Buti la mkoloni
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 328
- 889
Hahahah!!!! kwani hoja za CAG zinaundwaje?.... Anyway kwani mapato ya serikali lazima yote yatokane na kodi...ndio mana kuna tax revenue and non tax revenue. Serikali bado inauwezo wa kutafuta vyanzo vingine vya mapato visivyotokana na kodi. Sifa mojawapo ya kodi yani tax trait kodi haipaswi kuwa mzigoWewe umeshawahi lini kusoma Bajeti ya Serikali yako?; nje na kupata habari kwa ufupi sana kuhusu Bajeti kupitia Vyombo vya habari na kidogo sana kwenye mitandao ya kijamii.
Hizo hoja za CAG unajua namna zinavyoundwa na kuandikwa. Hapa utagundua unahitaji elimu bora na nzuri. Sasa unahisi itapatikana vipi kama sio kwenye kodi rafiki.
Ukiwa mkwepa kodi lazima kodi uhisi ni mzigo. Ila ukijua umuhimu wa kodi kuwa inalipa JWT, Walimu, Wahudumu wa Afya, Polisi, Barabara, Hospital nk hutakaa uwaze ubaya.Hahahah!!!! kwani hoja za CAG zinaundwaje?.... Anyway kwani mapato ya serikali lazima yote yatokane na kodi...ndio mana kuna tax revenue and non tax revenue. Serikali bado inauwezo wa kutafuta vyanzo vingine vya mapato visivyotokana na kodi. Sifa mojawapo ya kodi yani tax trait kodi haipaswi kuwa mzigo
Kuna watu huwa mnawaza upumbavu sana. Wewe unamiliki gari? Ulishawahi kulipa kodi yoyote?Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
Punguza jaziba. Yaani wewe kutokulipa kodi unaona ndio ushujaa au ujanja?Kuna watu huwa mnawaza upumbavu sana. Wewe unamiliki gari? Ulishawahi kulipa kodi yoyote?
Shida siyo kuongeza kodi.Stand sio Mkoa rafiki. Hapa nazungumzia kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine.
Sina hasira ila muandiko wako unaonesha kodi haujui bado...tax discipline ni pana sana. Ata hoja uliyoleta inatokana na uelewa wako mdogo wa kodi..ipo hivi huwezi kujadili kodi juu ya kodi by default hiyo hoja itakuwa haijadiliki. Hoja za kisomi zinatokana na tafiti na sio kukurupuka tu Boss.Pole kwa hasira. Mimi ni raia kama wewe na hoja niliyoileta hapa jukwaani sio kwa faida yangu binafsi bali Taifa kwa ujumla.
Hoja hapa ni kuboresha huduma. Najua bado hujapata uzoefu wa uwepo wa ongezeko la joto, makelele, miundombinu mibovu na pengine hata ajari mbaya zinazotokea kwenye hivi vyombo ila nakuhakikishia hii nchi inahitaji hii huduma zaidi ya unavyojiwazia wewe binafsi.
Resource gani ambazo ni scarce ?Resources are scarcity. Wants and needs are unlimited.
Wewe umeshawahi kutosheka na nini rafiki?
Kodi inatozwa kwa sura mbili;Sina hasira ila muandiko wako unaonesha kodi haujui bado...tax discipline ni pana sana. Ata hoja uliyoleta inatokana na uelewa wako mdogo wa kodi..ipo hivi huwezi kujadili kodi juu ya kodi by default hiyo hoja itakuwa haijadiliki. Hoja za kisomi zinatokana na tafiti na sio kukurupuka tu Boss.
Rudi shule Boss...nenda kasome kodi atleast miaka mitatu hivi alaf ndio urudi kujadili kodi. Tax management inataka kichwa kizuriUkiwa mkwepa kodi lazima kodi uhisi ni mzigo. Ila ukijua umuhimu wa kodi kuwa inalipa JWT, Walimu, Wahudumu wa Afya, Polisi, Barabara, Hospital nk hutakaa uwaze ubaya.
Mbona tunayo tayari katu Bara na ZanzibarHabari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
Spectrum of government revenue should be set down from tax revenue?? Ndio mana nasema huna unachojua kuhusu kodi..Kodi inatozwa kwa sura mbili;
1. kuchochea faida/ manufaa.
2. Kuzuia/ Kukinga madhara.
Mimi hoja yangu imesimama kwenye namba 2. Hutakaa unielewe sababu umechagua kutokunielewa.
Asante.
Unajua nini kuhusu; Road Service Maintenance wewe mtaalamu wa Tax Management ya GPA? Unajua namna ya kulinda, kuhifadhi na kuhudumia barabara baada ya ujenzi kufanyika?Rudi shule Boss...nenda kasome kodi atleast miaka mitatu hivi alaf ndio urudi kujadili kodi. Tax management inataka kichwa kizuri
No matter what.Imagine unasafiri Dar kwenda Mara.
Nikilipa hiyo kodi inatengenezaje mazingira mazuri ya utunzaji, utumiaji na hudumiaji kwa ufanisi?Haaaaahaaaaa hilo litakiwa ni jambo jema.
Vyombo hivi vya moto tuvitengenezee mazingira mazuri ya utunzaji, utumiaji na hudumiaji kwa ufanisi wa pande zote mbili (Serikali na Mmiliki).
Mimi nimekupa uhalisia wa kodi jinsi ulivyo. Ukiona unatozwa kodi jua ni aidha ni kipimo cha uaminifu wako (Faida/ Manufaa) au kuzuiliwa/ kikwazo/ katazo kwenye hiyo aidha huduma au bidhaa.Spectrum of government revenue should be set down from tax revenue?
Mwanzo nikajua huu uzi una nia mbaya. Baada ya comment hii nimegundua una nia ovuYaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.
Sasa nani kwambia hizo maintenance and service in general shoulde be served from tax revenues?!Unajua nini kuhusu; Road Service Maintenance wewe mtaalamu wa Tax Management ya GPA? Unajua namna ya kulinda, kuhifadhi na kuhudumia barabara baada ya ujenzi kufanyika?
Elimu ni ufunguo. Fungua ujinga kqa Elimu upate maarifa; funga upumbavu kwa Elimu usaidie Taifa.
Haaaaahaaaaa yaani Tanzania raha sana.Mwanzo nikajua huu uzi una nia mbaya. Baada ya comment hii nimegundua una nia ovu
Hivi mkuu unaweza kuniambia kodi zetu huwa zinaenda wapi na kama hilo ndojibu kwann deni la taifa nikubwa hivyo? msitufanye wajinga matombo yao na ya vizazi vyao yatalipia gharamaHutaki kulipia hii kodi si unaliacha Gari au Chombo chako nyumbani unakwenda kupanda kwa wale wenye utayari wa kulipia hiyo Kodi. Sasa hapa shida iko wapi rafiki?