Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

Hivi zile tuhuma zake za kuwanyima wengine haki ya kuishi alishajisafisha?
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
 
mmegundua bimkubwa wetu hushinda jamii forum mmeaza kumkumbusha sahaulini Hilo ,alaumiwe pompeo .
 
Suala la Makonda ni muda tu. Kinachoweza kumuokoa ni kifo, yaani augue afariki kama Mwendazake. Kwenye uhai lazima atakuja fikishwa Mahakamani kujibu shutuma zake.
 
Tuletee video ya Mbowe kushangilia kifo cha JPM, kuhusu Lissu kila mmoja anafahamu alichokutana nacho hatuwezi kumzuia
Kusherehekea kifo cha DIKTETA ilikuwa ni suala la busara kwa mtu yeyote aliyenyanyaswa na Mwendazake. Wala halikuwa suala la CDM. Wengi tulisherehekea na tunaendelea
 
Bashite ww hangaika tu.. simu nikukutana na ww uso kuwa uso lazima ule kelbu mbili matata
 
Kusherehekea kifo cha DIKTETA ilikuwa ni suala la busara kwa mtu yeyote aliyenyanyaswa na Mwendazake. Wala halikuwa suala la CDM. Wengi tulisherehekea na tunaendelea
Hata gaidi akifa watasherekea kama walivyosherekea Osama
 
Suala la Makonda ni muda tu. Kinachoweza kumuokoa ni kifo, yaani augue afariki kama Mwendazake. Kwenye uhai lazima atakuja fikishwa Mahakamani kujibu shutuma zake.
Kama alivyofikishwa gaidi licha ya kumuuwa chacha wangwe miaka mingi iliyopita.
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.

Member​

Sep 27, 20213595
 
😂😂!

IMG_20210928_212038_069.jpg
 
Back
Top Bottom