PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

Wadau naombeni mnisaidie kama kuna mtu alishawahi kuinstall battlefield 4 kwenye pc yake, kuna tatizo nakutana nalo kila nikiifungua game ili nianze kuicheza inaniambia windows has stopped working, kama kuna anaejua jinsi ya kufix hili tatzo aniasidie dah
 
Mimi nimesha cheza hilo

Unatumia windows gani?
 
Wakuu kwa yoyote ambae anaweza kunisaida msaada wa kupata page nzuri ambayo ntadownload pc games for free bila ku buy... Full vission
Hususan games za mpira(pes&fifa )
Msaada tafadhali
 
Ram 4gb
System type ni 64 bit
Processor ni core i7 2.7ghz
Hilo tatizo mimi lilinikuta kweny windows version...nikafanya update likawa fixed..so far kwann usitumie windows 10?
 
Hilo tatizo mimi lilinikuta kweny windows version...nikafanya update likawa fixed..so far kwann usitumie windows 10?
Sawa mkuu nitaeka Windows 10 alf ntaleta marejesho
 
Wakuu kwa yoyote ambae anaweza kunisaida msaada wa kupata page nzuri ambayo ntadownload pc games for free bila ku buy... Full vission
Hususan games za mpira(pes&fifa )
Msaada tafadhali
Ovagames.com oceanofgames.com fullypcgames.net worldofpcgames.com
 
Hivi kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata PS VITA kwa hapa dar na bei zake please
 
Mi nilipewa Call of duty 4 modern nikajaribu kuinstall ikashindikana inaandika "The program can't start because d3dx9_34.dill is missing from my computer." Msaada dear ones
Nikiwa karibu na pc nitafatilia ila jaribu kidownload crack nyingine ya hiyo Game.
 
Mkuu wa mikoani ukitupatia download link utakuwa umeokoa jahazi big time ariff!.
Wa mikoani mtanisamehe ila kama una ndugu dar au jamaa mwambie tuwasiliane, aje na flash tu au external.
 
Acha mzee sijui nilkua wap...nikawa nalchukulia poa..si unajua ukisha tekwa na cod huku bf basi hutaman game zingine...game moja nzur sana..iko very realistic
Ha ha ha kwa kweli hata mimi nikichezaga COD huwa sitamani game zingine, labda FIFA ila hii GTA inanivutia sana.
 
ee77dd901f5b46bf056997e30a0e6c5e.jpg
mpatishieni hivi ni game gani
 
Back
Top Bottom