PCCB na vyeti vya darasa la saba

okellecky

Member
Mar 16, 2013
67
8
Habari zenu Mabibi na Mabwana, Samahani naombwa kujuzwa ivi vyeti vya darasa la saba huwa vinatolewa?

Kwa sababu mie binafsi sina. Kwa anayejua please naomba kujuzwa coz pccb wametaja cheti hicho kiambatanishwe ktk maombi ya kazi.

Sifa zote nnazo ila kimbembee nasema kimbembee ni hicho cheti cha darasa la saba sina.

Mimi darasa la saba nmemaliza mwaka 2000 je kuna aliyemaliza miaka hiyo ambae anacho?

Msaada please help:
 
Hapo sasa!!! Inawezekana kutimiza wajibu tuuuu!! Miye hata cjui kwanza kinarangi gani hicho kijicheti!! mnafukuzwa kijanja tu!! Chezeya pccb wewe!! Rudi msingi kachukueee !!!
 
well said munkari, hapana chezeiya pccb hapa twafukuzwa kijanja kwel. Nkipata uhakika kama huwa vinatolewa itabidi nirudi kjijini kwetu nliposoma msingi nikakisake.
 
Vyetu hua vinakuepo sema ile dharau na utoto nadhni watu wengi huwa hawavijali ..nakushauri nenda shule ulomalizia watakupa..mi binafsi nnacho cha kwangu ni memaliza 2003....
 
Vyetu hua vinakuepo sema ile dharau na utoto nadhni watu wengi huwa hawavijali ..nakushauri nenda shule ulomalizia watakupa..mi binafsi nnacho cha kwangu ni memaliza 2003....

Nadhan cheti cha std seven ni muhimu kuliko hata cha shule ya upili sema dharau tu
 
well said munkari, hapana chezeiya pccb hapa twafukuzwa kijanja kwel. Nkipata uhakika kama huwa vinatolewa itabidi nirudi kjijini kwetu nliposoma msingi nikakisake.

rudi shuleni kwako ulikosomea utakipata kinakusubiri. acha fikra potofu au wewe ni mhamiaji haramu?
 
Kimsingi watanzania wengi hawakutilia maanani suala la vyetivya darasa la saba tokea hapo awali, lakini ukweli ni kwamba vyeti hivyo vipo na vianapatikana mashuleni. Sema unaweza kukuta walimu wakuu wameishavifungia karaga teh...
 
Nahis hii ni njia ya kupunguzana nn? Npo Dsm la sapa nmemaliza Shinyanga-chet sjawah kukiona sasa ntakipata je mie leo nmeongea na tcha wangu anadai havipo shulen mpaka mkoan;hii si kaz ngum jaman?? Plz PCCB LIANGALIEN HILI JAPO KWEL KUNA WATU WALIIBA MAJINA YA WATU KUJIUNGA FORM 1
 
Binafsi sina cha kunishangaza zaidi meenda shule niliyosoma cheti hakionekani na nimemsaidia kutafuta hiko cheti hakipo ila vingine vipo sielewi nafanyaje sasa zaid zaid wananambia ntoe ef5 wantengenezee living waeke na picha sasa je na hii sura yakiutuuzima inakuaje??na ni vipi cheti kinapotea celew pia
 
Mkuu wa shule anacho kitabu cha kuandika vyeti ni suala tu la kuchukua details zako ba kukuandikia cheti kipya kwa gharama ya 5000, kama huyo mwalimu ni jidume na we umesema una hips basi interview yako inaanzia hapo
 
Mi nilimaliza la 7 mwaka 1985 nimeenda wanasema vyeti miaka hiyo vilikuwa havitolewi.

Lakini km ni kufatilia kazi ya pccb we hata umri tu utakuwa umekutoa nje.maana mwisho miaka 35! Wazee mmebaguliwa!!
 
Mimi nimemaliza mwaka 2000 na hapa nipo ofisini kwa mwalimu mkuu utaratibu wa kuandikiwa cheti umechukua just one hour gharama 5000 tu na ushahidi wa cheti huo hapo

Tarehe 3/10/2013 haijafika au ujanja umefanyika kukupa hicho cheti.
 
Mimi nimemaliza mwaka 2000 na hapa nipo ofisini kwa mwalimu mkuu utaratibu wa kuandikiwa cheti umechukua just one hour gharama 5000 tu na ushahidi wa cheti huo hapo
Huyo afisa elimu wa mkoa ndo atasaini kesho au ni magumashi! Maana leo th 02 cheti kinaonyesha kasaini th 3 oct.. kama umetuma maombi leo ndo umeliwa hivyo!
 
Back
Top Bottom