donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Au nbc club hostel nn mkuu?-Mimi nipo Dar maeneo ya Posta mpya, ukipata nafasi unaweza ukanijurisha.
Au nbc club hostel nn mkuu?-Mimi nipo Dar maeneo ya Posta mpya, ukipata nafasi unaweza ukanijurisha.
cracked ?Call of duty ww 2 na need for speed payback naona zishaanza kutoka torrents
Ww2 kuna crack ya muhun mmoja ila nasubr ya fitgirlcracked ?
mhh ila noma setup is about 40 gbWw2 kuna crack ya muhun mmoja ila nasubr ya fitgirl
Payback naona kuna full unlocked ya origin...wait for crack
Mkuu hii gemu gani na je huwa inapatikana/inaeza chezeka kwa smartphone?View attachment 575291 nikichoka roli huwa naamia kweny bus
Gta 5 ndo inakuaje kwenye masuala hayo ya PC tuelekezane kdg mkuuFor real Gta 5 haipo kwa mobile
Hyo ni euro truck mkuu kweny pc..kweny simu zipo truck simulator nyingine ila hii ni ya pcMkuu hii gemu gani na je huwa inapatikana/inaeza chezeka kwa smartphone?
gta 5 is just a games ambaya rockstar wa irelease kwa mara ya kwanza 2013 katika platform ya ps3 na x box 360Gta 5 ndo inakuaje kwenye masuala hayo ya PC tuelekezane kdg mkuu
Mkuu, nimepata pc quad core 2.3 graphics ni intel hd 4000. Nnaweza nikacheza Black Ops 2?Call of duty ww 2 na need for speed payback naona zishaanza kutoka torrents
Mkuu, hii sio Call Of Duty 5?dahh tunahitaji pc za nguvu ku-run COD WW2. dongosha specs za pc yako
zangu
6GB RAM
GTX 1030
i5
WIN 10 PRO
HII HAPA COD WW2
Call of Duty WWII Free Download
Ina MB ngapi?Hyo ni euro truck mkuu kweny pc..kweny simu zipo truck simulator nyingine ila hii ni ya pc
Nazungumzia ile gemu ya mabasi mkuuHyo ni euro truck mkuu kweny pc..kweny simu zipo truck simulator nyingine ila hii ni ya pc
Mkuu hiz gem kweny pc ndio utaenjoy...hyo bus ni truck simulator ila nimeweka mod ya mabusNazungumzia ile gemu ya mabasi mkuu
Latest kama gb 3..ila kuna repack had 1.5gbIna MB ngapi?
Black ops 2 kwa medium setting nafkir unacheza...kasheshe unaanzia blackops 3 kuja juuMkuu, nimepata pc quad core 2.3 graphics ni intel hd 4000. Nnaweza nikacheza Black Ops 2?
Nkiwa na RAM gb 4 na Core I 5 siwezi cheza hii game!???Mkuu, hii sio Call Of Duty 5?
Latest kama gb 3..ila kuna repack had 1.5gb