Emmilian paul
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 141
- 63
Mkuu ntapataje fifa 17 ya pc...nipe link tafaghaliHa ha ha ha yaani PES labda ya XBOX, sio ya PC. Kwa PC FIFA namuona ni mnyama mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ntapataje fifa 17 ya pc...nipe link tafaghaliHa ha ha ha yaani PES labda ya XBOX, sio ya PC. Kwa PC FIFA namuona ni mnyama mwingine.
Mkuu ntapataje fifa 17 ya pc...nipe link tafaghali
Sent using Jamii Forums mob
http://www.ovagames.com/fifa-17-steampunks.htmlile app
Mkuu, nchi gani hiyo? Weka na Mabus.
Karibu
Hii brazill mkuu...kuna njiaa hizo gari haipandi bossMkuu, nchi gani hiyo? Weka na Mabus.
Mkuu, mabus vipi?Hii brazill mkuu...kuna njiaa hizo gari haipandi boss
Asante mkuu...nmecheza sn pes ya pc....sijawai cheza fifa ...ila uwa naona comment za weng wakiisifia.,....naiman sitajutia kuidownload
Mabus yapo ila siyapend sana kama malori haya...tena bus linapanda milima vizur sanaMkuu, mabus vipi?
mkuu kama unatumia pc embu tupia specs za mashine yako coz naona games ulizo cheza so za kitotoumetisha mkuu
huwa na badiliosha pc mara kwa mara kwa sasa ninayo yenyemkuu kama unatumia pc embu tupia specs za mashine yako coz naona games ulizo cheza so za kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah, ngoja ntafute PC.Mabus yapo ila siyapend sana kama malori haya...tena bus linapanda milima vizur sana
Mkuu kama hii naipata kwa bei gani?huwa na badiliosha pc mara kwa mara kwa sasa ninayo yenye
i5 4460 3.2 ghz
ram 6gb
gpu nvidia 1030
monitor sansan 1080 FHD
mkuu gt 1030 uliagiza? naandaa bajet nichukue GTX 1060 ntadunda kila game @1080phuwa na badiliosha pc mara kwa mara kwa sasa ninayo yenye
i5 4460 3.2 ghz
ram 6gb
gpu nvidia 1030
monitor sansan 1080 FHD
yeah gtx 1060 ipo fresh tu ila bei sasamkuu gt 1030 uliagiza? naandaa bajet nichukue GTX 1060 ntadunda kila game @1080p
Sent using Jamii Forums mobile app
mashine nzima au kitu kimoja kimoja?
wanauzaje gtx 1060 mkuu?yeah gtx 1060 ipo fresh tu ila bei sasa
pia kuna jamaa wanauza gtx 1050 kwa laki 5 wacheki hawa jamaa wapo dar ZOTAC GeForce GTX 1050 Ti 4GB GDDR5 DisplayPort 128-bit Gaming Graphic Card – Epic Computers
yea kwa mashine nzima imekulamba bei ganmashine nzima au kitu kimoja kimoja?