Pendekezo: Dotto James ateuliwe kuwa mbunge ili kupisha damu mpya Wizara ya Fedha

yule aliyesema wamchome Lissu sindano pyuuu ni dugu moja na huyo na wote ni wapwa wa jiwe
sijui kwanini mnamtetea huyu Katibu wa fedha wakati mwenzao wa Bandari kakutwa nyunbani kwenye Begi uvunguni na Dola 1.6m ambazo ni sawa na Bilioni 3 za kiTZ

Sawa sawa nimeelewa
 
Anhaa! Nimeelewa
Kifupi, Mwenyekiti wa UVCCM anaitwa "HERI JAMES MAGUFULI" na ndio aliosema wampige sindano ya sumu Tundu Antipas Lissu, huyu anaesemwa hapa kwenye thread ni Katibu Mkuu Hazina anaitwa "DOTTO JAMES MAGUFULI". Ni mtu na mdogo wake.

Kikazi walikua hawajitambulishi kwa hilo jina lao la mwisho, ili kwa wasiojua waendelee kutokujua kwamba wao ni watoto wa Dada yake Marehemu.
 
Noma sana Mkuu.
 
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
Msaidie kwanza arudishe bulungutu alilo kwapua.
 
Yule aliyesema wamchome Lissu sindano pyuuu ni dugu moja na huyo na wote ni wapwa wa jiwe.

Sijui kwanini mnamtetea huyu Katibu wa fedha wakati mwenzao wa Bandari kakutwa nyunbani kwenye Begi uvunguni na Dola 1.6m ambazo ni sawa na Bilioni 3 za kiTZ.
Haponi huyu kwa mama we subiri,yalikuwa yanajidai yanasali kumbe ni majizi
 
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani lazima ateuliwe kuwa mbunge? Kwani ni lazma ahongwe nafasi?
 
Back
Top Bottom