutoka! Bora nitembee kwa miguu.
Hayo ni matakataka na waliwaza vizuri kuyaondoa kabisa.MG,DSM,MZA,TBR,AR, etc
Asante sana.Kodi kama hii, INDIA ipo pia.
Najua. Huo ushuru wa 200 mpaka 500 najua kwa stand.mfano magari ya abiria hujui kila yanapoingia stendi yanaacha mapato
SASA MWIGULU nashauri ondoa Kodi moja wapo inayotuumiza kwenye ununuzi WA magari ili kikokotoo kipoe kidogo then njoo na hii.Lipa Baba.
Kama utahisi ni kero, wewe panda Magari yenye kulipa hiyo Kodi. Mbona ni rahisi sana.
Huyo Mwigulu akiona hii atacheka sana.SASA MWIGULU nashauri ondoa Kodi moja wapo inayotuumiza kwenye ununuzi WA magari ili kikokotoo kipoe kidogo then njoo na hii.
Easy brother; mbona wanaupdate to taarifa za mfumo na makazi ya mkoa wako ulipo/ asilia unakoishi. Huhitaji mambo mengi. Kuhusu kukujua tutaweka Barrier Check Point kila Mkoa wanascan Plate Number inasoma Full Details kukuhusu. Maisha yanaendeleaUtatambuaje kwamba hicho chombo ni kipya kwenye huo mkoa wakti anayefanya usjili ni TRA kwa kutumia TIN ya mtu ambye ameijilia mwanza lakini anaishi Dar?
Ili uweze kutoza hiyo kodi ni lazima uhuishe Plate namba ziwe na maana.
Mfano UK plate number inayoanza na M ni kwa gari ambazo zimesajiliwa Mancheter kwa inakuwani rahii kuitambua ikienda mkoa mwingine.