Acha maneno, leta vyeti Bashite!Kuna watu mnawatafuta watu badala ya maisha yenu. Mbona mnahangaika sana na watu wakati yenu yamewashinda?
Acha maneno, leta vyeti Bashite!Kuna watu mnawatafuta watu badala ya maisha yenu. Mbona mnahangaika sana na watu wakati yenu yamewashinda?
Yani huyo jamaa aliyesafiri naye alishindwa hata kumfotoa kiwizi wizi...Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.
Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.
Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Madawa ya kulevya ni janga kubwa tega sikio ndani ya week hii.Kina kinje, Riz na Juma pinto wajiandae?
.....Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.
Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.
Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Wewe wacha ngonjera Weka Vyeti...Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi
Mchapa kazi na mbunifu.
Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake
Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya
Mbunifu wa ajira kwa vijana
Shujaa asiye tetereka
Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko
Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana
Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa
Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya
Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.
Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar
Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.
Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake
Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.
Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.
Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.
Mapya hayo!!!!Imesahau sifa moja. "Ni malkia wa nguvu"
njie mumchukiao makonda na yule mchungaji wenu feki subirini kufedheheka zaidi. mak anawapiga za usoni mupya. kaeni mkao wa kilio.Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.
Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.
Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Copy ya vyeti vyake viko Ikulu MTU wa kumuuliza ni Mwajiri wake!!AWEKE vyeti vyake on the table kwa anavyotaka sifa yule angekuwa na vyeti angeonyesha.
Kaka msamehe mtu wa watu make uko unapokwenda hata kitandani utasema nimelalia bashite nakujifunika DaudiYanga na mtibwa jana wametoka bashite bashite uko morogoro
Washamba washamba tu so walijua akiondoka then walianzishe Dom tutasahau hapa issue ya sophia sijui madabida tumefunga wimbo unarudia korasi Bashite lete vyeti
Haituhusu hiyo atafutwe aliyeanzisha hiyo mada ya vyeti ndiyo afafanue anachotaka kufahamu ili afahamishwe na mamlaka husika.Vyeti hatakiwi kuonyesha yeye ,nectar wanatakiwa kumaliza utata huu Mapena tu, kwa kuonyesha wao vyeti vya watuhumiwa wore wawili makonda na bashite.
Anayetaka vyeti akavifuate Ikulu maana ndiyo mwajiri wake na walipoomba vyeti aliwapa na kuridhika navyo na hatimaye kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya na sasa Mkuu wa MkoaWewe wacha ngonjera Weka Vyeti...
.....Hehehe Miezi miwili leo hakuna!!
Kweli nchi imevamiwa na Wajinga!!
.....Ngoja tusubiri kukuche..
.....Kweli maisha hayana formula na yanaweza kugeuka muda wowote, hivi Bashite ni mtu wa kwenda south asitupie maphotos na maclips kule insta?