Sasa wewe libavicha hebu twambie una hoja gani mpya?eti ndiyo vijana wa CCM hawa![]()
![]()
![]()
Kwani gaidi mbowe amepata nafasi gani?Unajidanganya bure! Kwa Dhuluma alizofanya makonda lazima malipo yake ayapate hapahapa duniani. Na amekwisha anza kupata hayo malipo kwa kukosa nafasi yoyote ya uongozi mpaka sasa.
Kwamba Chadema walishangilia kifo cha Magufuli kuwa sasa watakuwa huru. Pamoja na Magufuli kutokuwepo,wanazi wake wapo,wanaendeleza vitendo vyake vya kubambikia watu makesi.
Believe me,kesi ya mbowe siyo initiative ya raisi samia,ni imesukwa na wanazi wa Hayati Magufuli.
Hata ukimpamba,kwa viwango vyovyote,Makonda ni mtu dhalimu.
Sasa mama si ana mamlaka ya makubwa sana?Unajidanganya bure! Kwa Dhuluma alizofanya makonda lazima malipo yake ayapate hapahapa duniani. Na amekwisha anza kupata hayo malipo kwa kukosa nafasi yoyote ya uongozi mpaka sasa.
Kwamba Chadema walishangilia kifo cha Magufuli kuwa sasa watakuwa huru. Pamoja na Magufuli kutokuwepo,wanazi wake wapo,wanaendeleza vitendo vyake vya kubambikia watu makesi.
Believe me,kesi ya mbowe siyo initiative ya raisi samia,ni imesukwa na wanazi wa Hayati Magufuli.
Hata ukimpamba,kwa viwango vyovyote,Makonda ni mtu dhalimu.

Mim nafurahia sana mnavyonena kwa lugha!hebu mfanyie orientation na umuambie kuwa walikuja kina Bia Yetu hapa wakaondka wakatuacha hapa.New member!
naona unajipigia promo makonda upate teuze..Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Utoto upi aliongea?Umejiunga Jana hapa jukwaani ili uwe unaongea huu utoto?!
Wafukuzia teuzi, wapo radhi hata kudhalilisha utu wao ili kufukuzia teuzieti ndiyo vijana wa CCM hawa![]()
![]()
![]()
Memba mpya hata kama umeingia kwa I'd mpya uwe unapost vitu vya maana ila wakishakuzoea ndipo uwange mafongo. Sasa ndugu unaanza hovyo hivi mbona unapoteza sifa mapema? Hutakuwa na watu ujue.Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Karibu JF the forum for great thinkers so please be one!Mpelekeni mahakamani sasa
unachokianya hapa, utamponza huyo mpenzi wako bashite, utawakumbusha watu machungu ili na yeye akumbukwe kwenye kikombe anachokinywea sabaya. tafadhali nyamaza umlinde. aina ya viongozi wa aina ile hatuhitaji waje kukumbukwa au hata kutokea tena hapa Tanzania.Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Ukiona mbwa yuko juu ya mti kabebwa na mwenye mbwa
Enda akakuowe,maana mnafikili mlizaliwa ili kuwa viongozi,Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.