- Thread starter
- #281
Ninahamu na akina Mason na Frank Woods pamoja na simulators sana sana ya Mabus.Black ops 2 kwa medium setting nafkir unacheza...kasheshe unaanzia blackops 3 kuja juu
Ninahamu na akina Mason na Frank Woods pamoja na simulators sana sana ya Mabus.Black ops 2 kwa medium setting nafkir unacheza...kasheshe unaanzia blackops 3 kuja juu
Hahah humo kuNa mkali anaitwa harper daah jamaa serious sanaNinahamu na akina Mason na Frank Woods pamoja na simulators sana sana ya Mabus.
Ila American truck ipo vizuri. Nimeipenda aise.
NOPE hiyo ni World War 2Mkuu, hii sio Call Of Duty 5?
Yaa but America sio kal kaMa euroIla American truck ipo vizuri. Nimeipenda aise.
Achana na ubisoft kabisaaa nliwaelewa ktk mission za Far cry 3 na 4 hadi kichwa kinaniumagaHomefront sina ila nimeiona sana...naitafutia mda tu...naitaka hiyo na ghost recon ..vip unayo nn?
Kuna kipind nilichezaga tomclancy rainbow six siege ebwana balaa humo ndan..yani enemies wamoto sana..shaba moja huamki chini...yani ubisoft sio watu wazur..game ngumu sana hata mission ya mwanzo tu imenitoa jasho..View attachment 575197View attachment 575198
Sent from my SM-G906K using Tapatalk
Hatar mkuu..kama akili chache bas hutoboi ubisoft [emoji23]Achana na ubisoft kabisaaa nliwaelewa ktk mission za Far cry 3 na 4 hadi kichwa kinaniumaga
MAP EAA BUS V4.4.1 FOR ETS2 [1.28] « ETS 2 modsNinahamu na akina Mason na Frank Woods pamoja na simulators sana sana ya Mabus.
Sawa mkuu, nasubiri saa 6 ifike ili nishushe mzigo kupitia Airtel.
We wa kahama elekeza nguvu zako kwenye kilimo bana...magem tuachie tulioko mjini sawaNitaipataje hy mkuu niko Kahama
Mkuu acha uchokozi basiView attachment 626421View attachment 626422View attachment 626423View attachment 626424
Ebwana nilkua napandisha huu mlima..yani hii mod kama una gari ya utaNi hupandi hii milima
Bado mnacheza magame kwenye pc wazee.. why usinnunue console kabisaMkuu, hii sio Call Of Duty 5?
Binafsi napenda Games ktk PC kuliko hizo kwenye consoles zake. PC kuna Game nyingi saana za bure na hazina longolongo.Bado mnacheza magame kwenye pc wazee.. why usinnunue console kabisa
Nimeshaanza kushusha mzigo ila Airtel wananyata sana, 1 ina 900+MB na nyingine 48MB.
Console uwe una hela sasa za kununua CD ...Bado mnacheza magame kwenye pc wazee.. why usinnunue console kabisa