Paul Makonda afunguka

Paul Makonda afunguka

ameamua kupima ubavu na lowasa kwa style hii
attachment.php

Huyu jamaaa ,kweli ni kibaraka kama Lyatongaaa
 
Molemo,

Huyu bwana Tunamjua nje ndani,,,na yeye anatufahamu vizuri....nadhani atakumbuka lile sekeseke alipo pewa uwaziri mkuu na kada mwenzie pale MUCCOBs Bunge likamkataa kwa sababu ya Kupostpond mwaka kila Muda wa mtihani ukikaribia....Haaminiki Huyu kiazi.

Standalone

Mbona unazidi kumuumbua huyu mpiga Warioba?

Mlikuwa mnasoma wote?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu amekosa mtu mzima mwenye heshima zake hadi kaja kuwapa watoto wa mtaani ulaji,mtoto asie kuwa na adabu hana tifauti na chokoraa
 
Baada ya kuona picha hii nachukia kuwa mtanzania. Hii ni nchi ya aibu Sana, its more than nepotism...

Mkuu MK254 naweza kupata uraia wenu bila kuoa binti toka Nyeri?

Mkuu Ulukolokwitanga wacha uwoga, baki huko huko, bishana, zusha, zingua, buruta, bonyeza, kandamiza...hadi kieleweke. Sisi hata hii Kenya yetu haikua nzuri kwanzia mwanzo, wengi tulitamani kuihama nchi na kweli kuna waliohama, lakini sisi wengine tuliamua liwalo na liwe....tukala mabomu ya polisi hadi uongozi wa kipindi kile wakaona nchi pamekua padogo na wakaachia.
 
Last edited by a moderator:
lowassa anatisha kama nini hakuna mtu yeyote ccm atakayemuweza
 
Hata hivyo nguvu ya Lowasa upepo ukipita mkali sana unaweza kwenda naye hana nguvu yoyote labda hiyo ya kugawa pesa lakini kiafya ni ziro kabisa

Sasa kwani umeambiwa wanataka kupigana makonde au?
 
kunamwandishi mmoja wa gazeti la tanzania daima pamoja na mhariri wake wote wanatumika na Lowasa wengine wapo gazeti la nipashe na mwanachi jamaa wanalipwa kwa kumpigia debe Lowasa.

Na wale waliomdhalilisha Mzee Warioba wakati ule walilipwa na nani? Nauliza tu
 
Makonda Hamuwezi Lowasa, Akakakojoe Akalale
Nadhani huyu kijana ana shida. Hivi kweli kabisa ndani ya CCM ni yeye mwenye nguvu ya kupambana na Lowasa? Anadhani kuwatukana akina mzee Msindai na shutuma kwamba alimkunja Mzee Waryoba zitamuacha huru
 
Tanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.
Lol., hii nayo kali........WAWEKE VIDEO AU AUDIO KWENYE GAZETI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom