kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,033
Mashine mkuuuMkuu Kcamp, nimeamua kuiondoa kabisa hiyo Game maana inanata hadi kero. Nimedownload na Black Ops 1 pia inanata vilevile.
Mashine mkuuuMkuu Kcamp, nimeamua kuiondoa kabisa hiyo Game maana inanata hadi kero. Nimedownload na Black Ops 1 pia inanata vilevile.
Ipi bossmkuu naipata hio game maana hata mimi naitaka sana nisaidie
Ipi boss
Pakua hapa mkuu...si una utorrent?euro truck
Pakua hapa mkuu...si una utorrent?
Download Euro Truck Simulator 2 (v1.30.1.6s + 56 DLCs, MULTi43) [FitGirl Repack] Torrent | 1337x
Mod znajitegemea mkuu...uta download bdae kisha unaziweka humoikiwa ma mods kama izo za bongo na mwendokasi
Ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko kurun .exe game kwenye ps console unless sijui utumie emulator ganiGuys nina Play station (PS), je kuna mwenye app ya Truck simulator itakayoweza play ktk hicho kifaa. ?
Install direct x kwanzaMsaada wadau game la call of duty 4 linakataa kucheza kwenye pc yangu.
Linaandika "the code execution can not proceed because d3dx9-34.dll was not found" naombeni msaada jinsi ya kudownload hizo dll files
Shukrani sanaaaaa mkuu..baada ya kuinstall direct x limeanza kuplayInstall direct x kwanza
Inapendeza kiongozi, vp barabara za bongo pia?
Barabara ni za mbele mkuu..bongo developers wamelalaInapendeza kiongozi, vp barabara za bongo pia?
hahahaaBarabara ni za mbele mkuu..bongo developers wamelala
msaada mkuu: nimedownload game la half life ila lipo kwenye multiplayer ila maelekezo kuliweka kwenye single player inabidi ufanye hiviSawa Mkuu ila hawa Airtel hovyo sana leo.
msaada mkuu: nimedownload game la half life ila lipo kwenye multiplayer ila maelekezo kuliweka kwenye single player inabidi ufanye hivi
SINGLEPLAYER GUIDE:
1. Want to PLAY singleplayer? press '~' in keyboard (open console command) and type "map c0a0", without quotation marks.
2. Want to SAVE? Press '~" in keyboard and type "save save.sav" without quotation marks. You can also change 'save.sav' to anything you want. Example "save cool.sav" or "save gordon.sav"
3. Want to LOAD? Press "~" in keyboard and type "load [the name of your save file]". Example "load save" or "load gordon". Because Half-Life creates autosave, you can also type "load autosave".
4. Want to SEE your save file lists? Open your game file and open valve/SAVE/(your save files is labeled with .sav at the end of it).............sasa hapo kwenye console sijaelewe unaingiaje, msaada tafadhari
Press hiko kialama kweny keyboard yako ukiwa ume run game ndio itakuja menyu ya kuingiza hizo command mkuumsaada mkuu: nimedownload game la half life ila lipo kwenye multiplayer ila maelekezo kuliweka kwenye single player inabidi ufanye hivi
SINGLEPLAYER GUIDE:
1. Want to PLAY singleplayer? press '~' in keyboard (open console command) and type "map c0a0", without quotation marks.
2. Want to SAVE? Press '~" in keyboard and type "save save.sav" without quotation marks. You can also change 'save.sav' to anything you want. Example "save cool.sav" or "save gordon.sav"
3. Want to LOAD? Press "~" in keyboard and type "load [the name of your save file]". Example "load save" or "load gordon". Because Half-Life creates autosave, you can also type "load autosave".
4. Want to SEE your save file lists? Open your game file and open valve/SAVE/(your save files is labeled with .sav at the end of it).............sasa hapo kwenye console sijaelewe unaingiaje, msaada tafadhari
Press hiko kialama kweny keyboard yako ukiwa ume run game ndio itakuja menyu ya kuingiza hizo command mkuu