Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

Naweza kuendelea kuitumia hiyo Huduma kabla ya kadi kufika. Na je ukijisajiri kama individual utaweza pata Huduma ya kulipwa
Huwezi kuitumia hii huduma mpaka u activate Card yako!

Unaposema kujisajiri Individual una maanisha nini?
 
Habari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.

Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.

Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!

Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.

Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.

Una swali au chochote Karibu.

https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
Nimekwama kwenye BIC/ Swift nimeingiza namba za mwisho kama ulivyosema imekataa
 
Mimi sikusema namba za mwisho mkuu, Mimi nilisema unaweza kwenda Local Bank Branch kuuliza Swift code namba, Mkuu Kaveli akasema sasa unaweza kupata Swift code hata kwenye Website ya Local Bank husika.
 
Weka digit tatu nyuma ya kadi yako huwa zipo sita weka tatu za mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Transparen , nadhani umechanganya mambo kidogo.

Hizo digits number unazozisema ni kitu kingine tofauti kabisa na SWIFT CODE (also known as BIC).

Hizo digits tatu unazosema zinaitwa Card Security Code (CSC) ama Card Verification Code (CVC) ama Card Verification Number (CVN). Hizi ni namba muhimu sana kwa ajili ya 'security' ya account/pesa yako. Wezi wa pesa kwa online hawawezi kukuibia pesa bila ya kuwa na hizo namba. Ni namba ambazo unatakiwa uzijuwe wewe tu na bank yako, basi. Ndiyo maana zikaitwa 'security' or 'verification' code... nadhani unaelewa maana halisi ya maneno hayo 'security/Verification'. Namba hizi ni tofauti kwa kila Card... yani kila Card ina secuirty/verification code yake tofauti na Card nyingine. Mfano, wateja wote wa CRDB... Card zao zina security code tofauti tofauti. Mteja anayehitaji kufanyiwa ACTIVATION for online transaction, bank husika hutumia hizo code kui-activate card iweze kufanya online transactions mbali mbali.

Chungulia hii link ya Wikipedia: Card security code - Wikipedia
CSC.JPG

How to find your credit card security code
blob.jpg

SWIFT/BIC yenyewe ni code ya utambulisho wa BANK yako huko nje ya nchi. Namaanisha kwamba Swift Code hutumika kuitambulisha bank ili iweze kupokea pesa kutoka nchi nyingine. So kunapokuwa na any money transaction from overseas, hapo Swift Code hutumika ili pesa iweze kuingia kwenye bank acount yako.

Duniani kote, kila Bank ina Swift Code yake. Jinsi ya kufahamu SWIFT/BIC ya Bank yako, ni rahisi tu. Nenda kwenye Bank yako waulize SWIFT Code watakuambia. Ama cheki website ya Bank yako kwenye category ya 'International Money Transfer', lazima wame-mention Swift Code. Ama simply just muulize Google atakupa Swift Code ya Bank yako. Angalia hapo nyuma post [HASHTAG]#166[/HASHTAG] nimeelezea hili.

-Kaveli-
 
;

View attachment 584887

How to find your credit card security code
View attachment 584920

SWIFT/BIC yenyewe ni code ya utambulisho wa BANK yako huko nje ya nchi. Namaanisha kwamba Swift Code hutumika kuitambulisha bank ili iweze kupokea pesa kutoka nchi nyingine. So kunapokuwa na any money transaction from overseas, hapo Swift Code hutumika ili pesa iweze kuingia kwenye bank acount yako.

Duniani kote, kila Bank ina Swift Code yake. Jinsi ya kufahamu SWIFT/BIC ya Bank yako, ni rahisi tu. Nenda kwenye Bank yako waulize SWIFT Code watakuambia. Ama cheki website ya Bank yako kwenye category ya 'International Money Transfer', lazima wame-mention Swift Code. Ama simply just muulize Google atakupa Swift Code ya Bank yako. Angalia hapo nyuma post [HASHTAG]#166[/HASHTAG] nimeelezea hili.

-Kaveli-
Noted mkuu maelezo safi kabisa asante kwa shule
 
Kaveli Upo boss, Sasa ni link ACC yangu ya local na Payooner hii itaniwezesha kutoa pesa from Payooner to Local bank ama? Fafanua kidogo

Kuhusu 'MONEY WITHDRAW' ... YES mkuu Transparen, utaweza kutoa pesa from Payoneer to Local bank.

Basically, Ukishajisajiri (sign up) Payoneer, watakupatia vitu viwili:

1. Payoneer Account (ambayo ni online/mtandaoni), na
2. Payoneer Master Card. (watakutumia Card yenyewe kabisa real kwa njia ya Posta).

Sasa umefanya mambo yako mtandaoni... mfano umeuza kitu fulani mtandaoni na mteja akakulipa kwa Payoneer, ama rafiki yako yupo nje ya nchi akakutumia pesa kwa Payoneer, n.k , that means pesa itaingia kwenye online Payoneer Account yako. Kwamba unapo-sign in or ku-log in utaona kiasi cha pesa kilichomo humo (balance/salio) mfano USD 200 ama GBP 150 ama EURO 125 (it depends alikutumia kwa currency ipi).

Kisha, utaweza kuitoa (withdraw) humo hiyo pesa kwa namna/njia mbili :

  • Kuichomolea kwenye ATM yoyote inayosupport Master Card, popote pale duniani, kwa kutumia hiyo Payoneer Master Card. Card hii itachomoa currency ya nchi husika, mfano ukitolea kwenye ATMs za hapa Tanzania itatoa Tsh, ama ukisafiri ukaenda kutolea kwenye ATMs za Kenya itatoa Ksh, n,k popote pale duniani. Kuhusu njia hii, mkuu Powder ameshaielezea vizuri sana mara nyingi tu.
  • Kuihamisha pesa from Payoneer Account to any local bank account. Kwamba utatoa pesa kutoka kwenye Payoneer Account na kuiingiza kwenye Local bank account yako. Upo huru kuiingiza kwenye ANY local bank account.
Sasa basi, ni jinsi gani ya kuhamisha pesa from Payoneer Account to your/any local bank account ?

Imeelekezwa vizuri sana step by step kwenye hii link ya Payoneer (maelezo, na video pia ipo): [VIDEO] How to withdraw funds from Payoneer to your bank account - The Payoneer Blog

  1. Log-in / Sign-in to your Payoneer Account,
  2. From the menu, go to Withdraw >> To Bank Account,
  3. Select the currency balance you want to withdraw funds from, (mfano kama Payoneer Account yako ina more than one currencies).
  4. Select the bank account you want to send funds to / Enter the bank account number you want to send funds to,
  5. Enter the amount you want to withdraw,
  6. Click REVIEW. The withdrawal summary will be displayed,
  7. Review the details of your withdrawal and make sure everything is correct. If you need to change anything, click Edit and make the necessary changes,
  8. After you’re sure that all is correct, mark the checkbox I approve this transaction and click Withdraw .
  9. That’s it! You will receive an email confirmation after completing the withdrawal and your funds will be available in your bank account within 3-5 business days.

-Kaveli-
 
Habari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.

Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.

Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!

Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.

Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.

Una swali au chochote Karibu.

https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
Nimemaliza usajiri ila naona wana option ya kulipwa kutoka kwenye kampuni tu. Mtu binasfi hawezi kuku lipa
 
Sio Kampuni pekee mkuu! Hata Individuals.....
Wewe kama umemaliza process zote, subiri Card yako Mkuu!

NB: Wateja wengi wa Payoneer Duniani kote Individuals sema wengi ni Freelancer kwenye Site mbalimbali ambazo zinatoa kazi online, na Clients wengi wanaotoa kazi hizo ni Kampuni!

Binafsi Mara moja nimelipwa na Kampuni na zadi ya 10 nalipwa na Individuals.
Sikwambii story nakwambia reality.
 
Powder Acc yangu ya payooner ina options ya EURO na GBP tu nafanyaje kupata option ya USD?
 
Hamna option ya USD? Sidhani, coz account yangu ukiingia inasoma USD kwa kiwango kilichopo.

Unaweza kuweka Screen short?
 
Sio Kampuni pekee mkuu! Hata Individuals.....
Wewe kama umemaliza process zote, subiri Card yako Mkuu!

NB: Wateja wengi wa Payoneer Duniani kote Individuals sema wengi ni Freelancer kwenye Site mbalimbali ambazo zinatoa kazi online, na Clients wengi wanaotoa kazi hizo ni Kampuni!

Binafsi Mara moja nimelipwa na Kampuni na zadi ya 10 nalipwa na Individuals.
Sikwambii story nakwambia reality.
Je mtu anae taka kunilipa nampa lazima awe anatumia Payoneer na nampa details gani
 
Kama kuna mtu anataka kukulipa, kwa sasa sio lazima yeye awe account Payoneer, ila wewe ambaye ndo receiver unatakiwa uwe na account....

Unaingia kwa account yako na kutuma special request ya payment, na Sender atapokea email, ataweka info zake za Bank atalipa, utatumiwa email kuwa kuna pesa imeingia kutoka sehemu flani na ni kiasi gani, wataomba siku moja kwa ajiri ya confirmation, then watakutumia email tena kukujulisha sasa mpunga upo tayari.
 
Sio Kampuni pekee mkuu! Hata Individuals.....
Wewe kama umemaliza process zote, subiri Card yako Mkuu!

NB: Wateja wengi wa Payoneer Duniani kote Individuals sema wengi ni Freelancer kwenye Site mbalimbali ambazo zinatoa kazi online, na Clients wengi wanaotoa kazi hizo ni Kampuni!

Binafsi Mara moja nimelipwa na Kampuni na zadi ya 10 nalipwa na Individuals.
Sikwambii story nakwambia reality.
Please Note!
  • Only ACH (US local bank) transfers in USD can be accepted
  • Transfers must be made from a company account
  • Transfers from individuals will be automatically rejected
  • Wire transfers are not supported
  • Transfers made from a company account owned by you cannot be accepted umeona walicho sema hapo kuwa unitumiwa na MTU binafsi qata cancell automatic
 
Kama kuna mtu anataka kukulipa, kwa sasa sio lazima yeye awe account Payoneer, ila wewe ambaye ndo receiver unatakiwa uwe na account....

Unaingia kwa account yako na kutuma special request ya payment, na Sender atapokea email, ataweka info zake za Bank atalipa, utatumiwa email kuwa kuna pesa imeingia kutoka sehemu flani na ni kiasi gani, wataomba siku moja kwa ajiri ya confirmation, then watakutumia email tena kukujulisha sasa mpunga upo tayari.

Mkuu naomba unjuze kitu kimoja umezungumzia payment kufanyika through payoneer acc ya mpokeaji pesa kutoka kwa mtumaji, sasa kama tunavyofahamu kuna makampuni ya watu binafsi wanaprefer zaidi kufanya online payments through PAYPAL kwa maana its safe, na kama tunavyofahamu Tanzania hairuhusu kuwithdraw pesa kutoka kwenye PAYPAL Acc to local banks (Policies zake). Sasa hapa nafanyaje mkuu, maana najikuta kwenye wakati mgumu pale mtumaji anapoinsist kufanya malipo yake through PAYPAL?

Na ifahamike kwamba hapo awali ilikua ni rahisi kuilink payoneer na paypal acc yako lakini siku hizi hicho hakiwezekani tena, kwa hapa tz kuna local bank yeyote inayoruhusu kuwithdraw pesa kutoka kwenye PAYAL acc ya mtu bila usumbufu wowote?
 
Mkuu sijaelewa Swali lako...
Unazungumzia Ku withdraw pesa toka PAYPAL au PAYONEER?
 
Please Note!
  • Only ACH (US local bank) transfers in USD can be accepted
  • Transfers must be made from a company account
  • Transfers from individuals will be automatically rejected
  • Wire transfers are not supported
  • Transfers made from a company account owned by you cannot be accepted umeona walicho sema hapo kuwa unitumiwa na MTU binafsi qata cancell automatic
Sidhani kama utaratibu umebadirika wakati Mimi napokea pesa toka kwa Individual Clients...
Ngoja nifanye research kidogo Mkuu, ntakurudia.
 
PAYPAL to a local bank mkuu.....
Binafsi sina Uzoefu sana na Paypal, sijawahi kuitumia binafsi...
Na Mimi baada ya kukutana na Changamoto za Clients kuchagua njia ya kulipa, na vile Paypal kutokukubarika TZ hasa kipindi hicho cha nyuma, ndo sababu ya kutafuta Mbadala wa Paypal kwa kujiunga na Payoneer.

So kipindi cha nyuma niliishia kuwa registered kwenye Website ya Paypal tu, coz Card ilipokataa kuwa activated, Local Bank walivyonijibu, sikuhangaika tena na Paypal.

Ila wapo Wadau waweza kusaidia kujibu, subiri.
 
Back
Top Bottom