im not pretty much sure kama cod wamecopy sana but hizi games zote na za vita vilivyookea zamani so lazma kuwe na ufanano flani ivi kwenye enviroment na vitu kama hivyoSasa angalia trailer ya battlefield 1 mzee af njoo uangalie ya ww2 cod..ni copy n paste ya battlefield 1...cod mwaka huu wamechemka...wakatoa infinite warfare wenzao battlefield 1 wakarud world war..haha hapo ndo bao lilipopigwa
Ikabd nao warud ww2 fasta ndio wanaipa promo saiz...narudia angalia trailer ya battlefield 1 mana najua hujaicheza..kisha njoo uone trailer ya ww2 cod ni copy n paste utaona..
Mimi binafsi cod ww2 naiita call of battlefield 1..na sasa hiv battlefield 1 inakula updates za map mpya kila leo..
Nmecheza cod zote jamaa wanajua ila hapa kati kat wmepotezwa na bf1..soma hata comments za trailer ya ww2 cod..ni full battlefield 1
Sent from my SM-G906K using Tapatalk
Bro nmecheza cod zote...nawakubal sana jamaaa...im not pretty much sure kama cod wamecopy sana but hizi games zote na za vita vilivyookea zamani so lazma kuwe na ufanano flani ivi kwenye enviroment na vitu kama hivyo
also cod ww2 in zombies
me nakwambia hii cod ww2 itakuwa ni bonge la game
real gamers wanacheza cod series
Daah mwanangu mwenyew huyu sema skuiz simsomi kabisaK camp ft 2 chainz
Cut off
OK TUNGOJE COD WW2 ITOKE AF TUTAJUA ZAIDI KAMA KWELI NI COPY YA BF1Bro nmecheza cod zote...nawakubal sana jamaaa...
Ila hapa kweny bf1 ebwana bf wmetisha...ufanano uliotokea ni mkubwa sana ndio mana tunasema copy n paste....
I wish ningekupa bf1 ucheze alaf uniambie..the day naona trailer ya ww2 cod automatically naona ni bf1...anyway ngoja tuisubr tho hata trailer sio kal kam ya bf1 japo ni copy n paste
Unajua cod mim sijawapenda wanavyo switch to future..habar za kubooth sjui mara umepaa full drones..dah
Ndiomana kweny infinite warfare ndio game yeny dislikes nying...cod wabak tu ardhini huku huku tena sio future...
Ila still bf1 katisha sana..nmeicheza mara 3 hii game...yan kuna silaha hizo sio poa..na unajua battlefield hawabanagi silaha..yan ukitaka hata tanks unaendesha,magar unaendesha yan uko free sana....had ndege una amsha..kama umecheza battlefield 3 basi kuna f22 nafkil ile sio poa..na kweny bf1 unapewa ndege alaf unaanza kutungua bombers zilizopo angani..
Ngoja tuisubir iyo ww2 tuone itakuaje.
Muda wake bado kuna muda ukifika atakimbiza balaaDaah mwanangu mwenyew huyu sema skuiz simsomi kabisa
Mkuuu fifa 17 umeicheza!Na me uku dom Natoa GTA IV PES 17 NA COD MW2 NFS RIVALS WATCH DOGS PAMOJA NA TOMB RIDER FOR FREE
HII KWA FAMILIA YA GAMERS WENZANGU
Nilizimaliza zote hizo...jaribu kucheza just clause gamesDah mi nilicheza maxi payne 2 na 3 ila sikuwez kuimaliza kuna chapter ya kumpora yule jambazi machete ili umuue. Nikaishiaga hapo ila katika game za action max payne ni hatari!
Dah ubaya sahivi pc yangu ina specs ndogoNilizimaliza zote hizo...jaribu kucheza just clause games
Infinite sijataka hata kuicheza..game imejaa science hadi basi...wameboa sana ndio mana wamepata dislike za kutosha...OK TUNGOJE COD WW2 ITOKE AF TUTAJUA ZAIDI KAMA KWELI NI COPY YA BF1
VP MKUU ILA COD INFINITE WARFARE UMECHEZA?
Hii Game imenikera sana Vile tu Vyote ni vitu vya future sana kwenye ile game
yeah nimeichez sana kwenye ps4
yeah ila mkuu cod mw2 ni bonge la gameInfinite sijataka hata kuicheza..game imejaa science hadi basi...wameboa sana ndio mana wamepata dislike za kutosha...
Huu mchezo walianza nao kweny advanced warfare.
Wakaja kweny blackops 2 kwa mbaal wakaanza ingiza habar za future..(hapa nilimpenda sana mbish Harper na yule adui Raul menendez) walipotoa blackops 3 ndo ikawa full science ..wakati blackops 1 ilikua poa sana tu wakina Mason na woods pale ndan walitisha sana..
Sijajua ghost wanampango nao gan mana ni bonge la game..
FIFA wazee wa mauongo boea PES
Homefront sina ila nimeiona sana...naitafutia mda tu...naitaka hiyo na ghost recon ..vip unayo nn?yeah ila mkuu cod mw2 ni bonge la game
wakina soap Mac tavish
wakina cpt ghosh cpt price ahh iyo cod naikubali sana
alaf mkuu kuna game inaitwa homefront revolution umeicheza iyo
-Ipo Fifa 14 ambayo imefanyiwa marekebisho sehemu kama za Jezi, Skillz n.k
-Mimi napatikana Dar.
Wakuu me napenda game za gari na ndege. Gari Eurotruck na ndege bado sijapata, nilidownload moja bahat mbaya ikawa ya kucheza online, nilikuwa nataka ya offline.yeah ila mkuu cod mw2 ni bonge la game
wakina soap Mac tavish
wakina cpt ghosh cpt price ahh iyo cod naikubali sana
alaf mkuu kuna game inaitwa homefront revolution umeicheza iyo
Ha ha ha ha ha ha ha umenikumbusha Mkuu, hivi pale kumpiga ile Risasi zakhaev si alikuwepo na mnyama mmoja anaitwa 'Soap'?Hii game bwana kila mission ina raha yake, kwangu the most interesting one ni ile baada ya kumuua yule Al Asaad,Capt Price anawasimulia jamaazake kipindi akiwa lieutenant wakaenda wawili tu kwenye ile kambi ambayo walimpiga sniper Imran Zakaev ikampata ya mkono sasa kazi inaanza kuelekea kwenye extraction point. Dah hii game ni hatari sana haichoshi ila wale mbwa wanakata stimu ile V mpaka uiotee kuibonyeza
Nipo Dar, karibu.Mkuu naomba setting za ilo game nipo likizo kibarua ki tempo kimekwisha mapemaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hayo ndio maeneo yangu ya kunipata kiurahisi, mbali na hapo tukutane Kigamboni.Mkuu Aleyn naomba kama naweza kulipata game la call of duty 4 maana cdhani kama bado uko DIT kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app