Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

Nikikuita kijana mjinga na mpuuzi sitakuwa nimekutukana bali kukushtua akili yako kuwa umetumia muda mwingi kuandika mambo ambayo yamekuweka hadharani kuwa hicho kichwa chako ni box tupu.
Hivi huelewi yanayoendelea sasa hivi nchini?
Jibu hoja yake!
.
Je Makonda mmemkomesha kama mlivyoapa?
 
Kwahiyo Mimi ni msemaji wa Cdm, au una unajichanganya nini dogo. Yeye yuko nje ya ulingo na sasa hivi watu wanamuona khanithi tu.
a mlikuwa mnasma kila siku humu na kwingineko katika mijadala kwamba Makonda akitoka madarakani atajuta
 
Kwahiyo Mimi ni msemaji wa Cdm, au una unajichanganya nini dogo. Yeye yuko nje ya ulingo na sasa hivi watu wanamuona khanithi tu.
Kwani wote mnaotetea chadema humu ni wasemaji wa chama?

Mnamuona khanithi na huku aliwapeleka puta?
 
Mwandiko Wa Bashite Kabisa Huu,Bashite Unaitafuta Huruma Ya Mama
Muache ajikaange. Badala ya kutulia asahaulike anapiga kelele, ngoja atajaza watu sasa hivi. Ananikumbusha miaka 10 iliyopita Mabibo Hostel, Block F, kuna mwamba aliingia ghorofani kwa mabinti akaiba huku chini jamaa wanamcheki tu, wakamdaka. Akawaomba jamaa waliomkamata wasipige kelele. Jamaa wakamwambia sisi tupige kelele ya nini, wewe ndio usipige kelele wakati tunakupa mambo. Mwizi alitiwa kibano hadi yeye akajaza watu. Naye huyu muache atajaza watu sasa hivi
 
Back
Top Bottom