SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Huyu Uzi ni Makonda ameandika. Wala msipate shida kuzungukazunguka kama mawakili wa serikali!
Ndugu kweli umerap. Haya tuendelee kuyaonaAkiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Hivi kwanini Mashoga mnapigania na kumtetea sana Makonda?Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Lumumba hakuna upungufu wa matahira-teleeeeeeti ndiyo vijana wa CCM hawa 🤣 🤣 🤣
Hiyo ndio hoja.Jikite kwenye hoja
Jikite kwenye hojaView attachment 1957646
Hizi ID mpya zimetumwa kupambana mitandaoni
Sasa kwenye andiko lako kuna hoja gani za kujibu, zaidi ni hadithi tuJikite kwenye hoja