the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 894
yeah sometimes hufanya mashine iwe nzitoAkumbuke pia kuturn off window defender
yeah sometimes hufanya mashine iwe nzitoAkumbuke pia kuturn off window defender
Naitamani sana hii sema pc yangu ni ndogo
tafuta ps3Naitamani sana hii sema pc yangu ni ndogo
Sory nakumbushia kidogo,mkuuu hii gt 1030 uliipata wap,naomba unipe mwongozo and bei yake,huwa na badiliosha pc mara kwa mara kwa sasa ninayo yenye
i5 4460 3.2 ghz
ram 6gb
gpu nvidia 1030
monitor sansan 1080 FHD
Mkuuu hio gt 1030 yako uliipata kwa shingap? uliagiza au ilikuadjetafuta ps3
dah hiyo niliagiza ila mkuu we acha tu hizi Graphics card zinabei balaaMkuuu hio gt 1030 yako uliipata kwa shingap? uliagiza au ilikuadje
kama upo na kiasi kizuri cha pesa njoo inboxSory nakumbushia kidogo,mkuuu hii gt 1030 uliipata wap,naomba unipe mwongozo and bei yake,
ntumie text kwenye 0755411602 tuongeee vizur bosskama upo na kiasi kizuri cha pesa njoo inbox
Na inatafuta sana haya mafile ya dllyeah sometimes hufanya mashine iwe nzito
wakuu wekeni link ya kuyadownload ili hAta sisi wa nanjilinji tuyapate
Posta ni kubwa mzee ,jimwage na mawasiliano ili tukiwa mitaa hiyo tukuone mkuu!-Mimi nipo Dar maeneo ya Posta mpya, ukipata nafasi unaweza ukanijurisha.
Call of duty black opsipi hiyo
mkuu nimefanikisha asee,kwel hiz gpu kibongo bongo acha kabisa,mzigo umefika gt 1030,thanks kwa advice yakodah hiyo niliagiza ila mkuu we acha tu hizi Graphics card zinabei balaa
leo nilienda kwa jamaa anazo nyingi tu na be ilikuwa hivi
512mb=80000
1gb=12000
2gb=200000
bora uagize tu angalau kuna unafuu
Nipo hapa boss....aliecheza battlefield 1 yupo jameni