PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

Wanaopenda kuendesha maroli katika matope lafu Lodi taften spintires mudrunner no shiiida
 
Msaada hapa

Mkuu hio patch uliipata wap kama torrent je uliangalia ipo na seed ngap na watu wameipakua na wametoa maoni yao.ukiona ipo sawa basi Pc yangu itakuwa haijafika minimum requirements za io game kucheza
 
Guys nina Play station (PS), je kuna mwenye app ya Truck simulator itakayoweza play ktk hicho kifaa. ?
 
Nina pes 2017 ...inafunguka lkn wachezaji wakisha ingia uwanjan inaganda...imeanza hv baada ya kuinstall pte patch 2017 v6.0 na v 6.1
Update graphics zako..na make sure una mshine nzur
 
Euro truck na mod za bus zetu

ets2_00153.jpg
ets2_00150.jpg
ets2_00146.jpg
ets2_00147.jpg
ets2_00143.jpg
ets2_00142.jpg
ets2_00137.jpg
ets2_00138.jpg
ets2_00175.jpg
ets2_00166.jpg
ets2_00160.jpg
ets2_00159.jpg
 
Mkuu Kcamp, nimeamua kuiondoa kabisa hiyo Game maana inanata hadi kero. Nimedownload na Black Ops 1 pia inanata vilevile.
 
Back
Top Bottom