PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

mzeyaaa hivi naweza pata pc monitor full HD (1080p) kwa bei poa,nataka mtumba najeti nnayo ndogo sana, wap unajuwa wanapoziuza?
kama ni dar jaribu tu kutafuta katika maduka ya computer hardware monitor zipo
ila si chini ya laki 2
tafuta ya widescreen utaenjoy sana gaming
 
Helll wakuu kama kuna mtu ana xbox one emulator for windows nahitaji sana asee
 
Helll wakuu kama kuna mtu ana xbox one emulator for windows nahitaji sana asee
dah mkuu kwa kweli hata kama una PC yenye Nvidia GTX 1080Ti Ram 32giz Cpu intel core i7xxxxK. bado utashindwa kurun games za x box one kwenye pc sababu hakuna emulator na emulator ya x box one kuja itabidi usubiri miaka kama 6-8 ijayo ndio labda emulator itakwepo
hata hivyo ps3 na x box 360 emulator zake zinahitaji pc yenye nguvu sana na bado games zinazocheza sio zote
NB so futa hicho kitu kwa sasa katika Akili yako kuhusu swala la X box one Emulator
 
Now playing
hii game ina story nzuri sana
IMG_20140103_183605.jpg

IMG_20140103_183852.jpg
IMG_20140103_184201.jpg
IMG_20140103_184258.jpg
 
dah mkuu kwa kweli hata kama una PC yenye Nvidia GTX 1080Ti Ram 32giz Cpu intel core i7xxxxK. bado utashindwa kurun games za x box one kwenye pc sababu hakuna emulator na emulator ya x box one kuja itabidi usubiri miaka kama 6-8 ijayo ndio labda emulator itakwepo
hata hivyo ps3 na x box 360 emulator zake zinahitaji pc yenye nguvu sana na bado games zinazocheza sio zote
NB so futa hicho kitu kwa sasa katika Akili yako kuhusu swala la X box one Emulator
So emulator gani nzuri ambayo inakuwa na games addictive cause mi nnayo ppsspp inarun vizuri tuu especially kwa games kama need for speed MW, God of War Ghost of Sparta and Chain of Olympus
 
So emulator gani nzuri ambayo inakuwa na games addictive cause mi nnayo ppsspp inarun vizuri tuu especially kwa games kama need for speed MW, God of War Ghost of Sparta and Chain of Olympus
Kama pc yako imesimama ipo vizur chukua ps3 Emulator utarun baadhi ya games za ps3
lakini kama sio yenye uwezo sana chukua tu Ps2 emulator uta run games nyingi sana za ps2
 
Mi nilipewa Call of duty 4 modern nikajaribu kuinstall ikashindikana inaandika "The program can't start because d3dx9_34.dill is missing from my computer." Msaada dear ones
 
Mkuu hii game uliyosema naipataje? Sijaona download link mzee. Au iko humu humu ndani?
 
-Hiyo inayoeleza WW II itakuwa ni Call of Duty 5, Nimecheza hii Game na nimemaliza Mission zote.
-IGI ipo I na II, 1 nimemaliza mission zote, Mwisho wa Mission unaenda kumuona ANYA(sina uhakika na Jina maana nimeacha kitambo kucheza hii Game).
-Naweza nikakupatia hii 4, lazima uipendeeeeee.
Mkuu wa mikoani ukitupatia download link utakuwa umeokoa jahazi big time ariff!.
 
Back
Top Bottom