Huyo mbona kashakatwa mkia hana madharaHoja ni Makonda amewaburuza tena?
ILA DAH MUNGU NI FUNDI BWANA...MANAKE SINTOSAHAU TAREHE 17 MWEZI WA TATU MWAKA HUU!Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
True said 100% mkuuAkiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

If I was him, I would have come out to apologize and also repent of my sins before God in order to be forgiven. Mungu anasamehe ila ukiwa jeuri halazimishi akusamehe.Usanii mtupu
Waliahidi tarehe 3 atakamatwa lakini anadunda tu
Mama anahusiana vipi na Makonda? Ndiye aliyemtuma? Siye tunajua aliyemtuma Sabaya ndiye aliyemtuma Makonda. CCM ni jini la Tanzania kweli,fikiria ugomvi wa Gwajima na Makonda wote wana CCM ndo ulisababisha Makonda kuvamia clouds. Na aliyeunda tume ya kuchunguza tukio Hilo ni Nape kada mkongwe wa ccm,Sasa Chadema wanaingiaje!! Kweli ccm mpo siku za mwisho kulingana na kalenda ya Mungu.Wa chadema wanazungusha malinda tu, kwani wanajua nini zaidi ya kuelekea upepo unakoenda.
Mama anaupiga mwingi mapaka milangoni mwao sasa wanachungukia kupiatia madilishani.😁😁😁😁.
Huyo anaburuza matakao yake tuAkiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Punguani tuwekee ushahidi na siku na tarehe CHADEMA walitamkaAkiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.