PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

ila kwa GT 1030 game nyingi resolution c unaweka 720p? 1080p unawza kucheza kwa medium settings sana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi kwanyu doesn't matter sana cjui unataka kucheza game kwa native 4KUHD and 1080 FHD me 720p tu inanitosha
maana nilijaribu kulinganisha 1080 na 720 hazitofautiani saana
na ndio utacheza games nyingi kwa low na medium kwasababu hii 1030 sio powerful kama 1080 au 1070
maxresdefault.jpg
 
Kama unapenda hizo tafuta Russian baikal r9 humo unakua unapiga root za Russia yani barabara zmejaa ufa kona na milima ya kutosha yani gari haituliii kabisaa full matope....pia chek na map puno nayo barabara mbya hatar kona nying sana...

Usisahau kufunga horsepower ya 1500 au 2000 alaf nyuma uwe na double trailer huku umetia sounds mod yani unaiskia gar had tair zinavyo lia[emoji23]

Ebwana ukiona euro truck yangu unaweza usile
Duh hii euto truck yako ni nzuri aisee ...naweza kulipata vp mkuu hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Hiyo inayoeleza WW II itakuwa ni Call of Duty 5, Nimecheza hii Game na nimemaliza Mission zote.
-IGI ipo I na II, 1 nimemaliza mission zote, Mwisho wa Mission unaenda kumuona ANYA(sina uhakika na Jina maana nimeacha kitambo kucheza hii Game).
-Naweza nikakupatia hii 4, lazima uipendeeeeee.
yaaa ni ANYA, ata mm nime imaliza io

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada tafadhali
naomba hii game mkuu, pc ilo na ram 2gb hd500

D.A "Mwanaume mashine"
 
dah iyo game me ninayo 1 na 2 ile 2 mnaanzia kwenye maji ivi dah imenishinda kabisa
Ilikushinda kucheza au...

Mana mbele ilinoga kimtindo..sasa nikasema jana ngoja nishushe ya 3 kabisa nimalze..ndio naicheza hapa ipo poa sana
 
Nina shida na gta 5 mobile vision maana nimejaribu download na fix VPN bado nimeshindwa
 
Habari Wakuu!!!
Kwa wale wapenzi wa PC Games, nina Call Of Duty 4 Modern Warfare naitoa bure bila malipo yoyote japo sikukatazi ukinipa hata ela ya vocha.
-Nitakuwa nazitoa hizi Game kwa WanaJF kila baada ya muda kadhaa, nilitoa Fifa 14 bure na sasa ninatoa Call of Duty 4. Sina namna ya kuanza kuielezea hii Game kwa mapana sababu sina kipaji cha kudadavua vitu kama hivi ila ni mchezaji hasa wa haya Magame ya Computer.
-Kwa wale ambao waliipata Fifa 14 wanaweza wakasema kama niliwacharge hata senti 5. Jamiiforums huwa inanisaidia sana nikiwa na shida mbalimbali kwahiyo na mimi nawasaidia wale ambao wanauhitaji wa hii Game. Fifa 15 Ipo njiani kuna kitu nataka nihakiki kwangu kwanza, nikifanikiwa nitaweka tangazo la kuigawa hapa bure bila malipo.

-Pia baada ya Call of Duty 4 nitakuja kugawa Game nyingine yenye ya Call of Duty yenye 13GB, Hatari saaaaaaana hii Game. Kaeni mkao wa kula.

-Kwa mawasiliano unaweza ni PM.
Oyoooo. Asee mkuu emb fanya kuweka download link ili niishushe from afar.
 
Back
Top Bottom