Pendekezo: Dotto James ateuliwe kuwa mbunge ili kupisha damu mpya Wizara ya Fedha

Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
kwani lazima apewe kitu,si anaweza tuu kuwa uraiyani afanye mambo yake mengine akisubiri labda kama kuna uchunguzi flan hiv
 
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani hawezi tu kwenda kupumzika? Wewe vipi wewe?
 
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani katika mazingira haya ya mabadiliko ya uongozi wa juu, Rais anateua wabunge kumi? Kama ndio, je wale wa mtanguliz wake inabidi waachie ngazi?
 
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.

Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.

Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?

Kila kitabu na zama zake.

Maendeleo hayana vyama!

Ana sifa na vigezo? Alipokaa amehudumu vyema na kwa uadilifu? Hana sababu ya kwenda sehemu nyingine
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom