Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,593
- 123,090
Toka lini utoto ukawa hoja?
hoja mnapenda sana kuchafua watu lakini mungu wenu gaidi akichafuliwa mnalalama.

Matagakoko umenuna!😝😝😝😝Sasa wewe libavicha hebu twambie una hoja gani mpya?
Alikuwa ananyolewa?😝😝😝😝N
Enda akakuowe,maana mnafikili mlizaliwa ili kuwa viongozi,
Huyo hawala yako Makonda anaishi Kama panya kwa kujificha,juzi nimemkuta pale Igoma maeneo ya kumbakumba kwenye saloon ya uchocholoni ananyoa.
Usithubutu mkuu.Hatari!😂😂😂😂😁😁😁😁 Natamani sana kuonja bangi anayotumia huyu mwamba Kitimoto! Siku vikimtikia tu kichwani, lazima utamgundua.
Utoto upi aliongea?
Mlisema Makonda bila madaraka atakiona cha moto, mbona huyo hapo na hamfanyi chochote?
Jibu hoja mnapenda sana kuchafua watu lakini mungu wenu gaidi akichafuliwa mnalalama.
Thibitisha hizo tuhuma za CHADEMA kwa Paul Makonda a.k.a DAUDI ALBERT BASHITE.Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Asikusumbue huyo.Anaongozwa na hisia zilizokufa 😂😂😂Thibitisha hizo tuhuma za CHADEMA kwa Paul Makonda a.k.a DAUDI ALBERT BASHITE.
Kama ni tuhuma alituhumiwa na CCM mwenzake Gwajima, ambaye pia ni mlokole mwenzake, msukuma mwenzake, Mfanyabiashara mwenzake na wanatoka Kijiji kimoja kolomije, Misungwi Mwanza
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
hahahahaha kakinukishaKwenye huu uzi Kitimoto umeanza kufanya yako?😝😝😝😝😝
Wewe lazima kuna mahali pamelowana, siyo bure.Utoto upi aliongea?
Mlisema Makonda bila madaraka atakiona cha moto, mbona huyo hapo na hamfanyi chochote?
Ashauriwe tu kwamba anapoandika asiwe na hasira au njaa.Njaa ikimzidi mtu ndipo utaijua tabia yake halisi.Kuna watu bila kugombea chakula msibani au harusini halali unono!Ndiyo huyo sasa.😝😝😝😝CCM ina mtaji mkubwa watu wajinga sana. Ili ufanikiwe ndani ya CCM lazima ukubali kufikiria kwa kutumia makalio la sivyo utachoma sana mahindi.
Utapanic sana mankaWewe lazima kuna mahali pamelowana, siyo bure.
Vipi Makonda mmeshamshughulikia? Maana mlisema akitoka madarakani atakiona cha motoHii ni id uliyomfungulia mchepuko wako nini? Hata wakoloni tuliowaondoa ili tunaendesha nchi yetu wenyewe. Je tumekuwa matajiri kuliko hao wakoloni?
Nyie ndio mmepanic, mmekosa pa kushika. Wenzako huko wakipanda kizimbani kutoa ushahidi siku inayofuata hawarudi, nyie mnarukaruka tu huku. Haya ya Makonda yametoka wapi sasa hivi. Yanayo relevance gani. Tulieni muda wake utafika.Utapanic sana manka
Nikikuita kijana mjinga na mpuuzi sitakuwa nimekutukana bali kukushtua akili yako kuwa umetumia muda mwingi kuandika mambo ambayo yamekuweka hadharani kuwa hicho kichwa chako ni box tupu.Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Sasa wafuasi wa JK na samia wanasemaje?Unajidanganya bure! Kwa Dhuluma alizofanya makonda lazima malipo yake ayapate hapahapa duniani. Na amekwisha anza kupata hayo malipo kwa kukosa nafasi yoyote ya uongozi mpaka sasa.
Kwamba Chadema walishangilia kifo cha Magufuli kuwa sasa watakuwa huru. Pamoja na Magufuli kutokuwepo,wanazi wake wapo,wanaendeleza vitendo vyake vya kubambikia watu makesi.
Believe me,kesi ya mbowe siyo initiative ya raisi samia,ni imesukwa na wanazi wa Hayati Magufuli.
Hata ukimpamba,kwa viwango vyovyote,Makonda ni mtu dhalimu.
Makonda mmeshamshughulikia? Maana mlisema akitoka madarakani atakiona cha moto
Chadema mlikuwa mnasma kila siku humu na kwingineko katika mijadala kwamba Makonda akitoka madarakani atajutaTumeshamshughulikia mimi na nani? Ni nilisema mimi na nani?