PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

Kama unapenda hizo tafuta Russian baikal r9 humo unakua unapiga root za Russia yani barabara zmejaa ufa kona na milima ya kutosha yani gari haituliii kabisaa full matope....pia chek na map puno nayo barabara mbya hatar kona nying sana...

Usisahau kufunga horsepower ya 1500 au 2000 alaf nyuma uwe na double trailer huku umetia sounds mod yani unaiskia gar had tair zinavyo lia[emoji23]

Ebwana ukiona euro truck yangu unaweza usile

Mkuu unaweza kunipa website ya ku download hizo mods
 
Ila ni kaz ngumu sio?
Kwa begginer ni ngumu kidogo..ila ukichek tutorial ni rahis kufanya hizi modification by yourself....Otherwise utumie tu mod zilizotengenezwa na wengne...
 
Mkuu, mimi mshamba sana juu ya hili Game. Mod ni nini? Yaani kuna mabasi ambayo yameshatengenezwa na wengine kisha ww unakuja unabadili vitu vichache?
 
Kama ww sio developer basi unachukua mabus ya watu unayafanyia tweak mbal mbal....

Ila kama hutak hizo shida..wewe chukua mod tofaut tofaut kisha una weka kweny gari lako....

Mfano unachukua Volvo fh 2009 unafunga horsepower ya mtu mwingine,gear box ya mtu mwingine, tyre za mtu mwingine,sounds za mtu mwingine na mengi tu kisha unapata volvo yako matata.
 
Ngoja ntafute PC Mkuu
 
20170828_094237.jpg
20170828_093929.jpg
20170828_093913.jpg
20170828_093858.jpg
20170828_091930.jpg
 
Back
Top Bottom