Paul Makonda afunguka

Paul Makonda afunguka

....vijana ndiyo walinzi wa chama na sitakubali kiharibiwe na watu wachache wenye masilahi ya madaraka""".
kweli, chama unakilinda - safi sana!! huu ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengine ndani ya CCM.

attachment.php
 
kama wewe ni mwana ccm na hukupata cheo kwenye uongozi wa JK basi inabidi ujiulize mara mbili.
 
hii nchi ni hovyo kabisa, mtu kiazi kama makonda anakuwa DC
 
Unataka audio na video gazetini.?

Msamehe!!
Hauji video nn na audio nini,
Si ndio Tz yetu!! Utetez ukiisha unalopoka Tu!!
Mimi mwenyewe cjui kwann Tz ni maskin!
Lakn mpaka Leo rais wetu!!
 
Tanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.

We nae bhana!Sijui kwa IQ Uliyonayo ni nani hua anasoma comments zako, umewahi kuona gazeti gani tanzania hii lenye ushahidi wa audio?
 
Acha kutisha watu wewe mtu usiyejitambua kawatishe wahuni wenzako ambao hawajitambui kama wewe,
mbona una hasira mkuu, hujakumbukwa nni kwenye u DC, Mana unajitahidi kweli kupiga kelele humu kwa kutetea chama
 
Tanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.
napata shida sana na IQ yako, kwani uhuru na mzalendo huwa wakiuza gazeti wanauza na audio au video version???
 
hahahahahah! Picha imeniacha hoi! Acha nicheke mie. Wahenga walisema; "Ukikaa jikoni utanuka moshi" Makonda kakaa jikoni na hatimae amenuka moshi. Swali la kujiuliza; Kwa wilaya ya Konindoni yenye changamoto lukuki kama
1. Migogoro ya ardhi kama Mabwepande na Chasima
2. Uchafuzi wa viwanda
3. Uvamizi wa viwanja vya wazi
4. majimbo mawili ya upinzani
5. Utata juu ya vituo vya mabasi
6. Migomo ya vyuo vikuu n.k
rais kakosa mtu sahihi na kumuamini Makonda? Kweli wazungu wanasema "Bold Head on Young Shoulders" Lakini Makonda hajaonesha hilo na badala yake tafadhari kama nitatumia maneno makali amekuwa "Child at Forty". Okay let us not judge a book by its cover tumpe nafasi atuoneshe maajabu. Viva Kijana!
 
ameamua kupima ubavu na lowasa kwa style hii
attachment.php

Baada ya kuona picha hii nachukia kuwa mtanzania. Hii ni nchi ya aibu Sana, its more than nepotism...

Mkuu MK254 naweza kupata uraia wenu bila kuoa binti toka Nyeri?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom