PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

Kama unapenda hizo tafuta Russian baikal r9 humo unakua unapiga root za Russia yani barabara zmejaa ufa kona na milima ya kutosha yani gari haituliii kabisaa full matope....pia chek na map puno nayo barabara mbya hatar kona nying sana...

Usisahau kufunga horsepower ya 1500 au 2000 alaf nyuma uwe na double trailer huku umetia sounds mod yani unaiskia gar had tair zinavyo lia[emoji23]

Ebwana ukiona euro truck yangu unaweza usile
Wewe mhuni lazima nikutafute.
 
sema pc ya kucheza COD black ops 2 na bt1 si chini ya laki 4 mpaka 5
hapo atleast utahitaji
CPU YA i3 Atleast 4th get
ram 4gb
gpu angalau kuanzia 1gb ddr3
hapo nabado utacheza games kwa low settings
Ndio, Mkuu. Hapa natafuta 500,000 nitafute PC.
 
Hapana mkuu..unapata series za war tofaut tofaut ukiachana na series 6 za mwanzo.. war huko huko kwao za enz hizo...ukajua utakutana na majimaji mkuu??
Hahahahahahahahaha!

Nilijua battle inapigwa maeneo ya Posta au huko Mkuranga.
 
20170826_122005.jpg
nikichoka roli huwa naamia kweny bus
 
Hahah bado sana..sasa tumeshindwa hata map ya ubungo manzese tuweke kweny euro truck. .tutaweza kucheza na tanks pale posta?
Kwani Mkuu hizo Patch zinatengeenezwa na nani?
 
Mkuu, kuna mtu alitengeneza bus la Abood na Hood humu, vipi na wewe hili umetengeneza ww? Na kuhusu barabara je, za Bongo?
Hii mimi natumia mod ya EA bus ...yule wa abood alifanya modification mwenyew...ila hata ww waweza fanya

Barabara ni za Brazil natumia..bongo hatuna developer walio tayar kufanya kaz hiz..sijui shida nn..tungepapata route ya ubungo chalinze ingekua poa sana kwa kuanzia
 
Modification ya kutengeneza Bus liweje au unabadili tu jina la bus na rangi?
 
Modification ya kutengeneza Bus liweje au unabadili tu jina la bus na rangi?
Unalifanya unavyotaka ww..as long as uwe unajua unachofanya mkuu..ila sana sana unaweza change rangi,majina, hata engine unaweza ifanyia tweak mweny def file kule...
 
Unalifanya unavyotaka ww..as long as uwe unajua unachofanya mkuu..ila sana sana unaweza change rangi,majina, hata engine unaweza ifanyia tweak mweny def file kule...
Bodi je?
 
Back
Top Bottom