Ndio anaitwa tata madibamkuu acha masihara ina maana na jina atabadili tena?
hahahahahahahahahahaNaskia kaja na vyeti vya mandela
Kwa hiyo nawewe ni mmoja wao si ndiyoKwako pekee ndo mheshimiwa, kwetu sisi ni Bashite 0 brain.
Ndo nani kinje mkuuKumbe alifikisha unga kwa Kinje salama.
Wahusika na madawa ya kulevya wajiandae.Kama kweli amereje nchini mapema hivi kuna jambo alienda kupika huko Afrika Kusini kuhusiana na vyeti vyake fake.
Punguza jazba..Acha umbea babako karejea kutoka kwenye mataptap hujasema unaleta umbea humu balaaa wewe sio bur
Kwan alifuata vyet kwa madiba?Kaja na vyeti?
Wewe ulitaka wahangaike na nguruwe? Watu wanataka vyeti kwani mama na baba zao wamefukuzwa wengine miezi miwili kabla yavretirement kwhyo wana uchunguKuna watu mnawatafuta watu badala ya maisha yenu. Mbona mnahangaika sana na watu wakati yenu yamewashinda?
Kina kinje, Riz na Juma pinto wajiandae?Wahusika na madawa ya kulevya wajiandae.
Siku hizi viroba vinaitwa nappy. Umevua ngapi?Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi
Mchapa kazi na mbunifu.
Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake
Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya
Mbunifu wa ajira kwa vijana
Shujaa asiye tetereka
Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko
Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana
Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa
Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya
Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.
Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar
Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.
Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake
Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.
Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.
Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.
Ninajiuliza tu hawa wakiguswa big brother ataweka wapi sura yake?Kina kinje, Riz na Juma pinto wajiandae?
Vyeti hatakiwi kuonyesha yeye ,nectar wanatakiwa kumaliza utata huu Mapena tu, kwa kuonyesha wao vyeti vya watuhumiwa wore wawili makonda na bashite.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi
Mchapa kazi na mbunifu.
Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake
Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya
Mbunifu wa ajira kwa vijana
Shujaa asiye tetereka
Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko
Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana
Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa
Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya
Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.
Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar
Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.
Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake
Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.
Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.
Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.
Kuwa zima linalia kanisani!!!!!![emoji445] Amerudi analia eehhh....[emoji443]
[emoji444] Huruma...[emoji442]
[emoji447] Namuonea huruma eeehhh..[emoji446]
View attachment 480132