PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

Msaada wadau game la call of duty 4 linakataa kucheza kwenye pc yangu.

Linaandika "the code execution can not proceed because d3dx9-34.dll was not found" naombeni msaada jinsi ya kudownload hizo dll files
Mkuu zama Google udownload hizo files, kitu simple tu hiko. Pia hakikisha kwa muda huo umemturf off window defender
 
Wadau swali langu izo game kama call of duty, GTA,euro track, na fps game zingine zote zinakubali kucheza na pad kwenye PC maana Mimi bila pad siwezi kucheza game kabisa na naona amna raha maana naonaga watu wancheza kwa keyboard tu
 
games nyingi tu za pc zina support conrtoller lakini sio games zote but pia unaweza ku set pad hata kwa zile games ambazo hazisupport pad
kwa kutumia JoyToKey JoyToKey - Download the Latest Official Version
 
wakuu naomba msaada PC yang inaandika grand theft auto vc cannot find enough available video memory nikitaka kucheza GTA tatizo nini msaada
 
mwenye, batman arkham knight na just cause 3 tichekiane naziitaji, ela ya kyoda ipo!
 
wakuu naomba msaada PC yang inaandika grand theft auto vc cannot find enough available video memory nikitaka kucheza GTA tatizo nini msaada
Mkuu, Graphics haina uwezo wa kusukuma hiyo Game
 
Back
Top Bottom