PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
19,200
32,353
Habari Wakuu!!!
Kwa wale wapenzi wa PC Games, nina Call Of Duty 4 Modern Warfare naitoa bure bila malipo yoyote japo sikukatazi ukinipa hata ela ya vocha.
-Nitakuwa nazitoa hizi Game kwa WanaJF kila baada ya muda kadhaa, nilitoa Fifa 14 bure na sasa ninatoa Call of Duty 4. Sina namna ya kuanza kuielezea hii Game kwa mapana sababu sina kipaji cha kudadavua vitu kama hivi ila ni mchezaji hasa wa haya Magame ya Computer.
-Kwa wale ambao waliipata Fifa 14 wanaweza wakasema kama niliwacharge hata senti 5. Jamiiforums huwa inanisaidia sana nikiwa na shida mbalimbali kwahiyo na mimi nawasaidia wale ambao wanauhitaji wa hii Game. Fifa 15 Ipo njiani kuna kitu nataka nihakiki kwangu kwanza, nikifanikiwa nitaweka tangazo la kuigawa hapa bure bila malipo.

-Pia baada ya Call of Duty 4 nitakuja kugawa Game nyingine yenye ya Call of Duty yenye 13GB, Hatari saaaaaaana hii Game. Kaeni mkao wa kula.

-Kwa mawasiliano unaweza ni PM.
 
Attachments

  • 1429602124660.jpg
    1429602124660.jpg
    95 KB · Views: 580
  • 1429602164301.jpg
    1429602164301.jpg
    112.7 KB · Views: 706
  • 1429602188867.jpg
    1429602188867.jpg
    34.9 KB · Views: 508
  • 1429602206243.jpg
    1429602206243.jpg
    101.5 KB · Views: 486
  • 1429602251592.jpg
    1429602251592.jpg
    87.5 KB · Views: 471
  • 1429602271404.jpg
    1429602271404.jpg
    61.8 KB · Views: 472
  • 1429602308659.jpg
    1429602308659.jpg
    49.5 KB · Views: 479
-Mimi nipo Dar maeneo ya Posta mpya, ukipata nafasi unaweza ukanijurisha.
 
Habari Wakuu!!!
Kwa wale wapenzi wa PC Games, nina Call Of Duty 4 Modern Warfare naitoa bure bila malipo yoyote japo sikukatazi ukinipa hata ela ya vocha.
-Nitakuwa nazitoa hizi Game kwa WanaJF kila baada ya muda kadhaa, nilitoa Fifa 14 bure na sasa ninatoa Call of Duty 4. Sina namna ya kuanza kuielezea hii Game kwa mapana sababu sina kipaji cha kudadavua vitu kama hivi ila ni mchezaji hasa wa haya Magame ya Computer.
-Kwa wale ambao waliipata Fifa 14 wanaweza wakasema kama niliwacharge hata senti 5. Jamiiforums huwa inanisaidia sana nikiwa na shida mbalimbali kwahiyo na mimi nawasaidia wale ambao wanauhitaji wa hii Game. Fifa 15 Ipo njiani kuna kitu nataka nihakiki kwangu kwanza, nikifanikiwa nitaweka tangazo la kuigawa hapa bure bila malipo.

-Pia baada ya Call of Duty 4 nitakuja kugawa Game nyingine yenye ya Call of Duty yenye 13GB, Hatari saaaaaaana hii Game. Kaeni mkao wa kula.

-Kwa mawasiliano unaweza ni PM.
mkuu nina shida sana ya hilo game naomba nisaidie tafadhali
 
-Mimi nipo Dar maeneo ya Posta mpya, ukipata nafasi unaweza ukanijurisha.

Mkuu mimi ni addicted na hizi PC games, nina game ya call of duty- ile inayoelezea WWII. Pia natafuta game yoyote ya action kama vile IGI nk,kwasasa nipo mkoani je nitazipataje? Pia naweza mtuma mdogo wangu hapo posta afu yeye akanitumia nilipo au ukanitumia we mwenyewe direct
 
-Hiyo inayoeleza WW II itakuwa ni Call of Duty 5, Nimecheza hii Game na nimemaliza Mission zote.
-IGI ipo I na II, 1 nimemaliza mission zote, Mwisho wa Mission unaenda kumuona ANYA(sina uhakika na Jina maana nimeacha kitambo kucheza hii Game).
-Naweza nikakupatia hii 4, lazima uipendeeeeee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom