Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,794
- 36,433
Kwangu hata bunge ,mahakama ,na jeshi la polisi achana na vi-taasisi uchwana kama TANESCO sijui Tan-roadHello!
Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha.
Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi.
Few months later nikasikia Mh. Rais ALISEMA kuwa ifanyike inspection ya mashirika ya umma ili ikiwezekana mengine yafutwe au yaboreshwe.
Jana tumeona utekelezaji.
Thanks.
NIDA ndio iliongoza kupigiwa kelele kwenye ule uzi, sasa natumaini mambo yamekaa sawa baada ya kuwekwa kapu moja na RITA.
Ila bado msako uendelee ,
Mimi kero yangu kwa sasa ni hizi mamlaka za usambazaji maji.
Dar es salaam miji mipya karibu yote haina maji.
Zifumuliwe haraka .
Haiwezekani leakage ya maji idumu kwa miaka 2 huku wao wanalipwa mshahara.
Nazijua leakage 2 ambazo zinaashiria kuwa hizi mamlaka zimejaa matahira wanaojua kunyoosha nguo na wanaomiliki ATM card mfukoni.
Chanzo cha mambo yote haya ya kuwepo kwa mrundikamo wa taasisi za umma ambazo hazileti tija yoyote kwa wananchi ni KATIBA MBOVU tuliyonayo. Ili kuondoa matatizo yote haya ni kufanya Mabadiliko Makubwa kabisa ya Utaratibu/Mfumo wote wa Uendeshaji wa Serikali ( Government Overhaul and Restructuring), na mahali pekee pa kuanzia ni kupatikana kwa KATIBA MPYA itakayotokana na Fikra, Maoni na Mawazo ya Wananchi wengi zaidi).Kwangu hata bunge ,mahakama ,na jeshi la polisi achana na vi-taasisi uchwana kama TANESCO sijui Tan-road
USSR
Si tulikubaliana katiba ni kijitabu tu?😂😂Chanzo cha mambo yote haya ya kuwepo kwa mrundikamo wa taasisi za umma ambazo hazileti tija yoyote kwa wananchi ni KATIBA MBOVU tuliyonayo. Ili kuondoa matatizo yote haya ni kufanya Mabadiliko Makubwa kabisa ya Utaratibu/Mfumo wote wa Uendeshaji wa Serikali ( Government Overhaul and Restructuring), na mahali pekee pa kuanzia ni kupatikana kwa KATIBA MPYA itakayotokana na Fikra, Maoni na Mawazo ya Wananchi wengi zaidi).
Nani kakudanganya!?Si tulikubaliana katiba ni kijitabu tu?😂😂
Wizi mtupu.Watendaji kazi wengi wa hizi taasisi za serikali hawana uwezo,unakuta mji upo pembezeni mwa ziwa kabisa lakini shida ya maji haiiishi.Kiangazi watakwambia maji shida masika watakwambia mitambo imeharibika imezolewa na maji,kila mwaka simulizi ni hizo hizo tangu uhuru.
Yes! Tatizo kubwa serikalini ni mifumo ya ajira iliyopo! Watu wako secure na comfortable sana baada ya kupata ajira. Inaua creativity inabaki ilmradi!Huyo Kitila na Nehemia hawajui tofauti ya cost centres and business centres; let alone their impact to the government.
Hivi kwa akili zako timamu a national strategy inaandikwa na kila poyoyo mwenye Phd au sakapoko anaefundisha
Hawajui hata source ya kuandika strategy ni data na qualified people are those with management qualification.
Do they even know what it takes to write a strategy.
Kwenye vichwa vyao upuuzi wa Bashe na Makamba wa kuchezea hela ni strategy.
Just a pathetic country; today I place my blame on ‘Jim Beam’.
Ni kwamba nchi inaongozwa na watu wasio na uwezo.
Inafika hatua mpaka mtu unajiona odd aiwezekani jamii ikawa na watu vihiyo hivi.
The nonsense with this country is beyond me
Kuna kundi la watu wako Ngorongoro ambao sionagi wanafanya nini wote hao, kuwe na na TANAPA tu inatosha na hapo kipande Cha Ngorongoro wapunguzwe watu, wako pale Karatu wamejazana kazi ni kugombania wake za watu mitaani na mikwara isiyo na maana, wako wengi sana hua najiuliza kazi yao kule ni ipi hasa? Wana miradi kwamba kuna jamii kule wanashughulika nayo? Jibu ni hapana,wanashughulika na wanyama, kunapaswa kua na Askari kadhaa wa kulinda majangiri, na kikumdi kidogo Cha kukaa ofisini, lakini sijui hua wanaitana ndugu au vipi... Wako wengi sana ilihali Serikali haiwezi hata kutibu wagonjwa wananchi huku hospital, kwa nini wasiwe wanapunnguza matumizi ktk mapato yao ili kuhudumia wananchi kwa kuvunja vilunja hizi taasisiHello!
Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha.
Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi.
Few months later nikasikia Mh. Rais ALISEMA kuwa ifanyike inspection ya mashirika ya umma ili ikiwezekana mengine yafutwe au yaboreshwe.
Jana tumeona utekelezaji.
Thanks.
NIDA ndio iliongoza kupigiwa kelele kwenye ule uzi, sasa natumaini mambo yamekaa sawa baada ya kuwekwa kapu moja na RITA.
Ila bado msako uendelee ,
Mimi kero yangu kwa sasa ni hizi mamlaka za usambazaji maji.
Dar es salaam miji mipya karibu yote haina maji.
Zifumuliwe haraka .
Haiwezekani leakage ya maji idumu kwa miaka 2 huku wao wanalipwa mshahara.
Nazijua leakage 2 ambazo zinaashiria kuwa hizi mamlaka zimejaa matahira wanaojua kunyoosha nguo na wanaomiliki ATM card mfukoni.
Wanawaza Rushwa Tu"Asilimia 60 ya watendaji wa serikali uwezo wao ni mdogo sana kiutendaji." — Profesa Mussa Assad
Na wizi.Wanawaza Rushwa Tu
Tatizo ni incompetent people on the top.Yes! Tatizo kubwa serikalini ni mifumo ya ajira iliyopo! Watu wako secure na comfortable sana baada ya kupata ajira. Inaua creativity inabaki ilmradi!
Kingine ni kupuuzwa kwa tafiti na quality data! Maamuzi mengi ni maagizo kutoka juu na maelekezo ya majukwaani. Mwisho utendaji unafeli!
Yaani waajiriwa na watendaji serikalini wamebakiza hofu ya kukoromewa na wanasiasa (mawaziri, wabunge, makada wa ccm) vilaza wasiojua umuhimu wa tafiti na quality data!
Wewe unataka watu wataja hayo mashirika wakati wewe huna hata shirika moja kichwani unalolijua la kufutwa. Kaaazi kweri kweri!!!Hello!