PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

Mkuu, promo pia zinachangia. Mfano ni XBOX na PS, PS zina promo saaana ila kiuhalisia sio nzuri kuliko Xbox.

Mimi sijacheza Battlefield kwa nikienda Youtube naona hii game ni habari nyingine. Nataka nitafute PC kwa ajili ya COD Black Ops 2 kisha hiyo Battlefield.
Na battlefield weng hawajacheza..ila ukicheza utaelewa wale jamaa wapo serious...shida ya battlefield lazma uwe na pc inayoeleweka mana minmum requirements tu ni changamoto kwa weng especially kuanzia battlefield 4 pale..pia hata game size sio mchezo

Sasa humu ndan naona watu wanaishia kweny cod modern warfare game za zaman specs ndogo tu...

Cod kuanzia blackops 3,infinite warfare na advanced warfare weng hawazigusi..watu wapate pc mkasi ndio waje kweny battlefield
 
Eurotruck simulator ninayo mkuu
Kwny Euro truck sijapata map nzuri, napenda za rough road, kona nying halafu root iwe ndefu ya masaa 3 hivi.
Kwenye speed limit, nilikuwa natoa tick. Hapo mkuu ni speed mpaka 120 hivi unachezea. Utafikiri nipo kwenye gari
kwenye mods. Unaweka ya kutoharibika gari na kutopigwa fain
 
Kama unapenda hizo tafuta Russian baikal r9 humo unakua unapiga root za Russia yani barabara zmejaa ufa kona na milima ya kutosha yani gari haituliii kabisaa full matope....pia chek na map puno nayo barabara mbya hatar kona nying sana...

Usisahau kufunga horsepower ya 1500 au 2000 alaf nyuma uwe na double trailer huku umetia sounds mod yani unaiskia gar had tair zinavyo lia[emoji23]

Ebwana ukiona euro truck yangu unaweza usile
 
Attachments

  • 20170810_114403.jpg
    20170810_114403.jpg
    42.4 KB · Views: 83
  • 20170809_102827.jpg
    20170809_102827.jpg
    50.7 KB · Views: 68
Kama unapenda hizo tafuta Russian baikal r9 humo unakua unapiga root za Russia yani barabara zmejaa ufa kona na milima ya kutosha yani gari haituliii kabisaa full matope....pia chek na map puno nayo barabara mbya hatar kona nying sana...

Usisahau kufunga horsepower ya 1500 au 2000 alaf nyuma uwe na double trailer huku umetia sounds mod yani unaiskia gar had tair zinavyo lia[emoji23]

Ebwana ukiona euro truck yangu unaweza usile
Asante mkuu. Ngoja niitafute.
 
Daaaah, naweza ipatia website ipi hili game tafadhal ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Homefront sina ila nimeiona sana...naitafutia mda tu...naitaka hiyo na ghost recon ..vip unayo nn?

Kuna kipind nilichezaga tomclancy rainbow six siege ebwana balaa humo ndan..yani enemies wamoto sana..shaba moja huamki chini...yani ubisoft sio watu wazur..game ngumu sana hata mission ya mwanzo tu imenitoa jasho..View attachment 575197View attachment 575198

Sent from my SM-G906K using Tapatalk
Hapo nimecheza homefront
mhh ila ntai download ghost recon maana jamaa sasahivi mwmesha icrack
 
Mkuu, promo pia zinachangia. Mfano ni XBOX na PS, PS zina promo saaana ila kiuhalisia sio nzuri kuliko Xbox.

Mimi sijacheza Battlefield kwa nikienda Youtube naona hii game ni habari nyingine. Nataka nitafute PC kwa ajili ya COD Black Ops 2 kisha hiyo Battlefield.
sema pc ya kucheza COD black ops 2 na bt1 si chini ya laki 4 mpaka 5
hapo atleast utahitaji
CPU YA i3 Atleast 4th get
ram 4gb
gpu angalau kuanzia 1gb ddr3
hapo nabado utacheza games kwa low settings
 
Kwny Euro truck sijapata map nzuri, napenda za rough road, kona nying halafu root iwe ndefu ya masaa 3 hivi.
Kwenye speed limit, nilikuwa natoa tick. Hapo mkuu ni speed mpaka 120 hivi unachezea. Utafikiri nipo kwenye gari
kwenye mods. Unaweka ya kutoharibika gari na kutopigwa fain
ok
 
Hizi wanatoa kama patch nafkri kwa sisi wazee wa crack tuwe wapole kidogo..ila wenye premium wale nafkir had sasa tayar wana access na hizo map mpya..kuna update ya gb kama 4 walitoa mwez wa 7..na juz kuna update ya gb kama 6 nimeona wanatangaza...nitafuatilia
Hiyo Map ndo inakuaje yaani, unapambana kulingana na maeneo ya Tanzania ama?
 
Poa mkuu. Hizo ulizonazo zitanisaidia sana. Napenda sana game, ila zingine zilinishinda kucheza hasa kwa kutumia keyboard ya computer hasa la FiFa 14. Nilifungwa mpaka basi, mpira umeisha nishapigwa 7-0 nilichoka.
Hamna kitu kinachonihuzisha na kunikera km kushindwa kwenye game
Uliweka level gani?
 
Kwny Euro truck sijapata map nzuri, napenda za rough road, kona nying halafu root iwe ndefu ya masaa 3 hivi.
Kwenye speed limit, nilikuwa natoa tick. Hapo mkuu ni speed mpaka 120 hivi unachezea. Utafikiri nipo kwenye gari
kwenye mods. Unaweka ya kutoharibika gari na kutopigwa fain
Sijawahi kupata muda kuicheza Euro Truck, hata hivyo hongera zako aisee.
 
Hiyo Map ndo inakuaje yaani, unapambana kulingana na maeneo ya Tanzania ama?
Hapana mkuu..unapata series za war tofaut tofaut ukiachana na series 6 za mwanzo.. war huko huko kwao za enz hizo...ukajua utakutana na majimaji mkuu??
 
Back
Top Bottom