Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Kunywa maji mjane. Bashite wewe umenyimwa akili ukapewa makalio. Hiki nini Umeandika hapa.
 
Pumbavu!
 
Hivi wewe hujui kuwa Sabaya ni kijana wa kazi wa Makonda?
Makonda alikuwa na kikosi maalumu na alipoachia ukuu wa mkoa ndipo Lengai sabaya akawa master mind.
Huoni hata hii kesi ya Mbowe wakamataji na watesaji wanatoka Arusha ambako lengai alikuwa anaenda kupora pesa za wafanya biashara akipewa ushirikiano wa hawa hawa polisi na hasa zaidi Kingai?
Yaani hili genge la Kingai ndio lile kundi la wasiojulikana waliokuwa wakipoteza watu kila uchwao wakati wa mwendazake.
Mama karidhia kurithishwa uharamia wa kina kingai wa zama za mtangulizi wake.
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Bange mbichi
 
Nyi
Ndio nini hiki,UVCCM mmepatwa na ugonjwa unaoitwa CHADEMA.?! Mmekwama.
Nyie si ndo mlikuwa mnasema mama anaupiga "mwingi"? Sasa anaupgiga mpaka kuna kubwa la maadui lipo lupango sasa mna haha kila siku
Kaupiga mpaka umechna nyavu sas mna sindano mnashona vilaka huku mkilia.
 
Bashite ueleweki unataka nini, teuzi au bwana?!
 
UPUUZI MTUPU!!!
2397933E-5EDE-475C-8A4B-C1DD54D2C876.jpeg

Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Nyie sukuma gang bado mnawakasirikia chadema kwa kifo cha kujitakia cha bwana yule?!
 
Tuondolee ujinga wako Bashite mfoji vyeti na muuaji.

Kigogo boya mshamba kachezea fursa kashindwa tafuna hela ya nje nje ya jiwe kama mange na waunga juhudi eti anajifanya mwanaharakati uchwara njaa
 
Back
Top Bottom